“binti mfalme” wa wasichana wa dhahabu wa klabu ya Al Ahly
Nahla Sameh –Mkuu wa timu ya wanawake ya mpira wa mikono
katika klabu ya Al Ahly- anakuwa nyota maarufu zaidi miongoni mwa wasichana wa dhahabu; kuzingatia
hadhi yake ya kiongozi ndani na nje ya uwanja, pamoja na hamu yakd katika
mashindano yote anayeyacheza, ambapo ana uzoefu mkubwa, unaomsaidia kuendesha muda wa mchezo kwa
faida ya timu yake au timu ya kitaifa ya nchi yake, pia, Nahla Sameh alishinda
kupitia rekodi ya Hossam Ashour –Mkuu wa timu ya mpira- aliyemalizika safari
yake na Al Ahly mwishoni mwa msimu huu.
Ambapo ana mashindano 45, ni ( maligi 17- makombe 17 ya Misri- mashindano 6 ya
Afrika ya klabu- mashindano 5 ya kiarabu).
Tunakuta kuwa Nahla Sameh ni kiongozi kwa kweli,
ambapo jukumu lake halitofauti na mtu
yeyote katika chombo cha kiufundi, haswa ana uhusiano mzuri pamoja na wenzake
wote, na unawafanya kusisitiza kuwa yeye ni mfano bora zaidi kwa kiongozi.
Nahla Sameh amekua kutoka familia inayopenda mpira wa
mikono, basi yeye dada wa Shereihan Sameh -Nyota wa zamani wa klabu ya Al
Ahly-.
Nahla Sameh ana umaarufu mkubwa kwa watazamaji wa Al
Ahly, hautofauti na umaarufu wa nyota kubwa wa mchezo, kama Hanaa Hamza, na
Mona Abd El Kareim.
Comments