Mahali
Makumbusho yalikwepo kusini mwa mkoa wa Aswan na hususan
kwa upande wa Mashariki kwa tanki ya Aswan.
Malengo ya makumbusho
kuanzisha kituo
cha kiutamdauni cha kiafrika ili kuyaimarisha mahusiano kati ya Misri na nchi
zote za kiafrika.
Katika onyesho linalodhihirisha kuna nembo inayoashiri
Nchi za Bonde la Mto Nile.
Kukusanya urithi
wa Nchi za Bonde la Nile.
Kuyaimarisha
mahusiano kati ya Nchi za Bonde la Mto Nile.
Eneo la makumbusho ni mita millioni kumi na nne na maelfu
masita 14600 yaani sawa ya ekari thelathini na tano linalogawanyika kwa sehemu mbili :
Mahali hapa pana jengo la makumbusho kwa nafasi ya mita za
mraba elfu mbili , na ina pia majengo mengi yaliyoambatanishwa yenye huduma
ambayo ni :
Jengo la mkahawa.
Jengo la idara ya shughuli za kilimo.
Jengo la chumba cha umeme(Jenereta).
Jengo la baridi ya maji kwa kukabiliana (chiller).
Nafasi zote la makumbusho zinazungukwa kwa kuta za mawe
na Paneli za chuma.
Mwingilio mkuu wa makumbusho
Kabla ya kuingia
kwa makumbusho , jengo la makumbusho linapamba nembo inayokusanya nchi za bonde la Mto Nile
zinazokutana juu ya Mto Nile , jambo linalosisitiza kwa ushirikiano baina ya
nchi hizo na inawakilisha sehemu ya mwisho wa Mto Nile, Matawi ya Rashid na
Damietta yanayozungukwa kwa matone ya maji yanayowakilisha kila nchi kutoka
nchi za bonde la Mto Nile.
Makumbusho kutoka ndani
Ukumbi wa mchoro wa kimuundo wa makumbusho unavionyesha
vitu vyote vya makumbusho na mapendekezo ya eneo la uendshaji la uwekezaji linalozunguka makumbusho na
ambalo limepangwa kujengwa kwenye ekari 20 za nje.
Ukumbi wa makumbusho
unapambwa kwa miti
ya mitende kama alama ya heri , ukuaji na utumiaji vizuri wa maji, nguvu na
uthabiti.
Uwanja wa
makumbusho : kuna miungu sita wa (Hapi )
Mungu wa Nile kwa Raia mmisri wa zamani.
Varanda : katika Varanda kuna picha za wahusika waliokuwa na athari katika historia ya kisasa
ya Misri na ambao ni
Muhammad Ali pasha , Khedive Ismail , Ali Pasha Mubarak
na Khedive Abbas Helmy wa pili
Na mhandisi,
Daninius, mwenye fikra la kuanzisha Bwawa la Juu ( High Dam ).
Mshairi mkubwa
Hafez Ibrahim, mshairi wa Mto Nile.
Varanda na chemchemi ya nchi za Bonde la Mto Nile : ni
kazi ya kiubunifu Inayoonesha kuanguka kwa maji kutoka juu hadi chini katika
fomu nzuri inayotiririka inayovuka njia
ya Mto Nili kutoka nchi chanzo hadi nchi za chini.
Kazi hii inajumuisha ramani ya nchi za Bonde la Nile
ambpo Mto Nile unavuka kupitia nchi
hizo, na ramani hii imebebwa na Hapi , Mungu wa Nile wa Wamisri wa zamani.
Msitu wa Afrika
Ni mfano mdogo wa misitu ya kiafrika na viumbe vyake
kutoka wanyama , ndege na mimba wanaowakilisha asili ya maisha yanayokwepo
katika misitu ya kiafrika.
Ukumbi wa harusi wa Nile: unaojumuisha mchoro wa kimuundo
wa harusi wa Nile kama alama ya utakatifu wa Nile kwa wamisri wa zamani .
Pia unajumuisha
vielelezo viwili vikubwa kwa Bwawa Juu (
High Dam ) na Bwawa la Aswan, viliwekwa juu na skrini ambazo zinaonesha filamu
za maandishi zinazoandika hatua za
ujenzi wa kazi hizo mbili ili kuhisi ukuu wa wazazi na babu na bibi katika
kujenga vituo vingi vya kudhibiti Mto Nile na
kutoa mahitaji ya maji ya nchi kwa nyanja zote za maisha.
Ukumbi wa Bonde la Nile : unaojumuisha picha ya Ali Pasha
Mubarak waziri wa umwagiliaji wa kwanza katika Misri ambapo alikuwa akiitwa
waziri wa kazi, aliotawala wizara katika
mwaka wa 1864 , Hapo juu ni skrini inayoelezea kazi ambazo zilianzishwa wakati
wa utawala wake, pamoja na ofisi aliyokuwa kutumia, na pia ufafanuzi wa ujenzi
na uundaji mwingi wa uhandisi kwenye Mto Nile na kwa mfano: mifereji ya Assiut , mifereji ya Esna , mifereji ya Nag Hammadi .
Mwishoni wa ukumbi kuna maoni ya siku zijazo za nchi
kuhusu mradi wa ekari millioni na nusu kwa awamu zake tatu na malengo ya mradi
huu mkubwa .
Orofa ya pili
Inagawanyika kwa
maeneo matano :
Ukumbi unaojumuisha ya kasakzini na mashariki ya Afrika :
Unajumulisha nchi
ishirini na kila nchi inaiwakilisha uchoraji unaokusanya mji mkuu, sarafu ,
mito na mahali mashuhuri , idadi ya nchi
sita katika kaskazini ya Afrika na nchi kumi ya nne mashariki ya Afrika ambapo
nchi za kaskazini zinajipambanua kwa Asili ya ikweta na jangwa, na inayojulikana kwa wingi wa wanyama pori, na vile vile kwenye ukumbi,
namba (2) ni pamoja na filamu 54 za nchi
za Kiafrika.
Eneo linalozunguka varanda :
Ukumbi unaojumuisha eneo la
kusini ya Afrika :
unaojumuisha nchi kumi zinazojulikana kwa misitu mingi na pia kila nchi inayowakilisha
mji mkuu, sarafu, mito na maeneo maarufu.
Eneo la tangi-samaki :
Chumba cha
maingiliano kwa watoto
kina skrini
inayoonesha katuni za wahusika wa Ferro (kiboko) na Timo (mamba), wanasimulia
hadithi nyingi, pamoja na uhifadhi wa Mto Nile kutokana na uchafuzi wa
mazingira na harakati za maji ndani ya nchi za Bonde la Nile na jinsi
tunavyohifadhi maji na uhusiano kati ya nchi za Bonde la Nile
Katika makumbusho kuna lifti 3, pamoja na
vifaa vingi vya sauti vinavyosaidia watu
wenye ulemavu
Comments