Mnara wa kairo ulijengwa kati ya mwaka 1956 na 1961 ya saruji kraftigare juu ya jengo la yungiyungi la kimisri, ambalo liko katikati ya Kairo kwenye kisiwa cha Zamalek , juu ya kando ya Nile. Ni kimoja cha vivutio maarufu vya utalii huko Kairo.
Urefu wake ni mita 187 ,Ni mita 43 zaidi kuliko Piramidi Kuu huko Giza. Juu ya mnara wa kairo kuna mgahawa wa utalii kwenye jukwaa linalozungukwa na wageni ili kuona mandhari ya kairo kutoka pande zote.
Historia :
Wakati wa ujenzi :
mnara wa Kairo ulijengwa kati ya 1956 na 1961 na uliyoundwa na mbunifu mmisri Naum Shabib. Washiriki wa ujenzi huo ni wafanyakazi wamisri mia tano, Maua ya lotus huchukuliwa kama asili ya pharaoni. Gharama ya kujenga ilikuwa milioni sita za paundi ya kimisri ( 6.000.000 EGP )kwa wakati huo, kiasi kilicholipwa kwa Marekani kununua nafasi ya Misri bila kitu, na Wamarekani wanaita jina la mnara "mwiba wa Abdel Nasser," mfano wa ugumu wa nafasi ya Misri wakati huu.
Kwa mujibu wa riwaya ya mwanahistoria wa marehemu Jamal Hamdan: Mnara wa Kairo unawakilisha kauli ndefu mnamo historia “ hapana “, ambapo aliamuru Rais marehemu Gamal Abdel Nasser kuijenga ujenzi wa kihistoria "kusema: “hapana” kwa shinikizo la Marekani juu ya Misri kuacha suala la Algeria, ambako Marekani ilijaribu kununua sehemu ya Misri kwa fedha kupitia mabalozi wake huko Misri kupitia mmoja wa wateja wake, lakini uamuzi wa Abdel Nasser ulikuwa kuzitumia fedha hizi kujenga majengo ya kihistoria. "
Mnara huo umerekebishwa katika mwaka 2006 kwa gharama ya milioni 15 IE, Na umezidiwa kwa taa jipya la nje kwa kutumia teknolojia mpya ya taa ili kutoa nishati kwa kiwango kikubwa na inaweza kudhibiti rangi ya mwanga wa nje wa mnara.
Sifa za Manra :
Mnara wa Kairo una matabaka 16 na ni msingi wa mawe ya Itale ya Aswan yaliyotumiwa na Wamisri wa kale katika ujenzi wa mahekalu na makaburi , Katika picha ambayo ni mchanganyiko wa uvumbuaji na kisasa, Mgeni anaweza kufikia juu ya mnara kupitia Lifti ya umeme katika dakika moja, Mnara huo unaangalia mji wa Kairo katika mandhari nzuri sana .
Comments