Stanly ya mashariki
Bustani za El Qanater El Khayreya mkoani El Qalyubiya,
zimepata umaarufu mkubwa kwa mahali pao pa kipekee na maalum baina ya bustani
za Misri zote. Zinazopendezwa kwa mioyo ya wafalme na marais wa Misri mnamo
historia yote.
Hizi ni bustani za El
Qanater El Khayreya zenye mandhari za kuvutia, zinazokuwemo baina ya matawi ya
Damiette na Rashid, na zinatofautiana kwa kuwa na spishi nadra mbalimbali za
miti iliyokadiriwa umri wa baadhi yao kwa mamia ya miaka. Idadi ya bustani hizi
ni 10 zilizokuwemo katika eneo la ekari 68. Bustani kubwa zaidi ni “Afla”,
inakuwa na eneo la ekari 13, hii ni kama zingine za bustani za El Qanater El
Khayreya inatofautiana kwa mahali pake pa kipekee na mandhari ya kuvutia, na
inayomo kwenye ukingo wa kushoto wa tawi la Demiette baina ya daraja za zamani
na zipya za Mohamed Ali.
Inaelekea Nile
kwa mandhari ya kupendeza kwenye
mwelekeo wa watu wa Misri. Inapendezwa kwa kuna spishi kipekee za kudumu za
miti, ambayo umri wa baadhi yao unazidi juu ya miaka 100 kama: " Mitini ya
Bengali", na inatambulisha kwa miti nadra kama: “Swusea- Bmpx- Walfix
Victoria- Mitende ya kifalme- na mengineyo", pamoja na maporomoko ya maji
ya viwandani, miavuli ya kibao, njia zenye mawe, na eneo kubwa la nyasi ya
kijani.
Bustani ya kituo cha utamaduni cha sayansi za maji inayomo
katika eneo la ekari 8, na inatofautiana kwa kuna mifano ya majaribio na kazi
za umwagiliaji kama “kijito (kifaa cha kumwagilia) na Shadouf (kifaa cha kubeba
maji)”, na nyingine ndani ya bustani, pamoja na eneo kubwa la nyasi ya kijani,
miti nadra, njia, miavuli, huduma mbalimbali.
Bustani ya Nile inayotofautisha kwa mahali pa kipekee kwenye
eneo la ekari 6, inayomo kwenye ukingo wa kushoto wa tawi la Rashid mbele ya
daraja za zamani za Mohamed Ali, na inatofautiana kwa mwelekeo wa watu wa Misri
kwa urefu wa mita 500 kwenye Nile, na hii ni njia ndefu zaidi kuliko zote
katika bustani kwenye Nile. Ameongeza: imepangwa tena, na kutolewa na njia, miavuli ya kibao, mgahawa
kwenye Nile, na ukumbi wa harusi, pamoja na miti nadra, na eneo kubwa la
kijani.
Comments