Waziri mkuu ,waziri wa michezo na mawaziri 17 washuhudia sherehe za kura ya michuano ya dunia kwa mikono huko eneo la Piramidi
- 2020-09-14 11:50:13
Dokta Mustafa Mabduly Waziri Mkuu ,Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo na mawaziri 17 wajumbe wa kamati ya juu kwa michuano ya dunia kwa mikono ya Misri, 2021 ,walishuhudia jana Jumamosi, Septemba 5, 2020 ,sherehe ya kura ya toleo la 27, huko eneo la Piramidi ,ambayo inakarbishwa na Misri mnamo 31_31 mwaka ujao 2021
Dokta Mustafa Mabduly Waziri Mkuu ,Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo na mawaziri 17 wajumbe wa kamati ya juu kwa michuano ya dunia kwa mikono ya Misri, 2021 ,walishuhudia jana Jumamosi, Septemba 5, 2020 ,sherehe ya kura ya toleo la 27, huko eneo la Piramidi ,ambayo inakarbishwa na Misri mnamo 31_31 mwaka ujao 2021 ,kwa mahudhurio ya Dokta Hassan Mustafa mwenyekiti wa shirkisho la kimataifa kwa mpira wa mikono ,wawakilishi wa nchi pamoja na wahusika wa shirkisho la kimataifa na kimisri na timu inayoshiriki ,kundi la wachezaji wa timu ya Misri ya kitaifa kwa mpira wa mikono .
Toleo hili linazingatiwa la kwanza linalojumuisha timu 32 badala ya 24 kwa mara ya kwanza katika historia ,mashindano yake yanafanyikwa kwenye kumbi 4 , wa kwanza ni ukumbi mkubwa katika uwanja wa Kairo unachukua watazamaji elfu 22 ," ukumbi mpya wa mji wa idara, nyanja zake zinachukua watazamaji 5500 ,Borg Alarab inachukua watazamaji elfu tatu na mwisho ukumbi mpya katika mji 6 Oktoba unaochukua watazamaji 4500 .
Sherehe za kura zilianza kwa sherehe ya mwanamuziki Omr Kherit kwa kundi kutoka sehemu za kimuziki na nyimbo zinazovutia mahudhurio daima , zikifuatiliwa na kundi la maonesho ya Mafarao yanayoeleza historia ya kimisri ,kisha sherehe ya kura katika michuano ya dunia na kuchagua moja wa wageni ili kuvuta kura ya michuano ,pia msanii Khaled Elnabwii ,mtangazaji Gasmen Taha ,mtangazaji na msanii Engy Elmkdam wanatoa sherehe .
Mwanzoni Dokta Mustafa Madbuly Waziri Mkuu aliwasilisha heshima ya Rais Abd El-Fatah El-Sisi Rais wa Jamhuri ya Misri na matumaini yake kwa mafanikio kwa tukio muhimu hili la kimchezo , Madbuly alikarbisha mashabiki ya michezo ya kimisri na kidunia wanaofuata sherehe za tukio muhimu hili kupitia vyombo vya habari tofauti ,akitumaini kwao wote mafanikio yote na akitumaini kwa wageni wetu wapendwa uzuri wa maisha nchini mwao Misri .
Waziri Mkuu alisistiza kwamba michezo inabaki daima moja ya njia muhimu zaidi na kundi linaloweza kuenea uamini na upendo kati ya watu , akisisitiza kwamba umuhimu wa toleo la kisasa kutoka pande nyingi kwa sababu ni mara ya kwanza katika historia ya michuano ambayo inashiriki miongoni mwa mashindano yake timu 32 kutoka nchi tofauti za ulimwengu ,akiongeza na hali za kukarbisha kwa michuano chini ya changamoto na juhudi za kimataifa ili kupambana na kuenea kwa Virusi vya Corona jambo hili linashikilia changamoto zaidi mbele ya shirika la kimchezo ,kimisri na kimtaifa .
Dokta Mustafa Madbouly, aliashiria kuwa siku ni tukio la kawaida kwa kitu hiki ambacho nchi ya kimisri na kisasa inatafutia chini ya uongozi wa hekima na unaojulikana kwa Rais Abd El-Fatah El-Sisi Rais wa Jamhuri ya Misri ya kiarabu ,na jambo linaloeleza mnamo kipindi hiki na juhudi hizi ambayo nchi ya kimisri inazifanya juu ya viwango vyote vya nje na ndani ujumbe ambao uongozi wa kisiasa na kimisri unatilia umuhimu juu ya kutangaza Kwake na kuweka mizizi yake kati ya watu wa dunia ...dhamira ya ujumbe huu kwamba uamini wa kijamii , mawasiliano ya utaratibu na ukamili wa kiutu ni njia ya pekee mbele ya watu wote kwa maisha katika uamini na maendeleo ni tumaini mbele ya wana wetu na vijana wetu ili kuhakiksha ndota zao na matumaini yao, nao ni urithi ambao tunapaswa kuuacha kwa kizazi cha kisasa na kijacho.
Katika hotuba yake ,Dokta Ashaf Sobhy Waziri wa vijana na michezo aliwakarbisha watu wanaohudhuria na msanii Khaled Elnabwi alipatia heshima kwa upande wa waziri ,Sobhy alieleza kuwa tunakutana leo katika eneo la Piramidi linalozingatia moja ya vivutio muhimu zaidi vya kihistoria katika historia ya kibinadamu ili tutazame pamoja na sherehe ya kura ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume katika toleo lake la 27 kwa ushiriki wa timu 32 kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano .
Sobhy alisema :( tangu Misri ilipata heshima ya kukarbisha na kuandaa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono ...Rais Abd El-Fatah El-Sisi Rais wa Jamhuri ya Misri alisisitiza kwamba kuchukua taratibu zote na kutosheleza msadaa kamili na mahitaji yote ili kuhakiksha mafanikio kwa michuano mikubwa kwa kiwango cha mpira wa mikono ,na viwango vyote vya kiidara na kiuratibu na kunufaika kutoka wezo ambayo Misri inaziburudika kutoka miundo mbinu ,majengo ya kimchezo na kiutalii , nyanja za kimataifa .
Waziri wa vijana na michezo aliongeza kukarbisha kwa Misri kwa michuano kunachukua umakini na kufuata kwa moja kwa moja kutoka nchi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Misri ya kiarabu Dokta Mustafa Madbuly kuanzia kutoka kuchukua kwake kwa kamati ya juu kwa michuano na ujumbe mzuri kutoka mawaziri wote ,jambo ambalo athari zake zimeonekana wazi kwa haraka katika hatua zote na mahitaji ya kuandaa kwa michuano ,kazi hii kwa kufuata hiki kwa moja kwa moja kutoka serkali ya kimisri kwa bidii ili kufikia viwango vya juu zaidi vya mafanikio katika nyanja tofauti za kweli na tayari kwa michuano na utiliaji umuhimu ulikuwa juu ya ushirkiano na kufuata kwa kila siku na kamati iandaayo michuano pamoja na juhudi za Shirikisho la kimtaifa kwa mpira wa mikono ili kufuata maanadlizi yote kiasi kwamba taratibu zote kuanzia sherehe ya kura na hatua zote zinazokuja na zinazohusiana na matukio na mashindano ya michuano .
Dokta Ashraf Sobhy :( tunaahidi kuwa moja ya matukio ya kimchezo na tofauti sio tu katika hali na hali za kuzifanyawa na mashindano yake katika maandalizi yote na kukarbisha na uzuri wa maisha nchini mwenu Misri na toleo hili linakuwa alama muhimu inayoongeza kwa rekodi nzuri zaidi ya historia kwa michuano hiyo na familia ya mpira wa mikono wa dunia ,atumaini kwenu na washirki na wafuatiliaji wote kutoka nchi tofauti za dunia mafanikio makubwa .
Kwa upande wake ,Dokta Hasaan Mustafa mwenyekiti wa shirikisho la kimataifa kwa mikono alisisitiza shukurani zake kwa juhudi zilizofanyawa katika kutokea sherehe ya kura na michuano kwa sura nzuri sana ya Misri ya kimtaifa kati ya Changamoto za Virusi vya Corona ,Mustafa alizungunazia mafanikio ya timu za kimisri kwa aina yake tofauti katika michuano tofauti ambayo mwisho wake kombe la dunia la michuano kwa wachipukizi .
Mfumo wa kura unategmea kugawanya timu 32 juu ya makundi 8 na yanajumuisha timu 4 ili kupanda fikisha watatu wa kwanza kwa zamu mkuu inayojumuisha timu 24 ,imegawanyawa makundi 4 yanajumuisha timu 6 ili kufikisha wa kwanza na wa pili kwa robo ya fainali ambayo inafanyawa mechi zake kwa kutokea mshindwa kisha nafasi kabla ya fainali na hatimye mechi ya fainali .
Imetajawa kuwa Shirikisho la kimataifa limeamua kuweka michuano ya dunia kwa wanaume kwa nchi mbili na tatu kama toleo la mwaka uliopita ambalo limefanyawa nchini Ujerumani na Denmark na Misri ilipatia nafasi ya nane kati ya timu bora zaidi duniani lakini toleo hili limeandaliwa na Misri pekee ni jukumu kubwa linabebwa na mchezo wa kimisri kwa kitu kina uzuri mkubwa ambayo nchi nyingine haipatii duniani mnamo kipindi kijacho .
Misri ilikuwa miongoni mwa nchi 7 zilizoonesha hamu zake katika kuandaa michuano ya dunia kwa wanaume wa mpira wa mikono mwaka 2021, nazo ni Ufaransa ,Magr ,Uswidi ,Uswizi ,Solovkia na Poland ,imechaguliwa na Misri mnamo Novemba kutoka mwaka mwenyewe kupitia mkutano wa shirikisho la kimataifa mjini Sotshi ya Urusi baada ya mashindano magumu pamoja na faili ya Magr ,inazingatia ni mara ya pili ambayo Misri inaandalia michuano ya dunia kwa wanaume wa mikono baada ye toleo la 16 na limefanyikwa mwaka 1999 kwa ushiriki timu 24 .
Comments