Mtu Mwasi Mjenzi Uandaji na Ufasiri " Taasisi ya Tafiti za Ofisi ya Vijana wa kiafrika "
" Muhamed Ebrahim Bukhroba", anayejulikana kwa Jina la " Howari Bumedin", alizaliwa mashambani mwa Algeria, tarehe ya 23, mwezi wa 8, mwaka wa 1932, kutokana na familia ndogo na yenye hali dogo toka Jamii ya wakulima, alikua katika maisha ya kidini, alihifadhi Quraani, na alisoma Lugha ya Kiarabu, naye ni kama wenzake nchini, alilazimishwa kujiunga jeshi la Kifaransa, lakini yeye alinuia kukimbia toka Algeria kuelekea Tunisia, na baada ya Utulivu wa maisha yake nchini Misri, alijiunga kwa Azhar yenye utukufu, lakini, mnamo zama za mfalme Farouk tawala za kifaransa zilimfuatia baada ya kukimbia kwake toka huduma ya kijeshi, nazo zilituma barua kwa Ubalozi wa kifaransa nchini Misri ili kumfukuza toka Misri, isipokuwa mapinduzi adhimu ya Juli, kwa uongozi wa wanajeshi huru yamemnusuru na yamembakisha nchini Misri.
Na baada ya Mapinduzi ya Juli, mwaka wa 1973 nchini Misri, hali ya kisiasa ilikuwa Ipo sawa ili kusanya Elimu na mapambano ya kisiasa, ambapo ilijihusisha katika chama cha nchi ya Algeria - chenye mapambano makubwa dhidi ya Ukoloni - nacho kilikuwa kimoja cha wanachama maarufu katika ofisi ya Morocco ya kiarabu katika Kairo- nacho kilichoundwa na harakati ya kitaifa katika nchi za Morocco kiarabu( Morocco, Algeria, Tunisia) ; ili kuunganisha juhudi kwa ajili ya kukomboa Kaskazini ya Afrika kutokana na Ukoloni wa kifaransa.
Na Misri katika kipindi hicho ilikuwa ikikumbatia harakati za Ukombozi wa kiarabu na kiafrika, pia ilikuwa Mahali pa Viongozi wa mapambano dhidi ya Ukoloni, Pamoja na Bumedin, aliyekuwa kiongozi wa harakati za mashambani ni bwana "Muhamed Bin Abd Elkerim Al Khatabi", kiongozi wa Kimorocco na mmoja wa mashujaa wa mapambano dhidi ya wafaransa, nayo ilikuwa mahali pa kuwepo kwake kwa mipango toka ofisi ya Kimorocco ya kiarabu, na chuo kikuu cha nchi za kiarabu, na rais Abd Elnaser aliamuru kwa kutoa Vifaa na misaada yote ya kijeshi kwa wenye Mapinduzi wa Algeria hadi Uhuru wake.
Naye alijiunga kwa jeshi la Ukombozi wa kitaifa wa Algeria - kifungu cha kijeshi cha mwanzo wa Ukombozi wa kitaifa -, katika eneo la Kimagharibi mwaka wa 1954, na alipambana pamoja na Ahmed Bin Plu hadi Algeria imepata Uhuru wake, na maisha yake ya kijeshi na cheo chake ziliendelea hadi alikuwa waziri wa Ulinzi ndani ya serikali ya Bin Plu " serikali ya Uhuru " mwaka wa 1962,na Bumedin alikuwa akikagua kazi ya Bin Plu vizuri sana, na ingawa wao walikuwa Marafiki katika safari ya Ukombozi, Lakini Bumedin hakuwa na Kinaya kwa mtindo wa utawala wa Bin Plu nchini, na kwa hivyo aliamua kutawala nchi kupitia mabadiliko ya kijeshi dhidi ya Bin Plu mwaka wa 1965, na bwana Howari alitawala cheo cha rais wa jamhuri, lilijulishwa kwa Mapinduzi ya Kiraka, mpaka kifo chake mwaka wa 1978.
Bumedin hakuwa na mhusika kama wa Bin Plu, lakini kupitia Ubora, mafanikio, na kujiamini kwake yeye aliweza kupatia Umaarufu mkubwa sana toka wananchi. Wakati wa uongozi wake wa Urais, aliweka mipango ya kuendelea Algeria, na alisisitiza Programu zake, na mwanzoni alitumia Marejeo ya kuuza mafuta nje vizuri sana, na aliandaa serikali ya " teknokrati" iliyofanya kazi ya Maendeleo ya kutengeneza mafuta ya kitaifa, na alianza kutofautiana Programu ya kiwanda, ambapo alihusisha karibu ya nusu ya Uwekezaji wa kimaendeleo ( unaokadiria kwa milioni dola tano) , kwa upande wa utengenezaji mnamo kipindi cha( 1970 hadi 1973), na hayo yote yaliwahimiza wananchi wa Algeria kushirikiana ili kubadilisha nchi yao kwa nchi yenye nguvu zaidi kuliko zote za nchi za dunia ya tatu. Naye aliangalia Rasilimali ya kilimo kupitia usawa wa kugawisha vyombo vya kilimo, pamoja na kukuza maisha ya wakulima, na aliangalia uwanja wa Utamaduni ; kwa ajili ya kurejesha vyanzo vikuu vya mhusika wa kitaifa wa Algeria, vilivyofichwa kwa ukoloni kama Lugha na Dini, wakati ambapo alizingatia kugeuka sekta za ( Uongozi, Vyombo Vya Habari, na Elimu) kwa Lugha ya Kiarabu, lakini lengo hilo halikuhakikisha kwa Ukamilifu bali ilibakia kwa sura tu.
Na kwa kiwango cha kikanda na kimataifa, Bumedin alikuwa na mchango mkubwa sana katika kusaidia masuala ya Ukombozi wa kitaifa, na kukuza suala la kipalestina, basi yeye aliyesema" Algeria Ipo pamoja na Palastena sawa ikiwa kudhulumu au kudhulumiwa", pia mnamo zama za Bumedin Algeria ilikuwa nchi ya pili iliyosaidia Misri mnamo vita vya Oktoba 1973, naye alikuwa rais wa kwanza toka nchi za dunia ya tatu anayezungumza katika Umoja wa kimataifa kwa Lugha ya Kiarabu, kuhusu Umuhimu wa kuwepo Mpango mpya wa kiuchumi wa kimataifa, unaoweka mipaka ya Utumiaji wa nchi kubwa dhidi ya nchi dhaifu, pia aliongoza cheo cha katibu mkuu wa harakati ya kutopendelea ( toka 1973 hadi 1976).
Aliaga dunia tarehe ya 27, mwezi wa 12, mwaka wa 1978, akiachiwa kurasa nyingi za historia adhimu sana, basi yeye alikuwa Mpiganaji, mwarabu, mwaminifu, mwafrika, na mwenye fahari, naye aliyesema kwamba" historia ya nchi ni kama mfululizo wa vita tofauti, hutoka mshindi toka moja ili kuingia vyenye silaha nyingi kwa vipya, basi tukitoka kutokana na vita vya Uhuru hii ni silaha ya kuingia vipya, navyo ni vita vya maendeleo, ustawi, na Maisha
Comments