Hekalu la Abu Simbel ni kimoja cha vivutio maarufu vya kiutalii vya Misri.
Kila mwaka Hekalu la Abu Simbel linatembelewa na watalii wengi wa taifa tofauti duniani kote. Licha ya mahali pake pa mbali na mji wa Aswan
karibu na saa mbili kwa gari.
Hekalu la Abu Simbel liko kusini mwa Misri upande wa
magharibi wa Ziwa Nasser (ziwa kubwa zaidi la kiuwandani duniani) magharibi mwa
jiji la Aswan. UNESCO imechagua Hekalu la Abu Simbel kama kivutio cha
kihistoria na magufu.
Pia ilipendekezwa kuitunza
kama motisha kwa watalii kulitembelea wakati wa ziara yao nchini Misri.
Hekalu la Abu Simbel limechukua miaka ishirini na moja katika ujenzi
wake.lilijengwa mwaka wa 1244 kabla ya kuzaliwa Ilianzishwa na Mafarau wakati
wa utawala wa Ramesses II, aliyetaka
kuwa na athari kubwa na wazi iliyoonyeshwa zama zake kwa karne nyingi na ndani
ya hakalu Mungu Amuun huabudiwa.
Kwa miaka na zama nyingi, vitu vya kale vya Misri na kifarau vilifichwa,
vikiwa ni pamoja na Hekalu la Abu Simbel ,Waandishi wa habari, watafiti,
wanaakiolojia na Wanasayansi wa uchunguzi walipata mtoto kutoka Aswan aliyekuwa
kama mwongozo wao. jina la mtoto huyu ni Abu Simbel Kutoka jina huyo
wanasayansi waliita hekalu kwa Jina la Abu Simbel.
Hekalu la Abu Simbel limerejeshwa na limeratibiwa tangu
limegunduliwa, kupitia mawe, udongo na
vifaa vya kisasa na kazi hii ilifanyikwa
kwa uangalifu mkubwa.Gharama ya kurejeshwa ilikuwa zaidi milioni 40 paundi ya kimisri, na vipande
vingi vilivunjwa na kujengwa upya baada ya kurejeshwa.
na jambo
linalopambana hekalu ni kama Taji yenye pande mbili za kikabila na bahari (Taji
ya Mina " aunganishaye nchi mbili") na masanamu mawili kwenye mlango
wa hekalu upande wa kulia na wa kushoto,
kichwa na shina la sanamu kubwa,
pia kuna ukuta mkubwa mweusi na sanamu za watawala wanne wa Misri ya
kale.
Kwa msambamba jua huingia ili kuonyesho sanamu kubwa mnamo siku ya kuzaliwa
kwake kila mwaka .
Unaweza kutembelea Simbel Katika safari nzuri zaidi ya bwawa
katika kipindi cha majira ya baridi ya kila
Mwaka .
Comments