Kituo cha kitaifa kwa Ufasiri ni tasisi ya kitaifa kilijengwa kwa uamuzi wa kijamhuri mnamo mwezi wa Oktoba mwaka wa 2006,
Nnayo ni tasssis ya huduma haitafutia fedha ,lakini katika wakati ule ule inahangaika kwa kujiendeleza , kuboresha vyanzo vyake zao na kuvielekeza kuelekea kuhakikasha lengo iliyolijengwa kwake .
Mradi wa
kitaifa kwa Ufasiri uliosherehekea mwanzoni mwa 2006 kwa kutoa kitabu namba 1000
,unazingatiwa sehemu muhimu zaidi katika
njia ndefu kutoka juhudi zinazotolewa katika
uwanja wa Ufasiri wakati wa historia yetu mpya, ilianza pamoja na
kujenga shule ya Al Alsun mnamo karne ya kumi na tisa ,iliendelea katika juhudi
za kamati ya uaandishi ,tafasri na uchepishaji ,mradi wa kitabu elfu moja uliotoa
karibu na kitabu mia sita wakati wa kusimamisha kwake ,pamoja na miradi miwili haikamilki : wa kwanza kwa Mkusanyiko
wa nchi za kiarabu chini ya usimamizi wa Taha Hussien ,na wa pili kwa mamlaka ya kitabu cha kimisri chini ya uongozi wa Samir Sarhan .
Mradi wa
kitaifa ulizindua kutoka mianzo iliyopita, ukihangaika malengo makubwa zaidi
na kamili, sambamaba na vielezi
vya kisasa vya utambuzi, kwa kuzingatia kundi la kanuni za msingi ambazo mradi
huo umejiwekea. Mradi huo uliweza kwa muda wa miaka kumi kufanikiwa kutoka kwa
matokeo chanya ambapo ulipata uaminifu
na heshima katika ulimwengu wa utamaduni wa kiarabu, ukizingatiwa jaribio kubwa zaidi la kisayansi na lenye maendeleo,
kwa kiwango cha kupunguza pengo kati yetu na wale waliotutangulia kwenye njia
hii. umekuwa ukitofautisha kwa kila kitu kilichotangulia, kwa sifa kadhaa, hasa
ufasiri kutoka kwa lugha ya asili, kuzidisha kwa lugha zilizotafsiriwa / karibu
na lugha thelathini, usawa kati ya maarifa tofauti kwa ajili ya kukidhi uhaba katika maktaba ya Kiarabu, na utafsiri
wa idadi kubwa ya misingi ya maarifa, pamoja na kazi za kisasa zinazofikisha kwa msomaji mwarabu
kwa utamaduni wa ulimwengu katika
majaribio yake tofauti.
Mielekeo
na malengo
1_kusistiza
Utawala wa Misri katika michakato ya tafasri na kuhifadhi nafasi yake kwa kulinganishwa
na nchi za kiarabu zilizofunza kutoka jaribio la kimisri ,lazima kutoa misaada
ambayo inahifadhi nafasi yake ya uongozi .
2_kuboresha
hali za tafasri ,na hii kwa ajili ya kufikia viwango vya karibu kutoka viwango vya
ulimwengu katika kiwango chake cha chini ,kwa kuangalia nchi kama : Uhaspaina ,Italia hata Israel
"Uyahudi" kila nchi toka kwake kila mwaka inatafsiri karibu na kitabu
elfu 20 ikiwa walifikia katika kituo cha kitaifa kwa Ufasiri hadi kiwango cha vitabu 1000 kwa mwaka
badala ya vitabu elfu mnamo miaka kumi, matokeo yake yatakuwa sababu ya
matumaini na amali ambapo kufikia
viwango vya chini vya kimataifa.
3-kufungua
njia za maarifa mbele ya msomaji mwarabu katika nyanja zake , nchi zake na
lugha zake ,mbali ya utawala wa lugha moja tu na upungufu kukisistiza kwa msingi
wa utofauti wa kiutamaduni .
4_kuziba
mapengo ya utambuzi yanayopatikana katika utamaduni wetu wa kisasa ,katika nyanja
za kisayansi zinazoingia katika njia ya masilahi ya taasisi inayohifadhi
kufikia maendeleo yasiyo na ukomo katika
mapinduzi ya maarifa .
5_kuhakiksha
usawa unaohitajika kati ya matawai ya maarifa ili kushughulikia kupungua katika
tafasri ya utamaduni wa kisayansi na sayansi tofauti ili kufikia kwa kuendelea
ufahamu wa kisayansi na kuendeleza kwa jumla na kukuza harakati za utafiti wa kisayansi kwa matwai yake tofauti hasa .
6_kushikilia
kundi la mahusiano nguvu pamoja na taasisi za kitaifa zinazoweza kusaidia michakato
ya tafasri kifedha na kiroho kupitia protokoli za machapisho ya pamoja.
7-ushirkiano
na utaratibu pamoja na taasisi za wizara ya utamaduni inayohusika kwa Ufasiri na wachpishaji katika
sekta binafsi nchini Misri na nchi za kiarabu ili kuhakiksha uzidi katika viwango
vya uzalishaji wa vitabu vilivyotafasiriwa kwa ujumla ,ambapo haiaminiwa kuwa
bahati ya kila mwananchi milioni wa
kiarabu itakuwa karibu na kitabu kimoja kinachotafsiriwa,ambapo bahati inafikia kwa kila mwananchi milioni wa Uhispania
vitabu 250 kinachotafisiriwa.
8-kuboresha
shughuli ya ya Ufasiri kupitia kuunda wafasiri na kuwazoeza na kuendeleza
uwezo wao ili kuunda vizazi vipya vinapata uzoefu na mazoezi , kupitia kozi
maalumu ,warsha za tafasri na kutekeleza mfumo wa mfasiri unafanyawa kwa ushirikiano
pamoja na mashirika na taasisi za ulimwengu ,na kuweka mpango kwa wakati wote na tuzo za
motisha .
9_kueneza
ufahamu kwa Ufasiri kwa wosamaji na
wasomi kwa ujumla kupitia :
·
Kutoa jarida linalohusika kwa Ufasiri ambapo hujumuisha Tafiti ,masomo na ubunifu uliotafsiriwa.
·
kuratibu mkutano wa kimataifa wa kila mwaka ambapo
watafiti, wafasiri na waandishi kutoka Misri na ulimwengu wamealikwa kushiriki
ndani yake kujadili masuala ya Ufasiri na shida zake.
·
Kuandaa saluni ya kitamaduni ya kila mwezi ambayo
machapisho ya kituo hiki hujadiliwa na majadiliano wazi hufanyika pamoja
na waandishi, wafasiri, wachapishaji na
wakosoaji wanaovutia kukuza ufahamu wa nadharia ya Ufasiri kupitia mihadhara na
semina.
·
Kutoa jarida la kila mwezi la kutangaza shughuli za
kituo hicho, machapisho na mipango yake ya siku zijazo, pamoja na maonyesho ya
muhtasari, habari za Ufasiri na Wafasiri.
10 -
Kuhama kutoka hatua ya kutegemea msaada wa kifedha kutoka nchi hadi kufikia viwango vya kutosha vya usaidizi
kwa kuhama kituo hicho hadi mradi wa uwekezaji, kufunika gharama za uuzaji
kutoka kwa vitabu vilivyotengenezwa kwa upande mmoja na kufikia faida kwa
kuongeza ufanisi wa usambazaji na uuzaji kwa upande mwingine, na kutekeleza huduma
za tafsiri kulipia taasisi na miili Kwa upande mwingine, kwa lengo la kutosheleza
vyanzo vya kifedha zaidi, Kituo hiki
kinapanga programu za mafunzo, semina za Ufasiri na kozi maalum kwa karo ndogo
kwa kuratibu na taasisi, kampuni na vyama vya wafanyakazi kulingana na mahitaji
yake, na hivyo pamoja na programu za
mafunzo bure ambazo hutoa Kwa wanafunzi na watafiti kwa kushirikiana na kamati
ya Ufasiri ya Baraza Kuu kwa Utamaduni, ukiongezea na ufasiri wa machapisho ya mashirika na taasisi
za kimataifa , kama vitabu, ripoti, habari,
karatasi za utafiti, makubaliano na mikataba.
Comments