Mwanamke mmisri wa kwanza na mwanamke wa pili anayeongoza ndege ulimwenguni peke yake.
Latifa Elnady alijifunza kuruka pamoja na bwana Karol
mwalimu mkuu wa anga kwenye chuo cha
Ndege mnamo siku 67 na alipokea mwaliko ili kuhudhuri mtihani wa kwanza wa
majaribio wa mwanmkwa wa nahodha wa kwanza mmisri mwezi wa Oktoba mwaka wa 1933.
Mwaka wa 1933, Latifah alikuwa mwanamke wa kwanza ambaye
alipata leseni ya Kuruka ' Ndege" , na idadi yake alikuwa 34, ambayo
haikuhitimu kabla yake kiwango cha Misiri, ni marubani 33 tu, wanaume wote, na
kwa hivyo kuwa msichana wa kwanza wa Kiarabu-Mwafrika kupata leseni, na
alifanikiwa kuruka peke yake baada ya masaa kumi na tatu Kutoka kwa kuruka mara
pamoja na Bwana Karroll, mwalimu mkuu wa anga katika shule hiyo.
Latifa alipa nafasi kwa wasichana wote ili kujaribu
pia,ambapo walimfuata Dina Elsawy,Zahra Ragb,Nafisa Elghamrawy,Lenda Masoud
rubani wa kwanza wa ndege wa misri,Blanch Fatoch,Aziza Mehrm,Aida Tekla,Laila
Masoud,Aisha Abdelmaqsoud na Qadria Tolibat halafu wasichana wamisri walikataa
kuruka kwa ndege ya mwisho, hawakuingia kwenye uwanja wa msichana wa ndege wa
Misri tangu 1945.
alipata nafasi ya tatu kati ya wanawake walioshiriki katika
mbio za kimataifa zilizofanyika nchini Misri mnamo 1937 kutoka Kairo hadi
Oasisi , ambapo marubani 14 walishiriki
kutoka mataifa tofauti .
Huda Shaarawy alichukua hatua ya kwanza kununua ndege ya
kibinafsi kwa Latifa, kuwa balozi wa binti za Msiri katika nchi ambayo yeye
hupitia au kushuka, na kumwonyesha kila mtu uwezo wa mwanawake wa Wamisri
kupigana katika nyanja zote .
Kapteni Lattifa, nahodha wa kwanza mmisri , alienda kustaafu
kutoka kwa safari ya ndege na aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Klabu ya Anga ya
Misri, baada ya kuchangia kuanzishwa kwake na usimamizi kwa ufanisi mkubwa,
hadi akahamia Uswizi.
Latifa hajawahi kuolewa , aliishi sehemu kubwa ya maisha
yake huko Uswizi, ambapo alipewa uraia
wa Uswizi kwa heshima yake, na akafa akiwa na umri wa miaka tisini na tano huko
Kairo mwaka wa 2002.
Mwaka wa 1996, filamu ya maandishi juu ya hadithi ya
jitihada Latifa Elnady inayoitwa "Utokaji kutoka Mchanga" na Wajih
George. Katika filamu hii aliulizwa juu ya sababu ya kweli inayosababisha hamu
yake ya kuruka.Alisema anataka kuwa huru mwaka 1997. Filamu hii alipata kwenye
tuzo ya kwanza ya Baraza Kuu la Utamaduni nchini Uswizi.
Kivinjari maarufu cha utaftaji "Google"
ilisherehekea kumbukumbu ya miaka 107 ya kuzaliwa kwa kilabu kama mwanamke wa
kwanza mmisri na mwanamke wa pili kuruka ndege duniani pekee, kwa kuweka picha
kwenye mwanzoni mwa ukurasa wake mkuu
tarehe 29/10/2014.
Comments