"Familia" za skwoshi “ Boga ”

Ni minyororo ya dhahabu zatoa vizazi vya Dunia

 Mti wa ndugu una matawi kwenye familia za ngome ya glasi ili kujumuisha zaidi ya mbili maalum na kutoka mataifa tofauti, ingawa Misri inabaki na sehemu kubwa kati ya mbili zile , zilizovutia watazamaji  kufuata mashindano ya kifamilia yaliyosababishwa na roho ya ushindani na kuwa na roho ya michezo na familia.

 

Kwenye viwanja vya glasi na hata ndani ngome ya glasi Zaidi ya mchezaji mmoja anakabiliwa na kaka yake ,Mmoja wao atatoka mshindi dhidi ya mwengine  anatoa machozi ya furaha na maumivu wakati huo huo kwa ajili ya ndugu yake mwingine aliyeondoka kutoka mashindano hayo au yale kwa sababu yake.

 

Ramy na Hisham Ashour

Ramy Ashour ni mmoja wa wachezaji bora wa skwoshi  “ Boga ”  kwenye historia kwa mafanikio yake. Ambapo Msanii wa skwoshi  “ Boga ”  alizaliwa mnamo Septemba 30, 1987, Ashour alikuwa mtaalam mnamo 2006, kisha Msanii wa Boga Kama mashabiki walimwita jina hilo , anafikia mechi 55 za mwisho ambapo alishinda mataji 40.

 

Viwanja vya skwoshi  “ Boga ” vilishuhudia kuwepo kwa wawili  Ramy Ashour Bingwa wa zamani wa Dunia na kaka yake mkubwa Hisham Ashour, wakicheza mchezo huo kwa pamoja, Kabla ya kaka mkubwa kustaafu na Ramy ajiunge naye mwaka huu.

 

Mohammed na Marwan El Shorobagy

 

El-Shorobagy ni mfano mkubwa zaidi kwamba skwoshi  “ Boga ”  ya kimisri ni mchezo wa familia moja, haswa baada ya ndugu Mohamed na Marwan El-Shorobagy kukusanyika kwa pamoja ili kukutana kila mmoja katika fainali ya Mashindano ya Ulimwenguni huko Manchester, na pia walikabiliwa katika fainali ya Mashindano ya Kimataifa ya El Gouna, na wawili wale walikuwa mfano bora wa ushindani wa michezo na ndugu ndani ya ngome ya glasi.

 

Hania na Karim El-Hammamy

Hivi karibuni, Hania El-Hammamy alitawaza kwenye Mashindano ya Dunia kwa wachipukizi wa skwoshi  “ Boga ” , bingwa huyo anafuata nyayo za wachezaji wakubwa ambapo anatamani kufikia nafasi ya kwanza duniani kama Raneem El welily, wakati kaka yake Karim anatamani kufanikisha tamaa hiyo hiyo katika mashindano ya wanaume.

 

Nouran na Heba El Torky

Viwanja vya skwoshi  “ Boga ”  vilishuhudia mbili mpya kutoka kwa familia ya El Torky , ambapo wawili Heba na Nouran, ambao bado wana mengi ya kutoa katika Viwanja vya glasi na skwoshi  “ Boga ””  ya Misri.

 

 Kamille na Lucas Serem

 

Wafaransa wawili katika viwanja vya skwoshi  “ Boga ”, ambapo Kamille Serm anachukua nafasi ya tatu ya ulimwengu ,wakati kaka yake anatamani kuingia orodha ya 10 bora zaidi ya mashindano ya wanaume.

 

Amanda na Sabrina Sobhy

 

Wamarekani wawili wenye asili ya Misri hivi karibuni walionekana kwenye mchezo wa Boga ,kupamba viwanja vya ngome za glasi katika mashindano ya wanawake.

 

 

Nelly na Tiny Glis

 

Wawili wa Ubelgiji, mechi ya mwisho iliyowakusanya ilikuwa ni raundi ya 16 kwenye Mashindano wazi ya kimataifa ya Uingereza kwa skwoshi, na Nelly alishinda dada yake kwa michezo mitatu dhidi ya mchezo mmoja ili kufikia robo fainali ya mashindano, na kutoa machozi baada ya kumalizika mchezo.

Comments