Misri kushinda Nigeria katika Kombe la Dunia kwa mpira wa mikono nchini Hispania

Timu ya kitaifa ya vijana kwa mpira wa mikono chini ya umri wa miaka 21, waliozaliwa mwaka 1998

chini ya uongozi wa Tariq Mahrous, ilishinda juu ya mwenzake  Nigeria ka matokeo 47 - 30 katika mechi ya pili ya timu mbili katika kundi la pili la michuano ya Dunia no. 22 ambayo itafanyika katika kipindi cha Julai 16 hadi 28..

Timu yetu ilishinda Australia kwa matokeo 44 - 17 katika mechi yake ya kwanza, wakati Nigeria ilishindwa kutoka Ufaransa kwa matokeo 48 - 19

inayopangwa  timu yetu ya kitaifa itapambana mwenzake uswidi katika, siku ya Ijumaa ijayo

timu yetu hucheza katika kundi ambalo limejumisha Ufaransa, Uswidi, Nigeria, Korea ya Kusini na Australia.

orodha ya timu  yetu ya kitaifa ya vijana inajumisha wachezaji 16:

 

Mustafa Shawki mwanachama wa Baraza ya Wakurugenzi wa shirikisho kama ni rais wa ujumbe , Tariq Mahrous Mkurugenzi wa kifundi ,   Hany Fakhrany kocha msaidizi, Madaktari wa mazoezi ya mwili Amr Essam , Na Mohamed Suleiman, Mkurugenzi Mtendaji na Mtaalam wa Utendaji wa Ufundi.

 

Orodha ya wachezaji inajumisha :

 

Abdul Rahman Taha na Abdul Rahman Hamid na Jalal Khurshid na Abdul Aziz Ihab na Shehab Abdullah na Hassan Walid Saif Shield na Ahmed Hisham Ahmed Radhi Hazem Mamdouh Mohsen Ramadhani na Mohammed Azhar na Omar Khaled, Omar Sami na Khaled Waleed na Yasser Mohammed.

Ujumbe wa timu ya kitaifa ya vijana unajumisha :

Mustafa Shawki mwanachama wa Baraza ya Wakurugenzi wa shirikisho kama ni rais wa ujumbe , Tariq Mahrous Mkurugenzi wa kifundi ,   Hany Fakhrany kocha msaidizi, Madaktari wa mazoezi ya mwili Amr Essam , Na Mohamed Suleiman, Mkurugenzi Mtendaji na Mtaalam wa Utendaji wa Ufundi

Comments