Bingwa wa kimataifa wa Taycondo
" Paka
kali"... hakupata lakabu hii bure,
basi yeye alizembea vikwazo vya kiutamaduni vinavyoufanyika mchezo wake ni kwa
wanaume tu, naye alikuwa msichana mmisri mwarabu mwaafrika wa kwanza awe
maarufu duniani katika uwanja wa michezo kail " Taycondo".
Jina
lake ni Karolin Amazis Maher Yousry, ana
miaka 32, alipata medali 130 katika mashindano ya kimataifa, kikanda, na
kiarabu, ambapo alishiriki katika mashindano kwenye nchi 40 tofauti, naye
alikuwa mchezaji mmisri, mwarabu, na mwaafrika aliyeheshima kwenye jumba la
watu maarufu kwenye Marekani.
Alianza
kucheza mchezo wa Taycondo ambapo alikuwa na miaka 10, na hiyo ilitokea ghafla
ambapo alikuwa akingoja mwenzake mnamo mazoezi yake katika klabu ya Elsed, naye
aliupenda mchezo na aliamua kuujaribu nakuucheza.
Naye
anaongeza kwamba yeye kwa kweli alianza kucheza mchezo huu, na baada ya mazoezi
yaliyoendelea kwa miezi miwili, alisafiri pamoja na timu ya wachezaji changa
kwenye klabu ya Elsed ili kushiriki katika michuano ya Ujerumani naye alipata
medali ya kifedha, akiashiria kwamba uchezaji wake kwa mchezo huu haukumfanya
kuzembea masomo yake bali yeye alifaulu vizuri basi yeye alijiunga chuo kikuu
katika mwaka wa 2004, na alipata faida toka Udhamini wa kimasomo unaotolewa
toka chuo kikuu kwa mabingwa wa kimichezo waliohakikisha mafanikio makubwa kwa
Misri, naye alifanikiwa katika chuo kikuu kwa kiwango cha masomo na michezo
kama mwanachama wa timu ya chuo kikuu cha Taycondo, alipata cheti cha Uandishi
na vyombo vya habari toka chuo kikuu cha
2009 pamoja na heshima, pia
alipata cheti cha masomo ya juu ya Urasiliamali toka chuo kikuu cha
Victoria kwenye Uswezi, pamoja na usimamizi wake wa jumuia inayolenga
kuwasaidia walemavu.
Karolin
alishiriki katika mashindano na michuano kadhaa na alipata medali 130 miongoni
mwao ya kidhahabu, kifedha, naye aliacha mchezo huu baada ya tangazo la uamuzi wa kijamhuri kutoka Rais
Abd Elfatah Elsisi kwa kumwainisha katika Bunge ya kimisri, miongoni mwa
kiwango kilichoainishwa kwa Rais katika Disemba 2015 ili kuwa mwanachama mdogo
zaidi kwa umri wake, ambapo wakati huu alikuwa mwenye miaka 29.
Na
miongoni mwa wanawake 30 duniani, alipata heshima, alikuwa mmisri wa pekee
aliyeheshima mwaka wa 2015 mnamo sherehe ya mafanikio ya mwanamke duniani,
Karolin alikuwa na tatizo kubwa lililokaribia kuharibu mustakbali yake wakati
ambapo aina yake ya uchamuzi ilibadilika mnamo mwaka wa 2011, na ilithibitisha
kwamba yeye ana hermoni za Ume, naye alifanya kesi mbele ya mahkama ya
kimataifa, na mahkama ilihukumu kwa upande wake baada ya kuhakikisha kwamba
aina ile si sahihi.
Na
Karolin akiendelea kwamba yeye alitumia kuwepo kwako ndani ya Bunge ya kimisri
naye alitoa miradi muhimu kwa wasichana wa jinsia yake, miongoni mwao ni mradi
wa sheria khasa kwa uhalifu na wizi wa watoto
na uliidhinishwa kwa kweli, na mradi wa pili hujadiliwa hivi sasa nao
unazingatia watoto wa Ulezi na vimbilio ,
wakati ambapo hujumuisha kutosheleza haki kwao kama kufanya chama katika
vituo vya vijana, kutosheleza Bima ya Afya , kadi ya kimatibabu, na kuwaangalia
katika elimu na kuwasaidia kujiunga chuo kikuu.
Comments