Soraya Muhammad

Mchezaji mmisri maarufu zaidi katika shirikisho la kimataifa la mpira wa kikapu

 Masaa  yaliyopita  yalishuhudia  kuchagua shirikisho  la  kimataifa  kwa mpira  wa  kikapu  kwa  Soraya  Muhammad  mchezaji wa klabu  ya  Ahaly kuwa  katika  orodha ya  wachezaji  10 bora  ulimwenguni  mnamo  2019, kwa  mashindano  3/3 baada  ya  utendaji wake  wakati  ushirikiano  wake  katika  michuano  ya  kombe la  Afrika  na  ambayo  mafarao  waliheshimiwa  nayo  . Na  mchezaji  amepata  kupitia  kwake  tuzo la  mchezaji  bora  katika  michuano  . 


Tunasajili  maelezo  muhimu  zaidi  juu  ya  mchezaji  anayekawa  mhimili  wa  mvuto  wa  shirikiano  la  kimataifa  kwa mpira  wa  kikapu  " FIPA " Soraya  Muhammad  mchezaji wa klabu ya Al Ahly, alipelekwa kwake  kutoka  klabu  ya  Elsid  mwaka uliopita  Kwa  mkataba  utakaoendelea  kwa  vipindi  viwili  .


Amejifunza  utaalamu wa usimamizi  na  alifanya  kazi  kwenye  mojawapo  ya  benki  vilevile,  alikuwa  ameshirikisha  katika  michuano  bila  ya  ushungi  ila  baada  ya  uamuzi wa  shirikiano  la kimataifa  kwa kutoa  ruhusa  wa  kuivaa  alidhihirisha  kwa  ushungi katika  maeneo ya  kimataifa  na  michuano  ya  rasmi  . 


Alifikia michuano  kadhaa  miongoni  mwake  ni  michuano  ya  Kiarabu  kwa  kiwango  cha  timu  ya  kitaifa  na  klabu  ya  Elsid  wakati  alipokuwa  ameshiriki ndani  yake   na  alipata  jina  la  mchezaji wa  shuti Mwarabu bora   katika  mashindano ya mwaka   2017 . 


Mnamo kipindi  hiki  ,aliheshimiwa  na  klabu  ya  Alhaly  kwa  jina  la michuano ya  ligi  kwa  kushinda " Al-jazera " , vilevile,  aliheshimiwa  kwa  medali  ya  kishaba  ya  michuano  ya  Kiafrika  ambayo  imekaribishwa  kwa Misri  . 


Alipata  jina la  mchezaji bora  katika  michuano  ya  kombe  la  Afrika  nchini  Uganda  . 


Aliheshimiwa  kwa jina  la  mfungaji bora katika  michuano  ya  AlafroBasket baada  ya kufunga  nukta  85 .


Alijeruhiwa katika  mechi ya  Cote d'Ivoire ya  michuano  ya  Elafrikan  basi  alisisitiza kuendelea  mechi  ingawa  hatari  za  kutibu  . 

 Hakuwezi  kujikaza na  machozi  yake  yalitirika  wakati  mafarao  wameshindwa  na  Angola  katika nusu  fainali  katika  michuano  . 

Alipata tuzo  la mchezaji wa  michuano  ya  kombe  la  mataifa ya  Afrika  ya  mwisho  nchini  Sengal  . 


 Shirikisho  la  kimataifa la  mchezo  lilimsifu   kwa  Jina  la  "Kilopatra  "  alichaguliwa  jana kuwa  miongoni  mwa  wachezaji  10 bora   ulimwenguni   mnamo  mwaka  2019 kutoka  upande  wa  shirikisho  la  kimataifa  kwa  mchezo  .

Comments