ni miongoni mwa miji mikubwa hapa Misri na mji ule ni jiji la mkoa wa Suez ulipo juu ya kichwa cha ghupa ya Suez,
mji ule wa Suez huzingatiwa kuwa mji mkubwa zaidi kuliko miji yakimisri yote iliyopo baharini mwa Sham. Jina la bandari ya Suez limetokana na jina la mji ule wa Suez.
mipaka yakijiografia wa mji huo hugawanyika katika migawanyiko mitano ifuatayo:
-mtaa wa Suez ambapo zipo bodi nyingi na viwanda vya kiserikali.
-mtaa wa Alarbaeen nao ni mtaa wa kawaida wa wakazi .
-mtaa Etaka ambapo yapo maeneo mengi ya wakazi, kampuni na viwanda.
-mtaa wa Fesal ambapo yapo maeneo mengi ya kiutalii.
-mtaa wa Elganayen ambapo huko kuna kilimo na mashamba.
Vyombo vya usafirishaji :
vipo vingi navyo ni pamoja na Mini basi(madaladal/matatu),Mabasi, texi na usafirishaji wa majini.
Comments