Rais Mheshimiwa afuata maandalizi ya kukarbisha Misri kwa michuano ya dunia kwa mpira wa mikono mnamo Januari ijayo
- 2020-09-14 11:58:07
Rais Abd El Fatah El-Sisi alikutana leo na Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa vijana na michezo ,na Meja Jenerali Mohamed Ameen mshauri wa Rais wa Jamhuri kwa masuala ya kifedha .
Msemaji rasmi kwa jina la urais wa Jamhuri alionesha kuwa mkutano ulijumuisha kufuata kwa maandalizi ya fainali ili kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa wanaume ,inayoamuliwa kuikarbishwa na Misri mnamo Januari ijayo 2021 .
Rais Mheshimiwa ameelekea kwa kutosheleza uwezo wote kwa mafanikio ya michuano na itakuwa kama sherehe ya kimichezo duniani nchini Misri ,pia ni tukio kubwa zaidi ulimwenguni na itaandaliwa kwa mahudhurio mashabiki tangu kuanzia kwa Janga la Corona .
Msemaji rasmi alieleza kuwa waziri wa vijana na michezo alionesha vipande tofauti vya maandalizi yanayoendelea juu ya kiwango cha kamati ya juu inayohusika kwa Usimamizi juu ya kuandaa kombe la dunia kwa mpira wa mikono ,ikiwemo juhudi za kuinua ufanisi wa miundo mbinu ya kimichezo ambayo michuano itaijumuisha , akiashiria kuwa michuano itashuhudia ushiriki wa nchi 32 kwa mara ya kwanza katika historia yake na kufanya mechi 108 katika kumbi 4 tofauti katika mikao mitatu ,pamoja na kutosheleza kumbi 10 nyingine za kimichezo ili kukarbisha mazoezi ya timu ،pia itachagua karibu na watoleaji1100 kutoka vipengele bora zaidi vya vijana ili kushiriki katika kurahisisha michuano ,na kuweka mpango wa mazoezi kwao kuhusu kuwasiliana na timu ,jumbe na kanuni ya huduma ,hii kwa ajili ya kuchangia kutokeza michuano katika sura bora zaidi.
Pia mkutano ulishuhudia maonesho ya hatua za kuanzisha na kifedha kwa ( sanduku la michezo la kimisri ) ,linalozingatia sanduku la kwanza la kiuwekzaji ili kusaidia michezo nchini Misri ,kiasi kwamba Rais alielekea kwa umakini kwa sanduku hili kwa lengo la kudumisha mali zao za kifedha kwa kusaidia mabingwa wa kiolompiki ,kugundua na kujali watu wenye talanta kimichezo na kufanya mipango ya kitaifa kwa mazoezi ya viungo na afya kwa jumla .
Comments