Al - Abnoudi

Hadithi ya kimisri _kiafrika

 Abd_Alrhman Al- Abnoudi alitamani akiwa kuweza kuchanganya kati ya jinsia mbili ni kimisri na kisudan kubeba zote mbili na ilikuwa upendo wa mshairi wa marehemu (Abd_Alrhman alabnoudi ) kwa sudani ndugu na kama nusu ya moyo ,nusu ya roho na nusu ya jinsia ,haoti kumiliki jinsia nyingine baadaya jinsia yake ya kimisri bila jinsia ya kisudan .

 

Al- abonudi mpendwa amefurahia maarufu mkubwa kwenya watu wa sudan ambao wanaziengatia kama thamani ya pekee ambayo haiwezi kuhakiksha tabia ,lakini inamiliki tabia kubwa inakuja maumivu yote , ilionesha kazi yake ya kifasihi na ushairi wake kweli waarabu wote wanzishi, pia ubunifu wake una nafasi maalumu kufungia na kusafiri utamaduni wa kusini ,kwa sbabu unabeba njia ya karibu na kuja hakika ya asili ya maisha ndani jamii hizo ,zinajaa ada na desturi .

 

Sudan imeeleza kuwa upendo wake kwa mjombe wakati alirithi kutoka chini ya moyo wake ,kiasi kwamba ,jumua ya jumuia  kwa wafisihi na waandishi wa sudan alifanya mkutano kwa mshairi wa marehemu kuhishima kwa nafasi yake ya kifasihi na kuhisi kwa thamani yake ya ubunifu ambyo haitofauti kuhusu nafasi ya mshairi ya sudani (Mohamed Alfytory) ambye amekufa baada ya siku chache kutoka kifo cha (mjombe) ilikuwa kifo chao kinaacha bara la Afrika zuri .

Hasira yake ni mbili kwa kupoteza watu mbili kutoka muhimu na maarufu zaidi washairi wa bara  jeusi .

 

Ndiyo alikufa hazina ya misri ya juu ya thamani alihudhuria kwa njia ya kawaida ,utajiri na uwasilishahi mzuri .

(Al-abnoudi alikufa ambye kutimu mapenduzi ya kimisri ) kutoka ulimwengu wetu kuacha utupu ya kali kuzengatia mfano ,hairudia ili kuwa hii ,isipokuwa kwa kila aina. Kiasi kwamba huzuni imeenea juu ya misri na jamii ya arabu yote katika siku ya ishirini na moja mwezi wa april uliopita mwaka huu baadaya kutangaza habari ya kifo chake katika nyumba yake mjini (alasmailia ) ana umri mwaka 76 baadaya mgogoro pamoja na mradhi .

 

Hii nyumba ya opera ya misri ilifanya sherhe mkubwa ya kisnaa chini ya anwani (kwaheri mjomba ) kusherhe kwa histotyia na kuthamani mshairi wa marehemu (AbdulRhmanAlabnoudi )ambyo timu ya kitaifa ya kiarabu kwa muziki inasherhe na miongoni nyimbo maarufu zaidi ambye aliziandika katika njia yake ya ndefu kisnaa ...kama kikao cha 24 kwa sherhe ya muziki ya kiarabu ambyo itafanya katika mwezi wa novemba ujao kitabeba jina la (alabnoudi) kuheshima kwa roho yake na pia kuhishima njia yake ndefu ya ubunifu katika upendo wa nchi .

 

Taasisi ya juu ya sanaa ya kuangazia ilifanya sherhe kubeba anwani (usiku katika upendo wa alabnoudi ) anbao idadi ya wanafunzi ya taasisi ya juu kwa sanaa ya kuangazia walishikia na pia walifanya uwasilishaji wake wa idadi ya ushairi wake ambao imeushatua kutoka kazi zake zote ,pamoja na sherhe ilifanyiwa na sanjari ya waandishi wa habari kwa mshairi mkubwa kwa sbabu kuchagua taazia juu ya hii anbyo ilifanywa mjini (alismailia ) kutekeleza wasia yake kwa haifanyai taazia yake mjini kairo na kasi ya mazishi .

 

Njia yake ya kisanaa na vituo  muhimu zaidi vya ubunifu .

 

Al-abnoudi amezaliwa katika mwaka wa 1939 jijni (abnoud )mkoani (Qena )na pia ili kuwa utamaduni wa kusini na hali zake za kawaida unaathari katika pekee yake ,ili athiriwa sana katika utoto wake kwa nyimbo za hadithi ya Al_hilal ambyo kuvutia kwa kena ilikuwa katika siku zijazo kutoka kazi zake muhimu zaidi ,kama alitunga kitabu kwa anwani (siku nzuri ) kutoka sehemu ya tatu miongoni kuambia kwake maisha yake njia yake ya ubunifu.

 

Al-abnoudi amepata juu ya tuzo ya taifa ya kadiriwa mwaka 2001 ili atakuwa kwa huu mshairi wa kwanza ya ami ya misri anafuzu tuzo ya nchi yakadiriwa kama alifuzu kwa tuzo (mohamoud darwish ) kwa ubunifu wa kiarabu mwaka 2014 .

 

Hazina zake ni maarufu zaidi ya kifasihi anbazo aliziacha khhuzunia katika usiku wa kifo .

 

Hadithi na pakua

 

(barua za hiraji elcot ) ni mkusanyiko wa hadithi za kawida katika picha ya barua mfanya kazi katika bwawa la juu alikuwa kuzitumia kwa mkewa wake .

 

(Wasifu wa hilala )ni mchanganhiko maalumu wa ngano za wamisri ambye alikuwa kipekee kusanya kwake kutoka Misri ya juu kuhifadhia dhidi ya kupoteza na kuficha .

 

Na hivyo hadithi zake za kwanza kama (mimi na watu ,baadya salamu na amani ) zenye hadithi nyingi kuhusu mapambano ya mji wa suez ,kiasi kwamba kivuli cha mapenduzi 1967 kimepoteza kwa ndota ya watu na kupoteza katika quagmire ya kufadhika ,wakati yake alabnoudi alibeba muda kali juu ya mikano yake akisistizia upendo wake kwa suala na pia aradhi hii na pia alithibiti kwamba mshairi wake na pia kutoka drwish upendo wake .

Kutoka hadithi zake za ndefu ni mashhuri ziadi ni hadithi yangu (kifo juu ya lami ) na (ukoloni wa kiarabu ) kama alitunga hadithi za mapinduzi nyungi kupitia muda cha mapinduzi ya siku ya 25 mwezi wa novemba ambye kushawishia mapienduzi na wanamapinduzi ilikuwa kazi yake ya mwisho hadithi ya (Mersal) .

 

Maandishi ya nyimbo.

 

Al-abnoudi alishirkiana na wasanii wakubwa wa misri na waarabu ,ikiwa maneno yake yanapata hisi na yanapata ladha kwa sauti mkubwa ya umbaji wa kiarabu kwa vizazi vyote ,kiasi kwamba nyumbo yake zilifanya alama wazi katika historyia ya kisnaa ya kimsiri mpya .

 

Nightingale Asmar Abdul Halim Hafez ana bhati ya simba kutoka ushairi huu ambao kuenea kwa hisi ya mapienduzi ,nyimbo mashhuri anbyo aliimbia kwa mshairi abd_elrhman alabnoudi kama (asbuhi ilipita ),ninapa kwa unga wake na udongo wake ,ninasema toba ,habari za asubuhi ,mwalimu,kristo ,mwana wake anakusemia ewe shujaa ,volcano ya hasira ,bendari ya waarabu ,al_fanara ,ewe nchi yetu hailali ,piga na piga ,onyo la damu ).

 

Mapambano ya kitaifa ya mapenduzi yanafichua dhuluma

 katika nyimbo hizi ,kushawishi kwake kilikuwa zuri wakati haipatii .

 

Mwimbaji hodari shadya aliimba kwa maneno yake ya sahili kama (ewe asmrani ya rangi ,amenisema kwaheri ) pamoja na nyimbo za film (kitu kutoka hofu ), hadithi hii anbyo ilienea yukio lake katika misri ya juu na pia mazoezi ya desturi yake yalifanya na hisi mdogo kama mwanga ambao unaangazia gizani .

 

Na pia mwimbaji najat el_saghera na tufurhia kwa sauti yake juu ya benki zake zanye mvua alipoimba kwa njia zuri (macho za moyo ,kesi cha upendo mzuri ) kutoka kutunga kwake zuri na ilifichua juu ya mwanamke sauti yake ya upendo huu wa heshimu anbye aliufanya kwa hisi yake nyingi .

 

Kama Alshahroura aliinba kwa nyimbo mashuri ziadi kama (saa saa ) ambye alichora kupitia yake picha nusu yake ni Giza na nusu yake ni nuru ,akieleza vipi maisha inacheka na kurangi kwa ukali kwake wa ladha ya siku kisha itakuwa shahad .

Na pia mwimbaji wa wrda elgazaria anatufurhia kwa (kweli ni kupenda ) ni ya moja ya nyimbo ya nzuri sana ,kiasi kwamba kufichua klamu ya alabnoudi ,ikiwa kutunga mfano mzuri kwa harufi yake wazi .

 

Alabnoudi alikuwa kuvutiwa zaidi kwa sauti ya mwimbaji marehemu (mohamed roshdy na kutunga nyimbo nyingi ,ni mashhuri ni (aduya ,arabawi ) chini ya mti ewe wahiba ) kama alikuwa kuhusiana uhhsiano nguvu kwa mwimbaji wa Nubian (Mohmed mounir ) ambye aliimba kwa ushairi wake mingi katika nyimbo yake mashhuri ziadii kama (chokoleti nje ya madirisha _usiku huu_ewe Bafuni _ewe pomegranate na yote yenye tabia maarufu ).

 

Alifanya kuandika nyimbo nyingi kutoka mfululizo na filma kama mfullizo (nadim ,mbwa mwitu wa mlima ).

 

na filamu mbili kama (kitu kutoka hofu wasio na hatia ) .

 

Nyimbo hii zilikuwa hazipunguzi ukwasi kuliko mfano na mazungumza za kazi hii ,lakini ilikuwa msingi muundo wa drama ya matukio unazengatia juu wake , kama alushiriki katika uandishi wa mazungumzo kwa film mbili (kitu kutoka hofu , pete na bangili ) mazungumzo yalianza vivyo hivyo jumuisha uigaji kweli kwa maziengeria ya matukio .







Comments