Ulimi hauwezi kusema chochote na kalamu kiwe kiwete wakati tunapozungumzia taasisi za kale kama vile Al-Azhar, Inatosha kwamba inatajwa kwa lakabu Al-Sharif, Haikuitwa katika Uislamu, sio wote wazuri, ila Qurani mtukufu na Al -Kaaba mwenye heshima, pamoja na Al-Azhar.
Al-Azhar Al-Sharif ilianzishwa katika zama za Fatimid. iliitwa kwa lakabu huu kwa heshima ya Fatima Zahra, binti wa Mtume Muhammad ( S.W.A) , Na iliyojengwa wakati wa utawala wa Mu'izz Ladin Allah al-Fatimi , ambapo aliweka amri yake kwa Jawhar Al- Sicilian Ili kuweka jiwe la msingi kwa mji wa kairo pamoja na msikiti wa Al-Azhar katika mwaka wa 359 H, Iliendelea miaka miwili na sala ya kwanza ilifanyika katika mwaka wa 360 H, Na ilianzishwa kwa kusala , kueneza mafundisho ya madhehebu ya Shia na kufundisha lugha na sharia , Na iliendelea hadi zama za Ayyubid, lakini Saladin Ayubi alikuwa mwenye Sunnah na akaifunga AL-Azhar na a kubadilishwa na msikiti na shule nyingine . Na kulifundishwa sayansi ya Al-Azhar wanachuoni na wanafunzi walijifunza katika shule hizi, kwa hiyo kuendelea na jukumu lake. Kisha akafunguliwa na Baybars wakati wa Mamluk (zama za Mamllik) juu ya mafundisho ya Ahl al-Sunnah na Jama'ah, na kuendelea na jukumu lake la elimu, kujifunza sayansi ya lugha, sayansi ya Sharia, falsafa na mantiki.
Ni ya kutosha kwamba katika kipindi hiki AL-Azhar iliendeleza urithi wa Kiarabu na kiislamu kwa ujumla baada ya kuanguka Dola la Baghdad na Al-Andalusia. Wanasayansi wa nchi hizi kwa wakati huo hawakuona kuwa kimbilio chao ila Al-Azhar. Watawala wa Mamluk waliwakaribisha na kuwapa pesa na kuwawezesha kufundisha katika Msikiti wa Al-Azhar. Jukumu lake liliendelea hata katika Dola la Ottoman mpaka wakati wa sasa. Wakati kampeni ya Ufaransa ilipoanzishwa, wasomi wa Al-Azhar waliongoza upinzani na kisha wakashiriki katika Renaissance, iliyoanzishwa na Muhammad Ali, na waliiongoza kuchapisha na kufanya kazi katika magazeti. Jukumu la Imamu Muhammad Abdo linatosha wakati alipokuwa akiongoza magazeti ya Misri, na walisafiri katika Ujumbe wa kisayansi, na wanashiriki katika ujumbe wa kwanza, na imamu yao alikuwa ni Rafaa al-Tahtawi, ambaye alieleza kila kitu alichoona huko Paris Katika kitabu chake (kwa muhtasari wa Ibriz katika uchunguzi wa Bariz), na walifanya kazi katika shule zilizoanzishwa na Muhammad Ali katika kila uwanja ambao hutumia lugha hiyo, na wale ambao hawakujifunza Al-Azhar kuchukuliwa kutoka kwa wanasayansi wake. Walichangia maendeleo ya kisayansi: utabiri, hisabati, tiba, dawa na sayansi mbalimbali. Miongoni mwa sayansi zilizofundishwa katika Al-Azhar ni ujumbe wa Sheikh Al-Damanhuri (Ain al-Hayat katika maendeleo ya maji), na pia (taarifa wazi katika utabiri) Jabrati pia alijifunza utabiri na alikuwa na elimu ya historia .
Sasa Al-Azhar ni marejeo ya Sunni kwa Waislamu wote duniani kote.. Imefundishwa wanafunzi wake juu ya fiqhi ya madhahabu na maoni mbalimbali madamu madhahabu hizi ni sahihi , hata Al-Azhar inafundisha madhahabu tofauti, mafundisho na maoni ya uongo katika mafundisho ya Imani ( mada ya Akiida ) , hata akijibu juu yake kwa dalili miongoni mwa Qurani , Sunnah na kwa akili.
Jukumu la Al-Azhar imedhahirisha katika ulimwengu wote wa Kiislamu, hasa katika bara la Afrika, ambapo Al-Azhar ilianzisha kitengo ya kufundisha lugha za Kiafrika, fasihi pamoja na sayansi za Kiislamu na pia kuanzishwa kituo cha tafsiri ya vitabu vya Kiislamu kwa lugha hizi ( Kiswahili ) katika mwaka 1967 AD, na anaendelea kufanya kazi hadi sasa , na alianzisha kitu cha Al-Azhar kwa kupambana na mawazo makali na mawazo ya harakati na vikundi vya ugaidi katika bara zima . Pamoja na kupeleka ujumbe wa Kiislamu kueneza mafundisho ya dini ya Kiislamu, na dhana sahihi na kufundisha sayansi ya lugha na sheria ya Kiislamu kiweli. Al-Azhar pia hupokea wanafunzi wa Afrika kujifunza ndani yake, iwe katika taasisi zake na chuo kikuu chake . Jamii ya Kiafrika ni jumuiya kubwa zaidi ya wanafunzi katika Al-Azhar.
Imamu mkuu Sheikhi wa Al-Azhar, Dkt. Ahmed Al-Tayeb, ameongeza idadi ya misioni kwa nchi za Afrika na Idadi ya usomi uliotolewa kwa wanafunzi wa Afrika, Mwaka 2019 utakuwa mwaka wa Afrika sawa sawa na Misri ni rais wa Umoja wa Afrika 2019.
Mwenyezi Mungu Ameokoa Misri na Al-Azhara Miskiti na Chuo kikuu.
Comments