Msikiti wa Sultan Abu Al-Ela

Ni moja wapo ya alama mashuhuri ya jimbo maarufu la Bulaq mjini Kairo, na msikiti wa Sultan Abu Al-Ela unahusishwa na Sheikh Al-Saleh Hussein Abi Ali, "mmiliki wa heshima", kama alivyoelezewa na wasufi.

ukuaji wa msikiti

 

Sheikh "Abu Al-Ela" alikuwa amekaa peke yake katika mahali pa ibada, karibu na kingo za Mto wa Nile, ambapo inakaa jimbo la Bulaq khasa ukingo wa Mashariki,kwa hiyo watu wengi sana walimwmini na   waliamini kwa ukarimu wake, na wakamwita "Abu Karamat" - kulingana na vitabu vya historia - na kati yao alikuwa mfanyabiashara mkubwa mzungu Noor Al-Din Bin Muhammad Al-Qunaish, na Sheikh akamwuliza upya na kukuza mahali pake, kwa hivyo akajenga msikiti huo kwake, akakusanya upande, Alimjenga kuba ambapo alizikwa baadaye 1486.

Ubunifu wa michoro ya Kiislamu unatawala zaidi  kwenye msikiti huo, na muundo huo unaongozwa na shule iliyo na nafasi nne, zenye maandishi na picha, na ujenzi wa msikiti huo ulikuwa wakati wa utawala wa Sultan Al-Ashraf Abu Al-Nasr Qaitbay.

 

Useremala na milango ya msikiti

 

Ilikuwa ya umuhimu, na mnara tu ndio uliobaki kwake, na pande zake zilitofautishwa na mgawanyiko wa Mamluk Circassian, na wasomi na masheikh  kadhaa walizikwa ndani yake, kama (Mustafa Al-Bolaki - Ali Hakasha - Ahmed Al-Kaki na wengineo).

Kuhusu milango yake, ulikuwa na milango mitatu , moja barabarani ambao ni mlango mkubwa, umejengwa kwa mawe, mlango wa pili uko magharibi ya msikiti kuelekea mlango wa kaburi, na mlango wa tatu wa udhu, na una nguzo nane za marumaru, na mnara wake ulikuwa na mbao uliofunikwa na  pembe za ndovu, na mihrab yake imefunikwa kwa marumaru.

 

kiasi cha msikiti

Sasa una urefu wa mita za mraba 1264, na kabla ya hapo ilikuwa mita za mraba 843, na muundo wake wa kisasa una sahani ya kati pamoja na paa la kisasa lililopambwa, umezungukwa na Iwani nne  ambazo mapaa yao yamewekwa kwenye kigezo cha jiwe eupe na ekundu.

 

Marekebisho:

Kulingana na wanahistoria, msikiti huo ulifanywa ukarabati na kurekebisha mnamo 1741 , na kamati ya Uhifadhi wa athari za Kiarabu ilifanyia ukarabati kwa msikiti huo, na  katika upande wa magharibi ikajenga njia juu yake kiko kitabu, pia ilitenga majengo ya mnara na kujengwa tena kwa mawe  yake yale yale , na mnamo 1925 Mfalme Fuad aliamuru ukarabati wake na upanuzi wa kiasi hicho baada ya kuanguka paa la iwan ya mashariki kutoka kwake.




Comments