Hadithi ya hazina ya " Tahya Misr "
Mnamo Juni 24, 2014 Rais Abd El Fatah El Sisi alitangaza kuacha kwake nusu ya mshahara wake unaofikia Paundi elfu 42 za Misri, karibu kiasi cha dola elfu 5,900 wakati huo, pia aliacha nusu ya utajiri wake kwa Misri, akitaka wamisri kutia bidii na kuungana katika kipindi hicho kupitia hali ngumu za kiuchumi zinazopitia Misri.
Mnamo Julai Mosi, 2014 Urais wa Jamhuri ulitangaza
kuzindua hazina ya " Tahya Misri" ili kuanzisha hatua ya
iliyotangazwa na Rais kwa kuanzisha hazina kwa kusaidia uchumi, na Urais ulitoa
taarifa ulisema kwake : "kuwa hivyo inakuja kwa kuthamini vipindi vya
hususa vilivyopitia Misri na zinazoambatana hali ngumu za kiuchumi na kijamii
ziliharakisha hisia nzuri za wamisri kwenye taifa, pia zilionesha azimio la
kitaifa na nia ya kweli kwa umati wa watu wa Misri kwa dharura ya kuvuka kwa
Misri yetu pendwa kwa matumaini ya wakati ujao wenye uzuri unafaa historia yake
ya zamani ya kale na mihangaiko ya wana wake".
Na kwa kuamini kuwa wote tunapaswa kuanzisha uwezo wetu
wa kibinafsi kwa kuwa moja ya vifaa kwa kujenga taifa kwa sababu ya changamoto
zinazokabiliwa na taifa kwa viwango vyote, hasa kwa upande wa kiuchumi, imetimia
kuanzishwa kwa akaunti kwenye benki kuu kwa namba ya 037037 kupokea michango ya
wamisri katika ndani na nje ya nchi kwenye benki zote za Misri kwa akaunti ya
hazina. Na inatarajiwa kuwa hazina chini ya uangalizi wa moja kwa moja kutoka
kwa Rais wa Jamhuri.
Malengo ya hazina:
_ Maendeleo kamili ya kudumu ya kiuchumi, na kupunguza
umaskini.
_ Kukidhi mahitaji ya wakazi walio maskini zaidi.
_ Kufanyika mikataba ya ushirikiano kati ya sekta za
mahali penu, kimkoa na kimataifa mwingilio wa maendeleo endelevu.
_ Kuhimiza usharika wa sekta ya kibinafsi kama kichwa cha
msingi kusukuma gurudumu la maendeleo kwa kushirikiana na pande husika za
serikali.
Comments