Mwandishi mwarabu mashhuri kabisa na yeye ni mwarabu wa kwanza aliyepata tuzo ya Nobel katika fasihi mwaka 1988
Na ana Mtindo wa kipekee na uzalishaji mkubwa katika uandishi wa riwaya katika fasihi ya kiarabu mpaka alikuwa Mwandishi mwarabu mashuhuri kabisa katika raia za dunia , Nagib Mahfouz aliandika tangu mwanzo wa miaka ya arubaini na aliendelea hata 2004 na matukio yote ya riwaya zake yanatokea nchini misri na yanaonekana sifa yanayokaririwa ambayo ni kitongoji ambacho ni sawa na ulimwengu na moja ya kazi zake maarufu : Mara tatu na watoto wa kitongoji chetu ambapo zimezuiliwa kuchapishwa nchini Misri tangu kutolewa kwake hadi hivi karibuni na yeye ni Mwandishi zaidi mwarabu kazi zake ziligeuzwa kwa sinema na runinga.
Aliitwa Nagib Mahfouz kwa jina la mchanganyiko kwa utambuzi wa
baba wake Abdelaziz Ibrahim kwa daktari maarufu Nagib pasha Mahfouz
aliyesimamia kuzaliwa kwake ambako alikuwa gumu Sana
Kuzaliwa na mwanzo
Nagib Mahfouz alizaliwa 11 Disemba mwaka 1911 katika kitongoji cha Algamalea
ambapo aliishi utoto wake ndani yake , kisha alikwenda kwa Abbassia , Elhossin
na Elghoria naye ni vitongoji vya zamani vya Kairo ambavyo vimemvutia katika
kazi zake za kifasihi na maisha yake ya kibinafsi , alihitimu kutoka shule ya
misingi na sekondari na umri wake ulikuwa 18 na aliingia chuo kikuu mwaka 1930
na alipata Shahada ya Sanaa ( idara ya falsafa) kutoka chuo kikuu cha Kairo
mwaka 1934 na wakati wa maandalizi yake
Mwalimu Thesis ( alianguka mawindo kwa mzozo mkali ) kati ya
kufuata kufunza falsafa na mwelekeo wake kwa fasihi ambao unazidi na
unaongezeka katika miaka ya hivi karibuni kwa Utaalamu wake baada ya kusoma kwa
Elakaad na Taha Hussien
Njia yake
Alifanya kazi kama Mwandishi katika idara ya chuo kikuu
kisha
Katibu wa Bunge kwa waziri ya Awqaf mwaka 1939 kisha meneja
katika Ofisi ya Idara ya Sanaa mwaka 1955 kama alichukua nafasi kadhaa tangu
mwaka 1959 Na hata inajulikana pensheni mwaka 1971 ambapo alifanya kazi kama
Mkurugenzi wa Udhibiti wa Kazi za Sanaa kisha meneja wa taasisi ya kuisaidia
sinema na mwenyeketi WA bodi ya wakurugenzi kisha mkuu wa taasis ya sinema
mwaka 1966 , kisha mshauri wa waziri ya
Utamaduni kwa mambo ya sinema mwaka 1968 kama alikuwa mwanachama wa baraza la
juu la Utamaduni , katika klabu ya hadithi na chama cha waandishi
Mwenye tuzo ya Nobel,
alianza safari yake ya kifasihi kwa kuandika hadithi mfupi katika mwaka 1963
kisha kuandika riwaya ya kihistoria ambapo alichapisha riwaya yake ya kwanza
kuhusu historia ya farao kisha riwaya ya kijamii na kazi zake zilitofautiana na
aliyachukua maudhui zake kutoka chanzo zaidi ya moja ama majaribio ya kibinafsi au majaribio ya
wengine na Kipaji chake kilidhihirisha katika trilogy yake mashuhuri ( kati ya
majumba wawili , Jumba LA Shauku na Elsokaria ) ambayo ameimaliza kuandika
mwaka 1952 lakini haichapishwa kabla ya mwaka 1956 kwa sababu ya ukubwa wa
saizi yake
Nagib Mahfouz ana mwelekeo kwa kuandika riwaya zenye maudhui
ya kifalsafa zinazoshughulikia wasiwasi na fikira ya jamii ya kimisri na
alidhihirisha maisha ya tabaka la wastani katika vitongoji vya Kairo katika
kazi zake , akieleza wasiwasi na matumaini yake na alionyesha hofu zake kuhusu
masuala muhimu sana kama alionyesha maisha ya familia ya misri katika mahusiano
yake ya ndani na kunyoosha kwa mahusiano haya katika jamii na kazi hizi zina
sifa za uhalisia wa kuishi na zilichukua tabia ya kiishara kama katika riwaya
zake ( watoto wa kitongoji chetu , Haravish , safari ya Ebn Batota )
Na kati ya mwaka 1952 na 1959 aliandika idadi za Scenarios kwa sinema
hazina mawasiliano na kazi zake za kifasihi ambazo idadi ziligeuzwa kwa
televisheni katika kipindi cha hivi karibuni na miongoni mwa kazi hizo ( mwanzo
na mwisho , eltholathya , Udaku juu ya Mto Nile , mwizi na mbwa na njia )
Shughuli zake
Nagib Mahfouz alitoa zaidi ya hamsini kutoka riwaya na
mkusanyiko wa hadithi kama zaidi ya kazi
zake zilifasiriwa kwa lugha 33
ulimwenguni na kazi zake zimerekodiwa katika bunge la marekani kwa kuzingatiwa
mojawapo wa waandishi muhimu duniani na kitabu kimetolewa kuhusu maisha yake na
kazi zake za kifasihi kwa lugha ya ujerumani kwa anwani ya ( Nagib Mahfouz ,
maisha yake na fasihi yake ) mwaka 1979
Na miongoni mwa kazi zake muhimu : ( zokak elmadak , siku ya
kuua kwa kiongozi , Eltholathya , jumba la shauku , baina ya majumba mawili , Elsokariia
, Khan elkhaliliy , kashtamar , chini ya kivuli , upendo chini ya mvua , udaku
juu ya mto wa nile , zokak elmadk , watoto wa kitongoji chetu , elseman na
alkharif , mwanzo na mwisho , vioo na Kairo 30 )
Tuzo na mapambo
Mwandishi mmisri wa kimataifa Nagib Mahfouz alipata tuzo
nyingi ambazo alipewa nchini Misri na ulimwengu wa kiarabu na miongoni mwao :
Tuzo ya qut elkoloob katika riwaya kuhusu riwaya ya Radobis
1943
Tuzo ya wizara ya elimu kuhusu riwaya ya Kefah teba 1944
Tuzo ya chuo cha lugha ya kiarabu kuhusu riwaya ya Khan El-khaliliy
1946
Tuzo ya nchi katika fasihi kuhusu riwaya ya baina ya majumba
mawili 1957
Na Mpangilio wa
Meriti kutoka daraja la kwanza 1962
Tuzo ya Sherehe ya Jimbo katika fasihi 1968
Tuzo ya jamhuri kutoka daraja la kwanza 1972
Tuzo ya nobel ya kimataifa katika fasihi 1988
Mkufu mkubwa kabisa wa nile 1988
Kifo kwake
mnamo asubuhi ya 30 mwezi Agosti mwaka 2006 Mwandishi
mmisri na mwenye tuzo ya Nobel Nagib Mahfouz alikufa katika
hospitali ya polisi .
Comments