Ni miongoni mwa Makumbusho ya Aleskandaria na yako karibu na njia ya uhuru
Ni kama jumba la zamani la mfanyabiashara mmoja tajiri wa mibao aliiitwa "Asaad Basili"aliyeyajenga kama majengo ya kiitalia.Mnamo 1954 Makumbusho yameuzwa kwa Ubalozi wa kimarekani kwa kiasi Cha paundi za kimisri elfu 53.na Baraza kuu la mabaki ya kale limeyanunua kwa kiasi cha paundi milioni 12.na ambalo limeyabadilika kuwa Makumbusho ya kitaifa kwa mji, baadaye Rais wa zamani Mubark akafungua Septemba mosi 2003.
Jumba la makumbusho
lina zaidi ya vipande vya kale 1800
vinavyoashiria vipindi vyote tangu kipindi cha taifa la kale hadi kipindi kipya
, na vipande hivyo vinaonesha Ustaarabu wa Misri , Utamaduni,Sanaa,na
Utengenezaji wake wakati huo, pia vinaweza kuonesha umoja wa kihistoria na
wahusika wamisiri kupitia mabaki ya kale ambayo yanatafsiri historia ya kimisri
kutoka matukio ya kitaifa.
Kwanza ,kipindi cha
kimisri cha Mafarao kikizingatiwa Ustaarabu kale Sana baadaye zama ya
Ptolematic , zama ya kirumi , Bizinti na kiislamu na mwisho wa vipindi hivyo
kwa familia ya Mohamed Ali na mwisho wake kwa mapinduzi ya 1952.
na vipande hivyo vimekusanyika kutoka majumba mengi miongoni mwa majumba hayo,
jumba la kimisri ,la kiislamu ,la kikoptiki mjini Kairo .na jumba la makumbusho
la kigiriki , kirumi na mabaki ya kale yaliyozama na mabaki ya kiislamu mjini
mwa Aleskandaria.
vipande muhimu
vinavyopatikana ni kama:
Sanamu la katibu mmisri na kundi la vyombo ambavyo viko
kwenye Piramidi ya mfalme wa "Zousir".
Katika enzi ya Kati kundi la masanamu yanayoashiria kubadili
sanaa kutoka udhanifu hadi uhalisi .na dalili hizo huonekana wazi katika sanamu
la mfalme "Amn MEHAT wa tatu".
Ama enzi mpya ya
kitaifa imezingatiwa enzi ya kisanaa zaidi kwani kusanya baina ya uhalisi wa
shule ya Tiba na udhanifu wa shule ya MNf, basi tulikuwa na
vipande vizuri zaidi,
ambavyo viko katika
jumba hili kama kichwa Cha mfalme" HATSHEPSUT "na kichwa Cha mfalme
EKHNATON.
Na kundi la kisanaa la mfalme "TOHTMS" wa tatu wa
Mungu Amon na mfalme wa Ramses wa pili.
Katika enzi ya kabla ya enzi ya mwisho aidha iko kundi la
sanamu kwa wafalme wa enzi hizi na mfano
wa kaburi inajumuisha sanamu ,kundi la majeneza na hirizi mbalimbali.
Ama sehemu ya kigiriki ya kirumi iliyojumuisha mabaki ya
kale kutoka enzi mbali mbali kama Calhillenssee ,kirumi na kigiriki.
Jumba la Makumbusho ya kitaifa ya Aleskandaria ni la kipekee
katika kuonesha ukumbi maalum wa vitu vya kale vilivyozama, ambavyo ni pamoja
na mkusanyiko mzuri wa vitu vya kale vilivyozama ambavyo vimepatikana, na
sehemu hiyo pia inaonyesha picha wazi za shughuli za uchimbaji ili wote waweze
kuunda mtazamo wa sura na hali ya zamani kabla ya kupatikana.Miongoni mwa
vipande muhimu zaidi katika sehemu hii ni sanamu la itale nyeusi kwa Isis, sanamu la Kuhani mmoja wa
Isis na kikundi cha masanamu ya marumaru na picha za miungu kadhaa ya Uigiriki,
pamoja na sanamu la Venus, mungu wa kike wa upendo,kichwa wa mkuu wa Alexander
AlAkbar na wengine.
Ama sehemu ya tatu
kutoka sehemu za makumbusho Ina enzi tatu nazo ni: enzi ya kikoptiki,
kiislamu,na kisasa.
Na sehemu ya
kikoptiki inajumuisha zana zilizotumiwa katika maisha ya kila siku na zana hizi
ni kutoka shaba ,fedha na pronzi .
Aidha vitu kama mibao ya hali ya kidini kama, Mbao wa Yesu
na karamu ya mwisho na aidha kundi la kitambaa Cha pambma ,kitani na sufu na
kundi la zana za kifahari zilizotumiwa kila siku .
Na Kuna aidha mahali kwa pesa palipojumisha pesa kutoka
makundi ya enzi tofauti miongoni mwa pesa zilizokuwa chini ya maji katika ghuba
ya Abu Qir .
Makundi ya pesa nyingine za enzi ya Byzantine na kiislamu
.na pale Kuna kundi la silaha za enzi ya kiislamu na aidha kundi la Maadini, glasi, na pambo zinazorudishwa kwa enzi
tofauti za kiislamu.
Ama sehemu ya kisasa
Ina kundi mbalimbali kutoka vitu vya familia ya Mohamed Ali kutoka fedha
, dhahabu na vito vya thamani vilivyokuwa vikitumiwa na wafalme na Maamiri wa familia kuu.
Comments