haijageuka wakati wa miaka 67 yote
Mchuano wa ligi ni mmoja wa michuano ya kitaifa muhimu zaidi, unaoshirikia timu nyingi ambazo idadi zake zinafikia 18, na timu inayoshinda ni ile inayohakikisha pointi juu zaidi, na ngao hiyo imetengenezwa katika msimu wa 1949/1950, nayo ni ngao ya kimviringo ya kifedha inayozungukwa kwa fomu na kipenyo chake kinafika kiasi cha sentimita 95.
Toleo la kwanza
limefanywa mnamo 1948, na Al-Ahly, klabu iliyoshinda zaidi mpaka hivi sasa kwa
kiasi cha mara 41, imeishinda kwa ngao hiyo, kisha Al-Zamalek iliyoshinda kwa
mara 12 na baadaye ni Al-Esmaily iliyoshinda kwa mara tatu.
Sura ya ngao hiyo
haijageuka tangu utengenezaji wake, isipokuwa msimu wa 2016, ambapo Shirikisho
la mpira limeamua kuichora Pyramidi ya Al-Giza na bendera ya Misri, na hiyo baada
ya fomu yake ya zamani imebaki kwa miaka 67.
Timu ya Al-Ahly,
inayoshinda ligi katika msimu ambao umbo wa ngao umegeuka- imepata toleo la
ngao mpya la kwanza- na hiyo baada ya Al-Zamalek imepeleka ngao ya zamani kwa
Al-Ahly bila ya kuchukua amri ya Shirikisho la mpira; kwa hiyo Al-Gabalaya
(Al-Zamalek) imepeleka ngao mpya kwa timu nyekundu (Al-Ahly) na imerejesha ngao
ya zamani kwa makumbusho ya Shirikisho la mpira.
Na kwenye ligi ya
Misri kwa msimu huo, Al-Ahly ikiongoza taratibu ya ligi hii kwa pointi 59,
baada ya kucheza mechi 22 ambapo imeshinda
mechi 19, imeshindwa mechi moja na imefungamana katika mechi mbili.
Comments