Kamati iandaayo kombe la dunia la mpira wa mikono 2021 yaeleza yanayohusu mpira wa msingi wa michuano

Kamati iandaayo michuano kwa kombe la dunia la mikono ilielezea mpira rasmi wa michuano,

hiyo iko pembezoni mwa mkutano wa kutangaza shughuli za Sherehe ya kura ya kombe la dunia la Misri 2021 inayotarajiwa kufanyika  Septemba 5 , Waziri wa michezo alisisitiza kuwa kuna hatua za kujikinga kwa mahudhurio  ya kura kwa hivyo walipunguza idadi ya mashabiki , Sobhy akasema kuwa Misri iliwahi kupokea michuano ya kombe la dunia la wachipukizi lakini ni mara yake ya kwanza kupokea michuano ya dunia ya wakubwa inayofanyika kwa mara ya kwanza kwa ushiriki wa timu 32.  


Dokta Hazem Khamis Mkurugenzi wa kamati ya matibabu ya kombe la dunia la mpira wa mikono Misri 2021 alisisitiza kuvaa Barakoa wakati wa mkutano wa kutangaza  shughuli za kura ya kombe la dunia inayotarajiwa kufanyika  Septemba 5 huko eneo la Piramidi . 


Sherehe ya kura itakuwa na hatua kali za matibabu na kujikinga, iliyokuwa na uamuzi wake wa mwisho uliowashangaza  wote kwa kupunguza idadi ya hadharani kwa thuluthi ya idadi iliyotajwa mapema , na kupunguza idadi ya waalikwa tokea 500 hadi 184 kwa ajili ya kuhifadhi umbali maalum na kuchukua hatua za kujikinga.  


Wakati wa kutafutia onesho zuri zaidi kwa sherehe ya kura linaloshangaza dunia nzima na kuvutia mitazamo ya mamilioni huko eneo la Piramidi , mwanamuziki wa dunia Omar Khayrat aliona mahali pa sherehe jana pamoja na kamati hiyo akitumaini kufufua sherehe ya kura kwa muziki yake nzuri , hilo ni chaguo lililosifiwa na wote, likapata radhi ya wote likizingatiwa mshangao mzuri likipitishwa.


Comments