Bingwa Giana Mohamed Farouk Lutfi mchezaji wa karate katika kilabu ya Al-Ahly , timu ya Misri na kiongozi wa uainishaji wa ulimwengu chini ya umri 21.
Njia yake
Alianza mchezo wa karate mnamo umri wa miaka 6 kwa kata na baadaye iliruhusiwa kufanya
mchezo wa komitia.aliomba kushirikia katika mchezo huu na alikubaliwa .
Alianza na timu ya wachanga kwa wasichana mwaka 2009 na
alipata kwa nafasi ya kwanza barani Afrika na bahari nyeupe ya wastani na
nafasi ya tano katika michuano ya
ulimwengu.
Alipata kwa nafasi ya kwanza ya ulimwengu kwa wasichana
nchini Malaysia mwaka 2011.
Na nafasi ya kwanza pia katika mwaka wa 2013 nchini Uhispania.na alishirikia na timu
ya Misri kwa vijana mnamo mwaka wa 2013
na alishinda medali ya kidhahabu ya bahari nyeupe ya wastani nchini Uturuki.
Alifika kwa ubinguwa ya ulimwengu kwa wasichana na timu ya Misri
kwa kiwango cha binafsi na kijamii mwaka 2015 na alipata cheo cha ubingwa ya
ulimwengu chini ya umri 21 nchini Indonisia.
Giana mchezaji wa timu kwa karate mwaka 2016 alipata nishani
dhahabu ya kwanza kwa Misri katika michuano wa ulimwengu nchini Austria baada
ya alishinda kwa mshindani wake mchezaji wa Ufaransa wakati wa Fainali .
Giana mchezaji wa timu ya taifa kwa karate alifaulu katika
kupata nishani ya kifedha kwa bahari nyeupe ya kati nchini Uhispania mwaka
2018.na alishinda kwa nishani ya dhahabu katika michuano ya Afrika mwaka wa
2019.
Anashinda medali ya shaba kilo 61 katika mchezo wa karata
katika kokao cha michezo ya kiafrika .
Alipewa medali ya dhahabu ya ligi la dunia la karate 2019.
Giana Farouk anashinda medali ya kidhahabu ya michuano ya
(Series A) kwa karate
kama alifaulu katika maisha yake kama mchezaji yeye kama
msichana yoyote anatunza daima kwa upande wa maridadi na urembo.
Na sisi daima tunafuatilia picha zinazoonyesha jitihada yake
na uamuzi kwa bingwa.Giana anastahiki kupata cheo (msichana wa chuma katika
karate) hasa yeye ana tamaa ili kushinda
ubora daima.
Comments