Kupiga Makasia

Ni spoti ilianza tangu utengenezaji wa mashua na ilifikia olimpiki

Kupiga Makasia ni miongoni mwa spoti mashuhuri , ilianza na binadamu tangu utengenezaji wa mashua ili kuvuka maji na iliendelea kutokana na maendeleo ya haja ya kibinadamu na ya kiutu , nayo ni mchakato wa kusukuma boti kwa makasia. 


Mchezo wa kupiga Makasia unachezwa katika Maboti makubwa na yenye uzito yanaitwa Dingi na Kuingiliana kwa jumla hufanywa na paneli , yaani mwili wa boti hutengenezwa kutoka paneli mibao inayoingiliana , na boti huelekezwa kwa El Sakan ( Usukani wa mashua ) katika Nyuma ya mashua.


Na kupiga Makasia kulienenza kama mchezo rasmi tangu uanzilishi wa shirikisho la kimataifa kwa mchezo huu mnamo mwaka wa 1892 na uliingia mchezo wa kiolimpiki katika duru ya mchezo wa kiolimpiki ya msimu wa joto huku Berlin katika mwaka wa 1936 


Mbio ya kwanza ya olimpiki kwa wanawake ulifanyika katika duru ya michezo ya msimu wa joto nchini London katika mwaka wa 1948


 Aina za maboti zinazotumika katika mbio zinatofautiana na aghalabu zimewekwa katika kundi kwa kutumia njia ya idadi ya viti ( Maboti ya kiti kimoja au yenye viti viwili au yenye vitu vinne au  yenye viti vinane) au kulingana na nafasi ya kiongozi wa boti.Kuna boti zilizo na makasia kwa kila mchezaji na boti zingine  zilizo na makasia mawili kwa kila mchezaji.


Katika mchezo wa kupiga Makasia , kundi la zana muhimu sana linalotumiwa  zinazohitajika kuanza mbio na zana hizo ni boti, na kuna aina nyingi za boti zinazotumiwa katika michezo ya kupiga Makasia , kuna maboti ya mtu binafsi ambayo yanaweza kuchukua mtu mmoja, maboti yenye viti viwili ambayo yanaweza kuchukua watu wawili na maboti yenye viti vinane ambayo kawaida hutumiwa katika mbio mrefu , Kuna maboti ambayo yana kasia moja tu kwa kila mchezaji na nyingine na makasia mawili kwa kila mchezaji, na uso wa mashua ambao ni njia  ambayo mashua inaweza kudhibitiwa, wakati makasia yametengenezwa kwa mbao ngumu au mpira na urefu wa makasia ni sentimita 260 kwa upana wa sentimita 16 .

Comments