Rais Abd El-Fattah El-Sisi tangu kuchukua kwake urais wa Misri mwaka wa 2014 anaangalia kuirejesha Misri kwa nafasi yake ya kawaida kama kuelekea vijana wa Afrika
Na kushugulkia matamauni yao na ubunifu wao na huu katika nyanja zote za kisaisa,kiuchumi ,kijamii , uwanja wa mchezo haukuwa kwa mbali kuhusu vipambule vya ajenda ya mheshemiwa rais wa kiafrika ,kiasi kwamba Misri ilichukua jukumu kubwa kuelekea vijana wa Afrika ili kubomboa harkati zao ,ilifanya uwanja wa kimisri ni jukwaa kwa ubunifu wao ,utawazji wa Misri ulikuwa kwa urais wa Umoja wa kiafrika kwa mwaka 2019 ni alama ya uzinduzi kweli kuelekea kuhakikisha malengo yanayoshughulkia kwa Misri kuelekea bara la kiafrika .
Uzinduzi wa kimchezo ulianza Misri iliposhinda kushughulkia kombe la nchi za kiafrika mwezi wa juni /juli mwaka wa 2019 kwa ushiriki wa timu 24 kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano ,ilishangaza ulimewengu kwa kusherehe ufunguzi na mwisho na uzuri wa kuandaa ,kiasi kwamba taasisi zote za kimisri za kisiasa ,kiuchumi ,kijamii na kimchezo zilishirkisha katika uzinduzi wa harkati kubwa zaidi ya kimaendeleo kwa sekta ya mchezo wa kimisri ,ilishuhudia vyombo vya habari vya kiafrika _kimataifa ...Misri ilifanya kinachoonekana kama majizi katika uboreshaji wa miundo mbinu wa kimchezo kwa magavana wote mnamo wakati kiasi haichukui miezi minne kabla ya uzinduzi wa michuano kutoka uboreshaji kwa uwanja ya kimchezo na maeneo karibu katika mikao zikiwemo uwanja wa kimataifa wa Kairo .
Kupitia siku chache michuano ya kiafrika _kimchezo ya pili (8_22 mwezi wa Novemba mwaka 2019) itazindua katika michuano ya kombe la nchi za kiafrika kwa vijana chini ya mwaka 23 linalofikia michuano ya olimpiki ya Tokyo mwaka 2020,kiasi kwamba itashinda timu nane za kimchezo juu ya vikundi viwili katika nyanja mbili za Kairo na ELSLAM .
Bila shaka Misri inashuhudia kutoka matokeo ya kimchezo _kiafrika yanaonesha maoni ya rais na juhudi zinazotolewa kwa Misri ili kushughulisha vijana wa kiafrika na kuimrisha uunganji kati yao na kupanua nyanja kuelekea kuonesha uhadori wao,ujuzi wao wa kimchezo .
Hatukusahua mnamo wakati ule kuita mashabiki na waraia wamisri wawe na zaidi ya Utaratibu ,uhamizi bora na kuonesha picha ya kiutamaduni _kizuri kwa Misri ,tunataka wachezaji wetu kupitia juhudi na mchezo safi ili kuhakiksha matumaini wa wamisri na matarjeo yao , sote tunapaswa kusimama nyuma ya uongozi wetu wa kisiasa na tutachangia kufanikia michuano hii ,ili tunathabitisha kwa wote kuwa Misri itabaki uwanja wa Uslama na Utulivu siyo kwa ndugu waafrika tu ,lakini kwa watu wa ulimwengu kote .
Comments