Makumbusho ya Rais Gamal Abd El -Nasser

Ndani ya nyumba ndogo kambini mwa walinzi wa kijamhuri katika eneo la (Manshiyat Al-bakry) kaskazini mwa Kairo

kiongozi Gamal Abd El -Nasser ameishi pamoja na familia yake.. Ndani ya nyumba hiyo hiyo imekuwa wakati wa mwisho wa kuhuzunisha kwa kiongozi mwarabu , licha ya miaka ya uongozi wake na kupatia kwake madaraka ya juu zaidi nchini Misri, amebaki akikaa pamoja na familia yake katika nyumba ndogo hiyo rahisi iliyoshuhudia wakati ngumu sana ambazo ulimwengu wote umezitetemeka wakati wa utawala wake, miaka kumi na nane ni miaka yote ya utawala wake, ndoto ya kuanzisha Makumbusho kwa kiongozi wa marehemu Gamal Abd Elnasser imebaki ndoto tu kwa watu wanaompenda na wana wa watu wamisri , kuelezewa kupitia vitu vilivyomo matukio magumu sana maishani mwa taifa la kiarabu na ulimwengu wote, mpaka nchi ya Kimisri imeamua kubadilisha nyumba yake ndogo katika eneo la (Manshya Elbakry) kwa Makumbusho yanaeleza hadithi ya maisha na mapambano ya  taifa la kupitia hadithi ya maisha ya Gamal Abd Elnasser , na hii baada ya nyumba hiyo ndogo imemilikiwa na sekta ya sanaa za michoro mizuri

 

Hadithi ya kuanzisha Makumbusho hayo :

Rais Abd El-fatah El-sisi amefungua Makumbusho katika siku 28, mwezi wa Septemba, mwaka wa elfu mbili na kumi na sita, hii pamoja na wakati huu huu wa maadhimisho ya miaka arobaini na sita ya kifo cha Rais Gamal Abd Elnasser kilicholingana na siku ya ishirini na nane, mwezi wa Septemba, mwaka wa elfu moja mia tisa na sabini.

 

Shughuli za kuanzisha kwa Makumbusho hayo zimeanzia katikati ya mwaka elfu mbili na kumi na moja baada ya kumaliza na kusimamia fomu ya mwisho ya mradi wa kitamaduni huu wa muhimu, hususan baada ya kukubali kwa familia ya rais wa marehemu Gamal Abd Elnasser juu ya kutoa vitu vyake vyote vya kibinafsi, shughuli zimeanza katika nyumba iliyopo kwenye sehemu ya mita za mraba 13.400 na inajumuisha majengo ya Ghorofa mbili kwenye sehemu ya mita za mraba 1.300 na sehemu iliyobaki ni bustani mahsusi ya nyumba hiyo, mpango wa utekelezaji katika eneo umegawanyiwa awamu tatu, awamu ya kwanza imefanywa kwa utengenezaji wa jengo tangu kifo cha mke wa kiongozi, awamu ya pili kwa maandalizi ya mwisho , ama awamu ya tatu imejumuisha uandaaji wa nyumba kwa maonyesho ya kimakumbusho.

 

kazi za nyaraka za jengo pia zimeandaliwa, zinazojumuisha filamu fupi inaonyesha picha ya asili ya jengo wakati wa utawala wa Abd Elnasser , na vitu vilivyomo ndani ya jengo kama athari na samani za nyumba, zilizorudishwa kwa picha yake ya asili kama sehemu ya onyesho na kazi za ukarabati na kutoa misaada na pia kurekebisha kwa vitu vilivyoharibiwa na wakati, pia ukumbi zinazohifadhiwa kwa sababu ya umuhimu wake wa kihistoria zimeandaliwa kama sehemu ya onyesho.

 

Makumbusho ya Rais Gamal Abd El-Nasser ambayo shughuli zote za kuanzisha kwake zimefanywa na shirika la miradi ya huduma ya kitaifa ya wanajeshi wa Kimisri yamejumuisha ziara tatu za kimakumbusho.

 

Msingi wa wazo la onyesho ni hadithi ya mtu na tawasifu ya Rais Gamal Abd El-Nasser kupitia hatua tatu hutofautiana na tofauti yaliyomo katika onyesho, kwa hivyo njia ya maonyesho ni msingi wa kugawa kwa onyesho, ambapo ziara

imegawanywa kwa matembezi matatu ya kimakumbusho, kila ziara inaonyesha sehemu maalumu ya maisha ya Rais Gamal Abd El-Nasser, kwa hivyo mtu kuchukuliwa kupitia wasomaji watatu :

Nyumba inatuambia mkazi wake, matukio yanayohusu mtengenezaji wake, vitu vya thamani vinatoa umuhimu kwa miliki wake.

 

Njia ya kwanza :

 msimulizi katika hali hii ni mahali ambapo ni nyumba, kwa kweli ni sehemu ya nyumba hiyo na sio nyumba nzima, ukumbi kuu zimehifadhiwa ambazo ni lazima zinahifadhiwa bila ya mabadiliko, kumbi hizo ni ofisi mbili za rais katika ghorofa ya chini na ghorofa ya kwanza na saluni zao, pamoja na chumba cha kulala cha rais na chumba cha maisha na saluni mbili katika ghorofa ya chini ili kutoa picha kamili kwa mgeni juu ya hali ya zamani ya nyumba na hali ya maisha katika nyumba hiyo, vyumba kadhaa katika ghorofa ya kwanza vimejengwa ili kuangalia vitu maalumu vya rais vilivyomo nyumbani kama mavazi na vifaa vya kibinafsi.

 

Njia ya pili :

Matukio yanayohusiana na miliki wake.

Wazo la njia hii linaanzia mlango wa Makumbusho kisha linahamisha kwa ghorofa ya kwanza katika njia yenye njia mmoja, kisha kwa historia ya maisha ya Rais Gamal Abd Elnasser kupitia matukio ambayo Rais Gamal Abd El-nasser ameyashuhudia na ameyafanya.

Njia inaanzia ghorofa ya chini kwa utangulizi wa hali ya Misri kabla ya mapinduzi ya 1952 na matukio ya kisiasa na kijamii ambayo yameharakisha kufanya mapinduzi, kisha mgeni anahamisha kwa sakafu ya kwanza, ambapo onyesho la matukio linaendelea kwa onyesho la kipindi cha wakati cha mfululizo na matukio makuu ambayo yamefanyika katika Misri kama vita vya bwawa kuu, utaifishaji wa mfereji wa Suez, ukali wa utatu juu ya Misri, umoja kati ya Misri na Syria, vita vya 1967 na vita vya kupitia onyesho linategemea vyombo vya video na vyombo vya sauti pamoja na mkusanyiko wa maonyesho unaohusiana na matukio tofauti tofauti.

Njia inakwisha kwa mchoro wa mazishi na yote katika mfumo wa sinema kama chumba cha sinema kinachounda hisia za mgeni wakati wa uwepo wake ndani ya matukio yanayoonyeshwa.

 

Njia ya tatu :

Vitu vinavyohifadhiwa kwa miliki wake.

Wazo la njia hii linategemea onyesho la mkusanyiko wa vitu vya rais kama medali na barua na kutumia kwake ili kurejea tawasifu yake kupitia ushahidi za vitu hivyo na watu wanaohuiana nao na matukio yanayoshuhudia.

Pia inajumuisha huduma za ziada za wageni wa Makumbusho na kuongoza kwao, ambayo inajumuisha maktaba maalumu ya vitabu vyote, utafiti na vifaa vya kusikiliza na kuona ambayo inasisitiza maisha ya rais Gamal Abd Elnasser na historia ya Misri katika wakati huo.

 

Ukumbi wa Nishani :

 ukumbi wa Nishani unajumuisha onyesho la mifuko minne, Medali 75,  na Nishani mbili , zote ni dhahabu halisi na baadhi yao kutoka dhahabu na almasi, nyingine ni dhahabu na fedha na yote kutoka nchi zote za dunia, na unajumuisha medali zilizotolewa kwa Mheshimiwa mke wa  rais wa zamani wa Misri wakati wa maisha yake.

Comments