Mswisi Gianni Infantino Rais wa Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA)ameyasifu maandalizi ya Misri na kamati iandaayo kuzindua toleo jipya la michuano ya Kombe la Mataifa ya kiafrika hiko Misri 2019, itakayofanyika katika kipindi cha 21 Juni hadi 19Julai ijayo.
Mhandisi Hani Abu Reda, "rais wa Shirikisho la Soka la kimisri " na mwenyekiti wa kamati iandaayo, walifanyika kikao pamoja na Rais wa Shirikisho la Kimataifa kulingana na ufunguzi wa michuano ya Kombe la Dunia kwa Wanawake nchini Ufaransa, Na akamwelezea maandalizi ya Misri kwa mashindano.
Abu Reda alisisitiza kwa rais wa FIFA Kwamba Misri inaandaa kushangaza ulimwengu kwa toleo moja bora Zaidi katika historia ya michuano ya kombe la Mataifa ya Afrika, ambapo Infantino ameyasifu maandalizi, akisisitiza kwa yakinii yake kamili katika uwezo wa Misri wa kufanyika michuano ya kihistoria kwa kila maana.
Comments