Kijana anayebadilisha udongo kuwa dhahabu
Wakati wa kuita mpira wa mikono lazima kuita nyota Ahmed Al
Ahmar –mchezaji wa klabu ya Zamalik- mmoja wa wachezaji bora Zaidi katika
historia ya mpira wa mikono wa kimisri, na kiafrika, bali duniani pia.
Ahmed Al Ahmar amezaliwa Januari 27, 1984, na yeye ni mtoto wa Moustafa Al Ahmar
nyota wa klabu ya Zamalik, na timu ya Misri ya zamani katika mpira wa mikono.
Baba wa Ahmed alimtarajia mtoto wake kuwa mchezaji wa mpira
wa miguu, lakini mpira wa mikono umevutia moyo wa mtoto mdogo, aliopenda na
klabu ya Zamalik, na ameamua kuucheza tu bila michezo yoyote.
Urefu wa Ahmed ni sentimita 1.90, uzito wake ni kilo 90,
anacheza na mkono wa kushoto, na hicho ni kitu bora Zaidi katika mpira wa mikono.
Mwaka 2004 umekuwa mwanzo halisi kwa Ahmed Al Ahmar aliyekuwa
kijana wa dhahabu kwa klabu ya Zamalik, na timu ya Misri katika muda mfupi
sana.
Wakati Ahmed anapata mpira, wote wanakuwa na picha nzuri ya
kiufundi, au bao la kuvutia usiwezi kusimama mbele ya uzuri wake ikiwa wewe ni
shabiki wa klabu ya Zamalik au klabu yoyote.
Ahmed anaitwa kwa Messi wa mpira wa mikono, kwa sababu ya
ujuzi wake wa hali ya juu katika mchizo, uwezo wake wa kufunga mabao, na
kuongoza timu yake kwa kushinda daima.
Ahmed ni mmoja wa wapenzi wa nyota wa Argentina Lionel Messi
–mshambuliaji wa klabu ya Barcelona ya kihispania-, na anamdhani kuwa yeye ni
bora zaidi kutoka mreno Don Cristiano Ronaldo -mshambuliaji wa klabu ya
Juventus ya kiitliano-.
Al Ahmar ametawazwa pamoja na klabu ya Zamalik kwa ligi ya
mabingwa wa Afrika kwa mara 5, ligi kuu ya Afrika kwa mara 5, kombe la mabingwa
wa ligi kwa mara moja, mashindano ya Afrika ya mabingwa wa makombe kwa mara 4,
pamoja na ligi ya Misri kwa mara 4, kombe la Misri kwa mara 3, na kombe kuu la
Misri kwa mara 3.
Pamoja na Zamalik, amepata kiwango cha tatu katika mashindano
ya kombe la Dunia ya klabu, mwaka 2010, na wakati huu ameshinda lakabu ya
mfungaji bora wa mashindano.
Ama kuhusu timu ya Misri, ameshinda nayo kombe la mataifa ya
kiafrika kwa mara 3, ameshiriki nayo katika kombe la Dunia kwa mara 7, na
katika Olimpiki kwa mara 3 (Athena, 2004- Beijing, 2008- Rio de Janeiro, 2012).
Alipocheza katika mistari ya klabu ya Ujerumani Flensburg
amepata nayo mashindano ya kombe la Ujerumani, mwaka 2015.
Ahmed ameolewa na msichana mzuri anayeitwa
Samar, wana mtoto wa kike mmoja, jina lake ni Farida anayekuwa bingwa wa
Gymnastics wa wasichana wa Jamhuri chini ya umri miaka 6, mwaka 2019, na ana
mtoto wa kiume mmoja, jina lake ni Omar.
Comments