Hamada Emam

Mbweha wa mpira wa miguu wa kimisri

Kuzaliwa na Ukuaji


Hamada Yehia Emam na aliyekuwa maarufu kwa jina la Hamada Emam alizaliwa mnamo  Novemba 28, 1948 mjini Kairo.


Ameupenda  sana mpira wA miguu kwa urithi ambapo baba yake ni Yehia Emam, Golikipa wa timu ya kitaifa ya Misri mnamo miaka ya Arubaini.


Safari yake 


Ali Sharaf kocha wa wachipukizi wa klabu ya El Zamalek alimgundua mnamo 1957 na alimunga kwa timu ya vijana chini ya miaka 16 .


 Alichangia katika kufikisha mafanikio kwa klabu ya El Zamalek , muhimu yake kabisa ni kushinda ngao ya ligi mnamo 1964 / 1965 na mechi ya El Zamalek pamoja na Westham ya Kiingereza ilishuhudia Kilele cha uzuri wake ambapo alifunga mabao 3 kutoka 5 yaliyohakikishwa kwa klabu ya  El Zamalek.


Na yeye aliacha kucheza mpira mnamo  1974 na baadaye alielekea usimamizi 

ambao ulifanikiwa pole pole hadi alifikia kwa nafasi ya naibu wa mkuu wa Shirikisho la kimisri la mpira wa miguu .


Pia baada ya kujistaafu kwake alielekea  kutoa maoni ya michezo hata alikuwa miongoni mwa wachambuzi maarufu zaidi  wa mpira wa miguu katika ulimwengu wa kiarabu 


Maisha yake ya kibinafsi 


Kocha Hamada Emam ni Mume  wa Dokta Magy El Halawany aliyekuwa mkuu wa zamani wa kitivo cha Vyombo vya habari na baba wa Hazem Emam "Nyota wa zamani wa klabu ya El Zamalek na timu ya kitaifa ya kimisri, na mwanachama wa zamani wa bodi ya wakurugenzi wa Shirikisho la mpira wa miguu.


Na Hamada Emam alikuwa ameshaanza safari yake ya mpira wa miguu kwa kujiunga kwa wachipukizi wa klabu ya El Zamalek mnamo 1957 baada ya Ali Sharaf alimwona na aliamua kujiunga kwake kwa klabu na alikuwa amecheza kwa makundi mbalimbali ya vijana klabuni na yeye alikuwa katika umri mdogo kutokana na kipaji chake kikubwa .


Na Hamada Emam alikuwa mchezaji mmisri wa kwanza kuunda chama cha watu wengi kwa jina lake na baada ya uhitimu wake wa kitivo cha jeshi , Alipandishwa hadi alifikia  kiwango cha Jenerali,na kuna mechi muhimu na mashuhuri sana katika safari yake ya mpira wa miguu ambayo aliicheza mbele ya Westham United ya Kiingereza mnamo 1966 ambapo aliangaza na kufunga mabao matatu kutoka matano kwa klabu ya  El Zamalek .


Na akijisifu  mwenyewe  katika vidokezo vyake katika mojawapo ya magazeti ya watoto : wote wananijua kwa jina la Hamada Emam na hakika Hamada ni jina la anasa tu kwa Mohammed , nimekua katika nyumba ya mpira , mahali pote panahusiana na Mpira, nilipata makombe , medali , ishara , bendera za kumbukumbu na picha za mechi zinajaza kila nafasi nyumbani.


Na mazungumzo ya mpira yalikuwa yamejaza masikio yangu katika kila dakika ambapo babangu Yehia Emam alikuwa kipa wa kimataifa wa Misri kwa muda wa miaka 11 na babangu mdogo ni Hussien Emam mwamuzi wa zamani wa kimataifa.


Na Emam katika nafasi nyingine ya kumbukumbu zake anaeleza kwamba baba yake  Alimuogopa kutoka kuingia kwenye ulimwengu wa mpira .

Alieleza uamuzi :kwani wachezaji wengi hawajamaliza masomo yao lakini mjomba wangu alikuwa akinichukua kila wakati kwa klabu ya El Zamalek ili kutazama mechi bila kumwambia babangu na niliupenda mpira , niliupenda kama nilivyowaambia kwani nimekuwa katika nyumba ambayo mpira ni kila kitu ndani yake.


Kwa nini Hamada Emam aliamua kuendeleza safari ya babake?

Akisema : watoto walikuwa wamesema kwamba babangu ni mashuhuri na nilijisikia umaarufu wake wakati tulipokuwa tukienda Sinema na watu wanamzunguka wanamsalimia, nilikuwa nimejisikia kwamba napaswa kuwa  mchezaji wa mpira ili kuhifadhi jina la babangu na umaarufu wake kama mchezaji wa mpira na kuingia klabu kama mchezaji   bila ya kujua  baba  pia .


Emam anaeleza : Mara moja , nami nilikuwa katika shule ya 

Khedive Ismaail na nilikuwa 

nimefanya mazoezi ya kupendeza ya mpira wakati Ali Sharaf aliniona na alinichukua kutoka mkono wangu na tulienda pamoja kwa klabu ya El Zamalek na nimeogopa  babangu angejua angekasirika lakini Kocha Ali Shaarf aliniambia :Mimi "Nitamshawishi baba yako" na baada ya kuingia kwa Hamada elEmam kwa klabu ya El Zamalek katika mara hii  kama mchezaji na sio mtazamaji bila ya idhini ya baba yake , alicheza mechi yake ya kwanza " kwa mpira mkubwa " kama yeye anauelezea na vijana wa klabu mbele ya timu ya al Al Ahly mshindani wa kawaida .


Inasemekana juu ya mechi hii : "Klabu ya El Zamalek ilishinda 4 :0 na nimefunga mabao manne na hivyo ilikuwa mnamo 1958 baada ya ushindi huu , tulicheza na klabu ya  El Tersana na El Zamalek ilishinda pia 4:0 nami pia nilifunga mabao manne ".


Jambo Halikuhifadhiwa siri kwa muda mrefu , matokeo na  mabao hayo yalimfikia baba yangu Golikipa mkubwa wa El Zamalek  kwa kasi.


Na Emam alisema : babangu alisikia hadithi ya mabao aliyafunga kisha alihudhuria mechi iliyofuata ambayo ilikuwa mbele ya timu ya Kairo kaskazini na El Zamalek ilishinda 24-0 nami nilifunga mabao 18 na hapa babangu aliniamini mimi na mustakabali yangu ya mpira , naye akawa mwenye neema juu yangu baadaye ili kuwa mchezaji anayependwa na watu .


Mvulana kati ya nyota wa mpira 


Fursa ilikuja kwa Hamada Emam ili kuelekea kutoka wachipukizi hata kushirikia katika timu ya kwanza naye alikuwa katika umri wa miaka 17 ili anajikuta karibu na wachezaji wa kimataifa walikuwa nyota katika maoni yake kabla siku chache .


 Alifafanua hisia zake kuhusu mechi za kwanza karibu nao : "Nilijisikia kwamba mwili wangu ni dhaifu kwa hivyo nilijisikia kwamba uwezo wangu  kama mchezaji wa mpira lazima uwe kwenye  kichwa changu kwa hiyo ninajaribu kila wakati kuitegemea akili na furaha yangu ya juu kwamba mpira unatoka kutoka kwa  miguu yangu kwa njia nzuri kama wimbo wenye ujuzi na sanaa na kisha umma utafurahi na utasema Allah .

Na mpira mzuri unanifurahia kama unaufurahia umma pia .


Mbweha alicheza Fidla


Maelezo ya wimbo yanamsukuma Mbweha kwa kukumbuka mojawapo ya ajabu ambazo vidokezo vilizigundua , na kama mpira ulikuwa kipaji chake ambacho kilibadilika kwa kazi anacheza kwa makini , uhodari na upendo , lakini haukuwa kipaji chake cha kipekee . Yeye alikuwa hodari katika kucheza Fidla kama Inasemekana kuwa  kucheza kwake kwa  Fidla katika wakati mwingine hutoa nyimbo nzuri na wakati mwingine nyimbo mbaya , hasa kama katika mpira ikiwa hali ilisababisha mabadiliko ya utendaji wake

Jinsi umaarufu ulivyoanza na kwa nini alikuwa huko Gaza ?


Anajibu : kwamba umaarufu ulianza wakati alipocheza na vijana wa klabu ya El Zamalek mbele ya klabu ya Al Ahly katika fainali ya kombe la dunia na El Zamalek iliweza kusawazisha na Al Ahly na wakati huo alikuwa na baba yake Yehia El Horia Emam aliyekuwa Mtawala wa Gaza wakati huo.

 

Klabu iliomba Hamada na ilihudhuria kwa ndege ili kushirikia katika mazoezi mnamo siku hii hii kisha alicheza mechi katika siku iliyofuata , mechi ambayo El Zamalek ilishinda kwa mabao 6 , yeye alifunga mabao matano peke yake ili Kocha Hassan Helmy kuanza kumtegemea na timu ya kwanza mnamo 1959.



Umaarufu na shule 


Umaarufu huo wa mapema ulimwogopa baba kuhusu mwanawe kutoka mustakabali na kutoka umaarufu unalemaza kwa masomo yake lakini Hamada Emam nawe aliwaambia wasomaji wa Samir kutoka watoto , alisema kwamba hivyo hasa ilimhimiza kwa kujitahidi katika masomo yake nayo ilipelekea kwamba yeye ni 

mmoja wa kwanza katika shule yake wakati wote , hata alihitimu kutoka Kitivo cha jeshi naye ni katika umri wa miaka 19 .


Emam hayafichi maoni ya watu aliyosikia juu ya wasiwasi ya umma kuwa ubatili utaingia mwenyewe , naye anakanusha uwezekano wa tukio hilo , akisema :  Hii haiwezi kamwe kutokea kwani halifikii kwa nusu ya kiwango cha wachezaji wote na Ninatamani kufikia kwa nusu ya kiwango cha  El Dhzwy mchezaji mmisri wa zamani kisha amestaafu.


Lakini Mbweha hafichi furaha yake wakati anasikia maoni ya watu juu ya kiwango chake na utendaji wake bora na alikumbuka kwamba yeye alifurahi wakati alisoma kwamba kiongozi wa timu ya Totnam alisema kwa gazeti la Sunday Express baada ya mechi ya timu ya Uingereza na El Zamalek mnamo 1963 : "Hakushuhudia mchezaji chipukizi wa mpira wa miguu kutoka vijana kama Hamada Emam tangu miaka miwili"   na aliongeza kwamba yeye alibeba agizo la wajibu kwa sababu ya mechi ya Totnam na medali ya michezo ambayo wachezaji wote wa El Zamalek waliishinda baada ya mechi ya Westham

Kwa bahati na kwa fursa


Mbweha aliwaambia wasomaji wa Samir kwamba yeye anamini kwa bahati na wivu .na anakumbuka jinsi njia yake ya mpira inavyokaribia kumalizika kabla ya kuanza bila fursa hii , ambapo katika mechi ya El Zamalek mbele ya El Tersana naye alicheza mbele ya upande wa kulia kama Kocha Hassan Helmy.


 Robo saa ya mechi ilipita naye alitembea bila faida kisha Kocha aliniamuru kuenda kutoka upande huo na kabla ya kutekeleza vidokezo , mpira ulionesha mbele yangu na nimenyakua mpira na lilikuwa bao bora kabisa katika maisha yangu na baada ya uamini ulirudi kwangu , Kocha Helmy alimrudisha kwa upande wangu wa kwanza kama Msaidizi wa kushambulia na nilifunga bao la pili ambalo limethibitisha kuwepo kwangu katika timu na namshukuru Mwenyezi Mungu kwamba bahati hainiachi ila robo saa tu.


Sababu za utendaji bora 


Mbweha aliwaambia wasomaji wa Samir kuhusu sababu ambazo anaziona zinasimamia nyuma ya mafanikio kwamba sababu ya kwanza ni upendo mkubwa wa umma ambao una nia ya kuhudhuria mechi kwa furaha na shauku na kwani yeye ni sababu moja kutoka furaha hii , yeye alitoa zaidi na sababu ya pili kwamba yeye anachukia sana kushindwa  na alisema kwamba katika kesi za kushindwa , yeye alijifunga mwenyewe nyumbani na hatoki na anazuiliwa kutoka umma na anaepuka kukabiliana nao katika klabu au barabara na sababu ya tatu ni uangalifu wake wa kufanya bidii katika uwanja wa michezo 


Mamake 


Anasema : ninajitahidi kucheza vizuri zaidi kwa sababu ya mamangu , naye anabaki kuomba kwa ajili yangu lakini hapendi kunitazama katika televisheni kwani kuna watu wanalaana bila kuhesabiwa haki na kwa kweli mamangu anahuzunika lakini atafanya nini ? Na kuna watu hawafahamu kwamba yeye anaelewa katika mpira kuliko wachezaji.


Maneno ya mwisho 


Hamada Emam alimalizika hadithi hii iliyoandika kwa sentensi fupi ambayo ni ufupisho wa matumaini yake na mambo yanayopenda ili tunakumbuka hapa tena kwamba maneno haya aliyoyaandika naye  alikuwa yupo katika umri wa miaka 25 :Ninapenda sana pipi na hasa Jely na ninachukia nyama ya Bata bukini na sikula kamwe .


Nampenda mchezaji mwingereza Boby Charletone na nitafurahia kucheza kwa Samir Kotb.


Na ninaweza kusema kwamba mimi ni mchezaji mtiifu na huendelea na mazoezi na sivunji amri za Kocha na wasimamizi .

Nimesherehekea Lakabu ya Mfungaji wa El Zamalek mnamo miaka mitatu ya hivi karibuni.



Kifo chake 


Mbweha wa mpira ameaga dunia katika umri wa miaka 67.

Comments