Muhtasari kuhusu Shirikisho :
Shirkisho la kimisri la kimichezo kwa ulemavu wa kiakili ni shirika la kimichezo linalohusika na kamati ya Paralympiki la kimichezo na chini ya usmamizi wa wizara ya vijana na michezo ya kimisri ,lilipitishwa katika mwezi wa Februari mwaka wa 2014 ,kwa uamuzi wa namba 230 kutoka Waziri wa nchi kwa masuala ya kimichezo ,naye ni mwanachama katika Shirikisho la kimataifa kwa ulemavu wa kiakili .
Shirkisho la kimichezo la kimisri kwa Ulemavu wa kiakili lilizingatiwa moja wa mashirikisho yanayojali harakati zinazohusiana na wachezaji wenye ulemavu wa kiakili (ulemavu wa kiakili _ Syndrome _ kuhisi upweke _ulemavu mgumu ),
Kimsingi linalenga ongezeko la msingi wa kufanya mazoezi kwa wenye ulemavu wa kiakili na kuboresha kwa nafasi ya kimchezo ,uratibu na kuandaa harakati za kimichezo kati ya wajumbe wake ,pamoja na kuwakilishi kwa njia nzuri kitaifa ,kikanda na Kimtaifa .
Shirkisho la kimichezo la kimisri kwa ulemavu wa kiakili kwa watu wenye ulemavu linatosheleza hewa nzuri na nafasi nyingi ili kucheza harakati za kimichezo juu ya ngazi zote ; linaloimarisha vitu ambavyo tunavilenga kuhakiksha kutoka mchakato wa ushirkiano pamoja na jamii .
Na uboreshaji wa ushiriki wao unaoendelea na kitu ambacho wanakifanya kama mazoezi mengi kwa Shirikisho katika harakati tofauti kutoka ujuzi wao wa kweli .
Shirikisho linatafutia pia kuongoza uelewa wa umma kuhusu kutia maanani kwa watu wenye ulemavu na masuala yao hasa jamii inajua kwa jukumu la kijamii linalobebwa na kila mtu kutoka watu wake kuelekea tabaka nyingine ili kuhakiksha ujihusishaji na ukamilifu zinazohitajika .
Linalenga kuendesha mpango wa kujua ili kufanya juhudi kubwa ili kujumuisha furaha ya washindi wa ulemavu kwa haki zao kwa njia inayowafanya kuhisi usawa na marafiki zao bila ya ulemavu ;ili kufurahi haki hizo na wanapatia manfuaa haya haya bila tofauti .
Comments