Mchezaji wa mpira wa miguu,ameweza kucheza pamoja na timu ya" Fullham" katika ligi ya Uingereza mnamo 1912 hadi 1914 naye anazingatiwa kama kocha wa kwanza kwa timu ya Soka ya kitaifa ya Misri.
- kuzaliwa na Ukuaji:
Hussien Mohamed Hegazy,amezaliwa mnamo 1890
katika mtaa wa Al-hussien mjini Kairo.
Ameweza kuanzisha timu,imekuwa kuitwa "
Hegazy El Fan "na ameweza kutumia timu hiyo kwa kugombea timu za jeshi la
Uingereza na kutoka timu hizi timu ya "Stanly" imekuwa maarufu zaidi.
Mwendo wake wa kimichezo:
Amecheza pamoja na timu ya"Al-Ahly"
mnamo 1917 pamoja na kikundi kutoka timu yake,lakini hajaendelea katika
Al-Ahly,amecheza kwa timu hiyo kwa muda wa miaka miwili tu,na halafu amecheza
kwa timu ya Zamalek mwaka 1919,ameweza kushinda na timu ya Zamalek mashindano
ya kombe la Misri 1921.
Hegazy
amerudi tena kucheza kwa timu ya Al-Ahly mwaka 1924,lakini baada ya kupitia
miaka minne amekata shauri haswa mnamo 1928 ataacha timu ya Al-Ahly bila ya
kurudi mara tena,na kurudi Zamalek kwa mara ya pili na amecheza pamoja na
Zamalek hadi amestaafu kucheza baada ya amekuwa akipitia miaka arubaini.
Hegazy
amekuwa miongoni mwa wanchama wa baraza la ligi ya Misri la kwanza kwa mpira wa
miguu(1921),amekuwa na mchango muhimu
zaidi kwa kuanzisha Shirikisho la kimisri.
Ameongoza timu ya taifa ya kimisri tangu
mwanzo wake mwaka 1916 katika mechi
mbele ya timu ya jeshi la Uingereza hadi kustaafu,vilevile amekuwa Kocha wa
timu ya kitaifa ya Misri katika michuano ya Ankaras ya kiolimpiki nchini
Ubelgiji 1920,na michuano ya Paris ya kiolimpiki 1924.
Kifo chake:
Hussien Hegazy,amefariki dunia mnamo Oktoba
8, 1961.
Comments