Rania Alwani

Daktrari wa wanawake na mwanajinakolojia ,na mwogeleaji wa olimpiki mmisri aliitwa kwa biharusi wa kuogelea ya kimisri , mwanachama wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Al Ahly.

Kuzaliwa

Alizaliwa Oktoba 14, 1977.


Kazi yake

Alianza kuogelea na alikuwa na miaka sita, alijua njia yake kupata medali na tuzo na alikuwa na miaka kumi.

Rania Alwani ni mwogeleaji wa kwanza mmisri , Mwarabu na Mwafrika alipata medali mbili za dhahabu katika kuogelea Juu ya historia vikao vya Bahari ya Mediterranean tangu kuzinduliwa kwake mwaka 1951 ,pamoja na ushindi wake wa medali 77 katika ngazi za kimataifa, Kiafrika na Kiarabu,imemkadiriwa kati ya waogeleaji 11 wa juu ulimwenguni katika mbio mita 100,mwogeleaji wa kwanza wa misri anavunja kizuizi cha dakika katika  mbio za bure mita mia.

njia ya kisayansi

- Shahada ya kwanza katika  Sayansi, Chuo Kikuu cha S.M.U, Dallas, USA, 1999.

- Shahada ya Tiba na upasuaji, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Misri, 2004.


- Mwanachama wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki.

- Mwanachama wa Kamati ya Olimpiki ya Misri.


- Mwanachama wa ofisi ya mtendaji wa Shirika la Dunia kupambana dawa za kujenga misuli W.A.D.A.

- Mjumbe wa Kamati ya Matibabu ya Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa.

- Mwanachama wa Kamati ya Wacheza kwenya Kamati ya Olimpiki ya kimataifa na kimisri na Jumuia ya Olimpiki ya Wamisri.

- Msimamizi wa Ufundi wa timu ya kitaifa ya kuogelea.

Mashindano

- anawakilishi wa Misri katika vikao tatu ya Olimpiki 1992-1996-2000 na alifikia fainali huko Sydney.


- Bingwa wa Misri katika kuogelea kutoka 1989 hadi 2000 na anayeshikilia rekodi yake katika mbio zote za bure na za nyuma.

- Bingwa wa Bahari nyeupe ya kati mwaka 1997 na kushinda medali mbili za dhahabu na medali moja ya fedha.

- Bingwa wa Afrika kutoka 1990 hadi 2000 na anayeshikilia rekodi za Kiafrika katika mita 50, 100 na 200 za bure.

- Bingwa wa Kiarabu kutoka 1990 hadi 2000 na anayeshikilia rekodi za mbio za bure, nyuma na kipepeo na tofauti.

- Alichaguliwa kama Mwarabu anayeibuka bora Katika kura ya maoni ya Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC).

 

Kustaafu

Rania Alwani alitangaza kustaafu kwake kutoka kuogelea mnamo 2000, na kuacha bwawa la kuogelea kabisa.

Comments