Nikroma

Kiongozi aliyempenda mwanamke mmisri.

Uhuru wetu hautakamilika ila pamoja na Uhuru wa nchi zote za kiafrika, basi kwamba tangu zamani nidhamu ya Ukoloni inategemea juu ya utenganisho kati ya watu na uongozi...

Ukoloni ni nidhamu inayopaswa kuharibiwa, historia ya bara hili itabadilika kulingana na maamuzi yetu.

Zisahau chuki zetu na ifanye Ghana kama mfano wa uhuru kwa Afrika yote.

katika kauli yake : neno la Nikroma

Fransis Kwami Nikroma anayejulikana na Alka Mtanko linalomaanisha asiyekosi.

alizaliwa katika tarehe ya 18, mwezi wa Septemba, mwaka wa 1909, kutoka kabila la( Nomi) kijijini mwa (Nkroful) nchini Ghana, alikufa tarehe ya 27, mwezi wa Machi, mwaka wa 1972,kutoka familia moja, naye ni baba kwa wavulana watatu na msichana mmoja, watatu hao ni kutoka bibi mmisri "Fathia Rizk" aliyejulikana nchini Ghana kwa "Arus El Nile".

Nikroma alisifwa kwa werevu wake na mhusika wake mwenye athari kubwa ingawa unyenyekevu wake. Ana lakabu nyingi pia kama "AlASNDOLIN" inayomaanisha mtu mtaalamu, na "PG" inayomaanisha aliyetoka Jela, na hii ni ishara kwa shughuli zake wakati wa ukoloni.

Alifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi mpaka mwaka wa 1934 kisha, rais wa Taasisi ya wanafunzi waafrika Marekani baada ya Ushirikiano wake katika kuianzisha, baadaye alikuwa naibu wa rais wa Umoja wa wanafunzi wa Afrika Magharibi, kisha, alichaguliwa kama mmoja wa wahusika katika mkutano wa tano wa kiafrika katika Manshister.

 

Baada ya hayo alikuwa mhusika mkuu wa chama cha mkutano wa "pwani Ya Dhahabu ya pamoja", na kiongozi wa harakati za uhuru wa Ghana toka ukoloni wa kiingereza, na mnamo mwaka wa 1952 alikuwa waziri mkuu wa Ghana.

 

Naye ni miongoni mwa waanzishi wa Taasisi ya umoja wa kiafrika" umoja wa Afrika sasa ", aliuongoza mwaka wa 1965, alipewa mkufu wa dhahabu katika mkutano wa kilele cha kiafrika kupitia harakati za kukumbusha waongozi wa Taasisi ya umoja wa kiafrika, inatajwa pia yeye ni miongoni mwa walioitwa kwa umoja wa kiafrika, basi kwamba yeye aliomba kufanya mkutano wa Akra mwaka wa 1958, nao ilikuwa nguzo ya kwanza kwa uhuru wa bara, katika mwaka wa 1961 alitoa wazo la kufanya Umoja wa nchi za kiafrika lakini nchi hizo zilipendeza jina la Taasisi ya Umoja wa kiafrika.

 

Alikuwa na nadharia tofauti za uhuru wa mtu, Ujamaa na mfumo wa utawala na mtazamo wake ulipatikana katika pande tatu nazo ni( mapinduzi ya vijana dhidi ya kizazi cha zamani- mapinduzi ya wananchi dhidi ya Marais wa sasa waliopata utawala kwa Kimwinyi - mapinduzi ya wananchi dhidi ya ukoloni).

 

Kauli zake: kwanza "tunapaswa kufanya juu na chini ili kuhakikisha utawala wa kisiasa baadaye yote yatahakikishwa"

" tunapendeza hatari wakati wa uhuru kuliko Utulivu pamoja na Utumwa"

" kuiharirisha Afrika toka utawala wa kiuzungu ni dhamana ya pekee kwa uhuru"

Naye ana mawazo mengi nayo ni kama " elezo la kiafrika la kuandika tena historia ya kiafrika"

Pia " nazungumzia Uhuru kwa wapiganaji wa uhuru"

" ufahamu nafsi"

Na " wasifu ya Ghana"

Nikroma na rais wa Misri Gamal Abd Elnasser waliokuwa marafiki wakubwa na bwana Gamal ndiye aliyemshawishi mama wa bibi Fathia ili kuolewa na Nikroma Akisema" utakuwepo ubalozi wa kimisri nchini Ghana na njia moja ya kusafiri wakati wowote, naye aliposwa na chande cha vito kinachothaminiwa kwa paundi za kimisri 100 moja, walioana mnamo siku ya kuamkia mwaka mpya au Krismas(1957- 1958)

Na inayopaswa kutajwa hapa ni kwamba Abd Elnasser alijua miadi ya harusi ingawa wengi wenye nafasi kubwa hawajajua ila baada ya kuimaliza kwa saa kadhaa, na mwana wao mkubwa aliitwa Gamal kufuatia jina la kiongozi na rafiki yake ya kimisri aliyemwakaribisha nchini Misri pamoja na familia ya arusi yake. Ili kufahamika kwamba Gamal ni indiketa kwa rais wa Ghana, na bibi huyo alikuwa akimwambia harakati za wayahudi nchini Ghana wakati wa ziara yao kwa Misri ;lililosikitisha Ubalozi wa kiyahudi nchini Ghana toka ndoa hii. Misri imewakaribisha familia ya Nikroma baada ya mabadiliko ya 1966 baada ya kuwakaribisha katika uwanja wa ndege, walikaa katika jumba la Kairo kwa miezi mitatu baadaye walikaa katika Maadi.

Nikroma akipata mkufu wa jamhuri toka jamhuri ya kiarabu ya Misri, na shau yenye heshima kitivoni mwa Kairo mwaka wa 1958.

Comments