Kwa upande wa matukio ya michuano ya Mataifa ya Afrika ... Historia ya timu za Kiarabu zinazoshiriki katika michuano hiyo
- 2019-07-17 11:30:02
Historia ya timu za Kiarabu zinazoshiriki katika michuano hiyo
Misri Inakaribisha Kombe la Mataifa ya kiafrika 2019 toleo la 32 mnamo kipindi cha Juni 21 hadi Julai 19 ,kwa ushirikiano wa nchi 24 za Kiafrika, miongoni mwao nchi tano za Kiarabu , pia Misri imeandaa viwanja ili viwe tayari kuwapokea ndugu zake kutoka nchi za Kiarabu. Tunisia, Morocco , Algeria na Mauritania. "
Timu ya mafarao hushiriki katika michuano ya toleo hili baada ya kushiriki kwa mara 23 kabala ya hiyo , ambapo ilicheza michezo 91, ilishinda 51 kati yao na imefungishwa katika michezo 15 ilipoteza katika 25, na Ikafunga mabao 155,na wavu wake ulifungishwa kwa magoli 86 .
Mohamed Salah, mchezaji wa Liverpool na timu ya kitaifa, ni mmoja wa wachezaji bora zaidi katika orodha ya mafarao ili kumvutia na timu yake.yeye ameweza kuhakikisha mwelekeo ambao utabaki kuwa haikufa katika historia kama nyota nyingine wa kimisri. Pia alishinda tuzo mbalimbali kama Simba ya kidhahabu kwa mchezaji bora barani Afrika zinazotolewa kwa gazeti la Al Muntakhab la kimoroko mwaka 2017 , tuzo ya mchezaji bora nchini Uingereza katika mwaka 2017, tuzo ya Chama cha waandishi wa soka nchini Uingereza kwa mchezaji bora
zaidi katika msimu wa kwanza mwaka 2017, tuzo ya Kampuni dhamini ya Ligi ya kiingereza kwa mchezaji bora katika Ligi ya kiingereza 2017 na Na tuzo ya kiatu cha kidhahabu katika Ligi ya kiingereza 2017, 2018.
pia Timu ya Tunisia inashiriki katika michuano hiyo baada ya kushiriki kwa mara 19 kabala ya hiyo , ilicheza michezo 68, kushinda mechi 22, ilisawazisha katika mechi 25 na imeshindwa katika michezoa 21 na ilifunga mabao 88 na wavu wake ulifungishwa kwa magoli 86.
Youssef El Masakeni ni mmoja wa wachezaji maarufu zaidi wa timu ya kertaja, ambaye alipata kiatu Cha kidhahabu kama Mfungaji bora katika ligi ya kitunisia kwa msimu wa 2011-2012.
pia timu ya Morocco ya kitaifa Ilishiriki katika michuano baada ya kucheza kwa mara 17 kabala ya hiyo , ilicheza michezo 31, ilishinda michezo 21 , imefungishwa katika michezo 22 na hasara 13, ikifunga magoli 70 na magoli 57 yalifungishwa katika wavu wake.
Moroko inashiriki na nyota wa timu yake ya kitaifa, Mehdi Ben Attia, ambaye alishinda tuzo nyingi, mfungaji bora wa ligi ya kimorocco mwaka 2017-2018.
Algeria pia hushiriki katika michuano ya mataifa ya kiafrika baada ya kushiriki kwa mara 16, Sofiane Figouli ni akili ya timu ya Algeria na ujuzi wake wa juu, ambapo ameshinda
Tuzo la Mchezaji bora Zaidi wa kiafrika katika ligi ya kihispania kwa Mwaka 2014-2015 ,na katika mwaka 2014 Kamati ya Olimpiki na kimichezo ya Algeria. Imechagua Sufian mwanamichezo bora wa kialgeria .
pia Mauritania hushiriki katika michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika kwa mara ya kwanza katika historia yake , ambapo goli la Mokhtar Hassan Eid,ni goli la kwanza katika historia ya timu ya Mauritania katika fainali za Kombe la Mataifa ya kiafrika katika dakika ya 72 kutoka penalti.
Comments