" Mpenzi wa vijana waafrika"
Mheshimiwa
Hassan Ali Ghazali, mwana wa Nuba "Aswan" ni kijana anayekuwepo
katika miaka ishirini, anaelewa ulimwengu vizuri, , ambaye anajua hali ambayo
anaishi, na anajaribu kujikuta njia ya kuathiri na kuathirika, na muhimu, sio
kulia juu ya magofu ... Hassan Ali Ghazali, Mwanzishi wa Ofisi ya Vijana wa Afrika , Naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Afrika,
alijifunza utawala wa biashara ya Kiingereza katika chuo cha Akhbar Al-Youm, alipata udhamini wa
kufundisha na kujifunza katika Chuo Kikuu cha Lebanon cha Amerika huko Beirut,
na sasa hujifunza katika kitivo cha masomo ya kiafrika ya juu, chuo kikuu cha
Kairo.
Mei
2011, Wizara ya Vijana na Michezo ilitangaza ombi la vijana ili kusafiri Ghana, amefanikiwa katika Mitihani lakini Safari ilifutwa, wakati huo Mwenyezi
Mungu alitaka na kutokea mito nchini
Ghana, na mwaka 2012 kulikuwa na safari nyingine inayohusika kwa Umoja wa vijana wa kiafrika, na alikuwa safari
yake ya kwanza na huduma nje Misri, na ilikuwa muhimu, kulikuwa na uchaguzi wa umoja wa vijana waafrika na kisha Misri ilipata cheo cha makamu wa rais wa Afrika Kaskazini,
na tangu wakati huo alihusisha kwa kuandika mradi wa kuunda Taasisi kwa ajili ya vijana wa
Afrika.
Alikutana
na Balozi Mona Omar alikuwa mkuu wa sekta ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Afrika,
na yeye alimwambiakwamba yeye anaweza kumsaidia , lakini alimshauri kuelekea
kwa moja ya watu katika Taasisi ya Masuala,
na kuongozwa naye na kumpa mradi huo, na kumtuma kwa mtu mwingine, wanaamini
mradi huo, na ilitoa mafunzo katika utafiti na mafunzo ya idara, na ni tayari
kupokea mafunzo, ambayo kumpa takwimu njema
ilimsaidia nafasi ya shughuli za ramani
ya kijamii na kisiasa barani Afrika.
Alitoa
mradi kwa Dokta Jihad Amer, Mkurugenzi
Mkuu wa mahusiano ya Umma , Mambo ya Nje,
na vyombo vya habari kwenye Wizara ya
Vijana na Michezo, na aliiwasilisha kwa Waziri wa Vijana na Michezo, Dokta Khalid Abdul-Aziz, aliyekaribisha wazo, ambapo
ofisi ya vijana waafrika ilianzishwa.
Kazi
na ushirikiano wake:
Alikuwa mkuu wa ujumbe na mkuu wa ujumbe wa kimisri
katika uandaji wa mkutano wa vijana wan
chi zo bonde la Nile, kwa kushirikiana na Utawala mkuu wa programu ya Masuala
ya Utamaduni na kujitolea, na mwaka 2014 alisafiri Johannesburg, alihudhuria
uchaguzi, na alishinda nafasi ya Naibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana wa
Afrika, kulingana na mihimili aliyeithibitisha mnamo miaka ya awali, pamoja na mpango wa kazi
aliyeuandaa, na utunzaji mzuri na mapokezi nchini Misri, ilimpa nafasi nzuri ya
kushinda uchaguzi.
Ghazaly alipokea mwito rasmi kutoka Umoja wa kiafrika
ili kuhudhuria " Kilele cha mazungumzo ya vizazi" kati ya viongozi
waafrika na vijana waafrika wakati wa kilele cha 24 kwa marais na wafalme wa
Umoja wa kiafrika mjini mkuu mwa Ethuopia Adis Ababa katika mwezi wa Januari
2016, alishirikiana katika mikutano kadhaa ya kitaifa na kienyeji , pia
alishiriki katika vikao kadhaa vya vijana na kitaaluma mnamo miaka ya 2017,
2018, na 2019.
Pia yeye
aliiwakilisha Misri katika tume ya kisanaa kwa mawaziri waafrika wa vijana , michezo, na Utamaduni. Naye
aliomba ombi la kukaribisha kipindi cha kujitolea kwa Umoja wa kiafrika , nacho
ni chenye umuhimu Zaidi kwa kiwango cha vijana kwa Umoja wa kiafeika, nacho pia
ni kipindi cha kwanza kwa Umoja kinachofanyika huko Misri kwa Ushirikiano wa
Wizara ya vijana na michezo , kwa kushirikiana na karibu na wavulana na
wasichana 90 kutokana na nchi 45 za kiafrika ambapo Misri inajiandaa kwa ajili
ya kukikaribisha tena mnamo muda unaopunguza kwa miaka mitatu , ni mafanikio
mapya kwa ofisi ya vijana waafrika kwa uongozi wa El Ghazaly, na kulikuwa
nafasi kwa ajili ya viongozi vijana hawa kuona Misri kwa kweli nawe unaweza
kusema kwamba hii ni aina ya Deplomasia ya vijana.
Mkurugenzi
Mtendaji kwa taasisi ya kiafrika kwa wagonjwa wa maradhi ya Ini.
Mwanzishi
mshiriki kwa klabu ya wanafunzi waafrika katika chuo kikuu cha Al - Ahram cha
Canda.
Mwanzishi wa
harakati Vijana ya Nasser inayopo sasa
hivi katika karibu nan chi 12 za kiafrika na hadi sasa inaongezeka nafasi ya
shughuli zake.
Mwandishi wa Safu na Makala za kihabari, na mwanachama
wa tume ya tamaduni za kiafrika kwenye baraza kuu la Utamaduni.
Mtafiti wa kijamii katika tovuti ya mashirikia ya kiarabu yasiyo na
serikali kwa maendeleo, naye alikuwa mratibu wa vyombo vya habari na mtafiti wa
kijamii katika Shirika la Msaada la Kasoliki.
Mwanzishi mmoja wa harakati ya kienyeji kwa wananchi wa BULAK ABU ELELA,
iliyotokea kwa ajili ya kuipanga jamii na ilifanikiwa kuboresha uteklezaji wa
mtaa kwa kiwango cha mitaa ya kienyeji.
Mwanzishi wa Shule ya EBN ROSHD kwa Uhalisi na Usasa, iliyotolewa katika
mwezi wa Mei 2017 juu ya jukwaa la chuo kikuu cha kimarekani miongoni mwa
matukio ya nne kwa mpango wa " Koma"
Na mradi wa EBN ROSHD unalenga kuziba makasoro ya elimu rasmi ,
inayofuata mtindo wa kufundisha kupitia kutoa kuelekea mtindo wa kimajadiliano
ambapo mwalimu yupo bora, na shule huwana maada za elimu zenye ufundi na maada
zinazohimiza kwa kutoa maswali na kutendana pamoja kama Thieta na Falsafa.
Mtazamo wa mradi wa ' IBN ROSHD" huelekea kuunda mhusika mmsiri wa
kimataifa kwa tabia za kitaifa anayeweza kujihusisha katika soko la kazi
kupitia maada 6 za kimafunzo nazo ni ( Mwelekeo wa Shady Abd Elsalam kwa Sanaa
na Fasihi – Mwelekeo wa Hassan Fathy kwa Ujenzi wa kiustarabu- Mwelekeo wa
Galal Elmasiry kwa Kuangalia jamii- Mwelekeo wa
Pasha Talat Harb kwa Ushirikiano- Mwelekeo wa Pasha Elsanhory kwa Utawala-
Mwelekeo wa Saad Eldin Elshazly kwa Uongozi)
Pia Ghazaly alianzisha shule ya kiafrika ya kiangazi 2063 kwa uangalifu
wa Waziri Mkuu mmisri Dokta Mustafa Madbuly , Shule ilikusanya wavulana na
wasichana 100 wenye utaifa 23 tofauti, na shule ya kiafrika inazingatiwa kama mchango
wa mafanikio ya Wizara ya vijana na
michezo wakati wa maandalizi ya misri kwa Urasi wa Umoja wa kiafrika 2019 nayo
ni uteklezaji wa kwanza kwa mapendekezo
ya mkutano wa vijana wa dunia, matarajio ya Ajenda ya Afrika 2063 , vyombo vya
kufanya mkataba wa vijana waafrika, na mwishoni mhimili wa mahusiano ya
kimataifa kwa mtazamo wa Misri 2030.
Shule inakuja miongoni mwa miradi ya kipindi cha uwiano wa kiafrika,
kilichotolewa kwa Ofisi ya vijana waafrika inayofuata Wizara ya vijana na
michezo tangu mwaka wa 2014, ikiashiria kwamba zilitoa miradi kadhaa katika
matoleo matatu ya zamani kama Mfumo wa Uigizaji, na Uwiano wa kiafrika ndani ya
vyuo vikuu.
Nayo inatokea wakati wa toleo la nne kwa program ya Uwiano wa kiafrika,
iliyoanza kupitia kuzindua mfumo kwenye tovuti za kijamii ambapo wavulana na
wasichana 5000 walitangulia kwake, akifafanua kwamba waliwachagua watu 100 tu
toka utaifa 23 wa kiafrika pembeni mwa Ulimwengu wenye uteklezaji mkubwa Zaidi
katika jamii ya kiraia, na taasisi za umma na binafsi.
Shule ilitoa kwa washiriki sehemu kubwa ya utamaduni ambapo wanaweza
kunufaika kupitia mahitaji na kitengo cha kila mtu, iliendelea kwa siku 10
mfululizo , ambapo hufanyika mikutano, mazungumzo, majadiliano , ziara za
kiutalii na kielimu, iliishia kwa utoaji wa kila mtu mpango wake mwenyewe ili
kupata faida katika Uwiano wa kiafrika.
Kusanya ndoto za vijana wa Afrika katika " Nyumba" kulikuwa
kauli mbio ya shule, na ingawa imeishia ila mawasiliano wa wanafunzi
hayakuishia , hukutana katika Mikahawa na barabara za Kairo.
Na Mnamo kati kati ya
mwaka huu , Ghazaly alituonyesha kwa " Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa
kimageuzi " udhamini ulilenga vijana viongozi 100
kutokana nan chi chama za Umoja wa kiafrika, wenye maamuzi wa sekta za
kiserikali, viongozi watendaji wa sekta binafsi, vijana wa jamii ya kiraia ,
marais wa mabaraza ya kitaifa kwa vijana, wakufunzi wa kufundisha katika vyuo
vikuu , watafiti wa vituo vya tafiti za kimikakati na mawazo, wanachama wa
vyama vya kiufundi, na waandishi wa vyombo vya habari , na waandishi wa
habari.
Na udhamini unazingatiwa chombo
kimoja cha uteklezaji wa mpango wa " 1Milion by 2021' kwa ajili ya
kuwawezesha vijana waafrika milioni moja kwa kufikia 2021, uliotolewa kwa
kameshina ya Sayansi, Teknolojia, na Vyanzo vya binadamu katika Umoja wa
kiafrika hivi karibuni kwenye mji mkuu wa Ethuopia Adis Ababa.
Na lengo lenye umuhimu Zaidi katika udhamini lilikuwa kuhamisha jaribio
kale la kimisri katika kujenga taasisi za kitaifa, na kuunda kizazi kipya toka
viongozi waafrika wenye mageuzi wenye mitazamo inayosambamba na mielekeo ya
Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika , yenye Imani kwa kuhudumia malengo ya
Umoja wa kiafrika kupitia Ukamilifu, pamoja na kuunda mkusanyiko kwa viongozi
vijana waafrika wenye athari kubwa
barani, kupitia Mafunzo, Ujuzi unaohitajika, na mitazamo ya kimikakati.
Pia Udhamini wa " Nasser" udhamini wa kwanza wa "
Kiafrika- kiafrika" unaolenga viongozi vijana waafrika wnye vitengo
tofauti ndani ya jamii zao, nao ni chombo kimoja cha vyombo vya kuwezesha kwa
mageuzi ya kiafrika , kilichoidhinishwa kwa Ajenda ya Afrika 2063, na hayo kwa
ajili ya kuthibitisha maadili ya
kiafrika na kuyaimarisha kupitia kujitegemea, Ushikamano, Kazi kwa Bidii,
Ustawi wa kijamii, na kujenga juu ya mafanikio ya kiafrika na ujuzi na harakati
bora Zaidi ili kuunda mfumo wa kifrika kwa mageuzi, pia unazingatiwa chombo
kimoja cha kuwezesha marudio ya idadi ya watu kupitia kuwekeza katika
Vijana" sawa sawa na Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika 2019.
Ghazaly anafanya kazi nyingi sawa zikiwa za kitaifa, kikanda, na
kimataifa.
Na katika 2015,El Ghazaly aliheshemiwa
kutokana na Katibu wa mkusanyiko wa vijana kwenye chama cha mkutano wa Sudan , na
Rais mkale wa Umoja wa kitaifa kwa vijana wa Sudan " Yousef El Bashir' wakati wa uzinduzi wa tuzo ya "
EFRABIA" kwa vijana waarabu na waafrika uliopangwa kwa baraza la vijana
waarabu na wa sudan nchini Sudan , pia alipata tuzo wka shughuli zake kutoka
Baraza la vijana waarabu na waafrika, Ubalozi wa kimisri nchini Msumbiji , na kutoka taasisi ya INGAZ nchini Miri.
Comments