Wamisri wa zamani wamejua aina mbali mbali za michezo zinazozingatia ni
Misingi mengi kwa michezo inayokuwepo sasa kama zifyuatazo;wamisri wa zamani walikuwa wa kwanza walitumia mchezo wa Mieleka kuandaa vijana ili kuilinda nchi na hiyo inabainisha kwa kaburi (khair waf)kwenye magharibi ya mkoa wa Al-Luxor inachora kama mchezo wa mweleka na picha nyingine kama wachezaji wawili wanafanya mchezo wa mweleka mbele ya feraon na inaonyesha pia furaha ya mshindaji kwenye mechi wakati mwingine mshindwa anainika kwa hadharani; kama sisi tunahitaji leo roho kama hii sasa ambayo inarudia kwa mchezo uzuri na hishima yake na kwa hiyo tunaweza kusema kuwa mchezo wa mweleka imeanza kabla ya Kigiriki kwa karne ndefu.
Mchezo wa mpira wa mikono
Kucheza kwa mpira inajulikana nchini Misri ya zamani wenye uvumbuzi wa mpira wa mikono iliyothibiti kwa ukuta za makaburi wa mafarao kwamba wamisri wa zamani walifanya mchezo wa mpira wa mkono kwa mara ya kwanza kwenye historia ya binadamu na inaruhusu kwa wasichana kufanya mchezo hii ambapo picha nyingi kwa mchezo hii ilibainisha kwa ukuta za makaburi Bani Hasan mkoani Al-menya iliyothibiti kuwa sisi wanamiliki mchezo wa mkono ;kuna njia nyingi ni msichana anasimama wima kwa mgongo wa mwenzake kisha akaanza mauzauza mpira tatu ndogo kwa haraka.
Mchezo wa Hoki
Ukweli kwamba mchezo wa Hoki ni mchezo wa kimisri halisi ;wamisri wa zamani walifanya mchezo hii tangu miaka elfu moja ambapo ilithibiti kwamba nakshi na uchoraji iliyogunduwa katika kaburi Bani Hasan mkoani wa Menya.inabainisha wachezaji wanashika na fmbo kwenye chezo.
Mchezo wa mbio
Mchezo wa mbio ilikuwa maarufu sana nchini Misri tangu enzi ya mafarao walikuwa wanashindano katika mbio na mfano kw hiyo inayoeleza kufanya mchezo wa mbio picha kwenye kaburi ya Bitah Hotub kwenye Sakara inarejea kwa familia ya tano na mchezo wa mbio ilifika kwa umuhimu mkubwa ikiwa mafarao alifaulu kwenye mchezo huu anashika madaraka au upya.farau lazima kukata ubali maarufu kwa binafsi au kwenye mashindano wabkijamaa ili kuthibiti kuwa ana afya nzuri kushika madaraka ya nchi.Hiyo iliopo kwenye madhara nyingi ya kimisri ikiwa ni pamoja na iliyothibiti kwenye kichumba ya nyekundo kwenye hekalu la Hatshebsot ambapo tunaona mfalme anafanya mchezo wa mbio.
Mchezo wa Mieleka
Mchezo wa Mieleka ni miongoni mwa michezo inayoenea kwa wamisri wa zamani ambapo picha ilidhihiri kwamba tunatambua mchezo hii nchini ya zamani na kati na kisasa;ambao ilibainisha mifumo ya michezo ya mweleka kati ya watoto na vijana kwenye kaburi ya Bitah Hotb kwenye Sakara nchini ya zamani na hiyo picha ya kale kwa michezo ya mweleka inarejea kwa familia ya tano kama ilieleza mandhara nyingi inayoeleza mchezo wa mweleka kati ya wanaume wa wataalamu katika mifumo nyingi kwa ukuta za kaburi kama mifumo nyingi kwa ukuta za kaburi kama mfalme Baket Babni Hasan mkoani Menya.
Mchezo wa kuogelea
Wamisri wa zamani walikuwa wanapenda kucheza mchezo wa kuogelea ambapo daimu wanaondoka nje kwa kipaa ya Nile ili kufanya mchezo wa kuogelea ambapo picha kadhaa za mandhara ya kuogelea kama;msichana anaogelea kati ya maua ya lotis na huko kuna mifano nyingi kwa michezo ya kuogelea kama chumbo cha Al-bester inayowakilisha msichana inayeogelea kwenye mto wa Nile.
Mchezo wa sarakasi
Misri ya zamani ya kwanza iliyoandaa misingi za mchezo wa sarakasi ambapo ilieleza nakshi ya mandhara kwa maonyesho nyingi kama picha kwa vijana wa nne ;mmoja wao anasimama na mikono yake kwa kiwangu cha bega wake mbele yake ambapo anategemea na mguu mmoja tu na anaweka mguu mwingine mbele na wenzake wanasimama kama yakw na hivyo inachorwa kwenye kaburi ya mfalme Bakt Beni Hasan mkoani Menya.na nakshi hii inaongeza kwamba mwanamke wa misri ni wa kwanza kwwnye wanawake wa dunia anafanya sarakasi.na hivyo inathibiti kupitia na nakshi ya mandhari kama picha inayoeleza kwamba mwanawake wa misri ya zamani walikuwa kufanya mchezo wa sarakasi pamoja na muziki.
Mchezo wa Farisi
Chora inayoandika na nakshi ya mandhara ya misri ya zamani inaeleza kwamba mmisri wa zamani aliangalia mchezo wa kiestania kwa zingatia ambapo ilikuwa miongoni mwa michezo iliyofanywa na ilionyesha chora nyingi kwa kiestania kwenye mandhara ya kimisri kama hekalu ya Ramsisi wa pili.
Mchezo wa Uzio
Mchezo wa kitara (sasa inautwa shish)mchezo wa kimisri halisi;wamisri wa zamani walifika kwa kufanya mchezo hii kisha waliandaa dhana yake na barakoa yake inayotumiwa kulenda uso wao.mechi ya kwanza kwa wamisri wa zamani ilibainisha kwenye hekalu mjini Hoba inayokaribu na ufalme inayorejea kwa enzi wa mfalme Ramsisi wa tatu.ambapo ilidhuhuri wachezaji wa wili wanashika kwa silaha inafunika na nchi yake na wanavaa barakoa kulinda uso wao barakoa hii inayofanana barakoa wa kisasa.
Mchezo wa kupiga upinde
Wamisri wa zamani walitoa mchezo wa kupiga upinde umuhimu mkubwa kama mazoezi kuulinzi nchi dhidi ya maadui na wahalifu ambapo mchezo hii ilikuwa miongoni mwa mchezo iliyofanywa na wafalme wamisri wa zamani na ilitokea picha nyingi kwa mchezo hii.mandhara ya kimisri kama hekalu la sita Babidos na pia picha nyingi inakusanya kundi la wapiga upinde ambao wanazoea na mchezo hii kupitia na kutumia upinde na mshale.
Michezo ya nguvu
Mchezo wa kuruka kwa juu au kama inaitwa nchini Misri ya kwanza kwa jina hii ambapo inatokea picha zake kwenye kaburi ya waziei (Betah Hatb)zipo Sakara na miongoni mwa michezo inayokusanya michezo ya nguvu ;mweleka wa ng’ombe maksai misri ya kwanza ni nchi ya kwanza iliyozingatia kwa nyama katika kufanya michezo na kwa hivyo inaendelea mbelea ya mataifa yote katika mchezo hii ambapo ilitokea kwenye nakshi ya mandhara inayofundisha feraoni namna ya kuanguka mnyama kumweleka yake.
Mchezo wa Makasia
kwa kawaida wamisri wanafanya mchezo wa kukokota ikiwa ni kwenye mto wa Nile au bahari inayozunguka na Misri na mandhara ya kimisri inahifadhi kwa nakshi na mifumo inayoeleza mchezo wa kukokota nchini ya zamani miongoni mwa wachezaji wa mchezo hii kwenye nchi ya kisasa.
Mchezo wa uwindaji
Mchezo wa uwindaji miongoni mwa michezo ya muhimu na wamisri wa zamani ambapo walikuwa wanaondoka nje kuwinda fisi , tembo na ng’ombe makasi na wanaume wa wa juu walizoea kurakibu masgua inayounda na karatasi ya Bardi na pia wanaondoka nje kwenye sfari kwa misito ya Delta na familia yao na watumishi wao kwa uvuvi wa samaki na ndege.
Mchezo wa ngoma yenye ubunifu
Nakshi ya mandhari ilihifadhi ya makundi ya picha ya elimu ya kijamaa kwenye ngoma ya utungo ambapo wanaona wasichana kadhaa wanafanya ngoma ya utungo katika mifumo ya taratibu kwenye kaburi ya Khirowaf magharibu ya mkoa wa Al-Aksur.
Mchezo wa kiakili
kwa upande wa michezo ya mwili mmisri wa zamani alijua aina nyingine na michezo ambayo ilikuwa lengo lake ni ukuaji wa akili na shughuli za fikira ;ambapo ufadhili wa uvumbuzi wa mchezo wa chees kwa misri ya zamani ambapo iligundua kwenye kaburi ya mafarao kwa makundi na dhana za kichezo ambayo inafanana mchezo wa (El-Sent).
Comments