Mostafa Abdo

. Mchezaji wa mpira wa miguu , aliitwa kwa jina la "kihungari "


Kuzaliwa

Mustafa Abdo alizaliwa katika siku ya kumi mwezi wa sita mwaka wa 1953

 

Njia yake

 

Alianza njia yake na mpira wa miguu katika klabu ya kaskazini mwa Kairo katika 1968 na alijiunga kwa vijana wa Alahly chini ya miaka 17 katika mwaka 1970 na alicheza kwa timu ya kwanza baada ya mwaka mmoja na mechi yake ya mpira kwanza ilikuwa na timu katika mwaka 1971 ama alicheza mbele ya timu ya kitaifa ya Dubai kwa njia ya urafiki katika uwanja wa Mokhtar Elttesh na aliyafunga mabao mawili ili klabu ya Alahly inashinda 3:0 na nyota ya Alahly inaanza safari ya uzuri wake na

Ngome Nyekundu

Uwanja wa Aleskandaria ilishuhudia mechi rasmi ya kwanza  kwa Kihungari na Alahly katika mashindano ya ligi  kuu mwezi wa Oktoba mwaka wa 1972 ama alicheza mbele ya timu ya olimpiki na mechi ulimalizika kwa 1:1

Mustafa Abdo alijiunga kwa timu ya kitaifa katika mwaka 1974 baada ya kuchagua kwake  kutoka kocha wa Ujerumani Dieter Kramer miongoni mwa timu iliyoingia mashindano ya mataifa ya kiafrika mjini mkuu mwa Kairo na alicheza mechi yake ya kwanza mbele ya Uganda na Mkutano ulimalizika kwa ushindi wa Misri kwa mabao mawili mbele ya bao moja

 

Nyota ya Alahly ya zamani alitumia muda wa miaka 17 uwanjani na aliitwa kwa kihungari na roketi kutokana na ujuzi wake wa juu , Kasi yake ya juu na Misalaba yake kamili  na alipata mashindano 10 ya ligi ya ujumla pamoja na Alahly pamoja na kushinda kwa kombe la Misri mara tano , alishinda na Alahly mashindano ya kiafrika kwa mabingwa wa vikombe mara tatu na alishinda

Mashindano ya Afrika kwa mabingwa wa ligi mara moja

 

Na baada ya ustaafu wake , alielekea kufanya kazi katika nyanja ya mpira wa miguu kama mchambuzi wa michezo


Comments