Amira Sayed

binti wa mji wa Aswan akawa mwanachama wa bunge la kimataifa la vijana kwa maji.

  Amira Sayed alizaliwa kijijini Elatwany mkoani Aswan katika sehemu ya juu ya Misri.na aliishi pamoja na familia yake katika Kairo.mwaka wa 2007 Amira amepatia nafasi ya nne kwenye jamhuri katika tawi la fasihi la shule ya sekondari.Imamu mkuu shekh AL-azhar Al-shareef Dr.Ahmed Al-tayeb amemheshimu Amira na yeye alikuwa mwenyekiti wa chuo kikuu katika wakati huo.alijiunga na kitivo cha lugh na ufasiri katika chuo kikuu cha Al-azhar Al-shareef,na alimaliza kusoma yake mwaka 2012 kwa daraja la jumla ni nzuri sana na heshima.kama alisoma tafsiri ya uandishi wa habari katika chuo kikuu huria cha Amerika.upendo wake kwa waandishi wa habari aliirithi kutoka kwa babake ulimsukuma kufanya kazi kama mwandishi wa habari.


Amira alianza kazi yake kama mwandishi wa abari katika gazeti la Alegbashn Gazeti na alipatia ushirikiano  katika chama na amezungumzia mikutano kadhaa ndani na nje ya Misri ikiwa ni mkutano wa vijana ulimwenguni huko Sharm Alshekh,mkutano wa ushirikiano wa kimataifa nichini India wiki ya maji ya kairo,mkutano wa kimataifa wa maji,mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa katika chuo kikuu cha Japan hapa Aleskandaria ,mkutano wa sayansi ya wanawake katika chuo kikuu cha briteni nchini Misri na alialikwa pia kutoka kwa balozi wa Indonesia huko Kairo kusafiri kwenda Indonesia kwa  chanjo ya waandishi wa habari na kuzungumza juu ya utalii wa Tsunami na Jinsi shida iligeuka kuwa Udhamini ?  

 Amira alihudhuria mikutano kadhaa na vikao vingi katika mikutano kadhaa ya kimataifa na ya ndani, hasa ushiriki wake na usimamizi wa kikao cha diolomasia ya mji ikwamo matukio ya shule ya majjira ya kiafrika mwaka 2036 na msemaki kmkuu katika semina ya“Usalama wa maji baaa ya mabadiliko ya hali ya hewa”katika maraba wa matukio ya mkutano wa vijana ulimwenguni mjini Sharm Elshekh pia alikuwa mwenyyeji katika mahojiano kadha ya runinga.

Amira amepokea tuzo nyingi  na heshima miongoni mwao  ni:

kumheshiu mwenyekiti wa chuo kikuu cha Alazhar Alshareef Dr.Ahmed Altayeb mwaka2007.

Ngao ya mkutano wa kiarabo wa ghuba nchini kuwait.


Hivi karibuni,ameanza kutazama faili la maji kwa sababu tatizo la uhaba wa maji sasa ni changamoto muhimu sana inayowakabili ulimwengu.Amira alianza kuzingatia juu ya faili hii na kusama zaidi katika nyanja hii na kupatia utafiti wake kaika mambo hilo,alitambulisha mkutano wa nane wa maji duniani huko Brazil,hafla kubwa zaidi ulimwenguni juu ya maji,ambayo ilifanyika kuanzia machi 18 hadi 23 na wakati wa utafiti wake wa fursa ya kuhudhuria mkutano huo,bunge la vijana lilipatikana kati ya umri wa miaka 18 na 27 kuwakilisha nchi yao lakini sharti yao ni vijana wana uzoefu wa kutosha katika nyanja hii.


Na Misri inawakilishwa Amira katika bunge na Amira ameshiriki katika shughuli za mkutano wa maji duniani huko Brazil mnamo Machi.ndoto yake ni kuwa na jukumu bora katika nyanja ya maji na kuthibitisha kuwa mwanamke huyo Mmisri ana uwezo wa kutatua changamoto na inasimamia nchi yake ndani na nje na pia Amira anaongoza bunge la maji la Miri.


Na kulingana na vitu rasmi ya bunge la maji la vijana ulimwenguni,ni mtandao wa vijana kutoka nchi zote wanaofanya kazi kwenye sula la maji kuwasiliana sauti za vijana kwa watoa maamuzi katika chi zote za ulimwenguni,na kuchkua utaratibu wa wenyeji katika jamii zao,kama vile,kushirikiana kwa kupata sulihisho za ushirikiano .

Amira anaota kuwa na jukumu bora atika nyanja ya maji anathibithisha kuwa mwanamke huyo mmisri ana uwezo wa kukubliana na changamoto nheshimu chi yake misri nyumbani na nje na anaona kuwa ni muhimu kulipa kipaumbele faili la maji kwa sababu shida shida ya uhaba wa maji inawakilishachangamotomuhimu zaidi zinazowakabili ulimenguni kwenye faili .






Comments