Nchi ya Misri mnamo kipindi kijacho inakaribia na Changamoto kubwa dhidi ya virusi vipya vya Corona
kupitia kukaribisha michuano ya kimataifa katika ardhi zake baina taratibu ya kitahdhari kwa kamati kubwa ya kimatibabu duniani kwa ajili ya kupambana na mlipuko wa Corona na nchi ya Misri itakuwa na sura tukufu ulimwenguni.
michuano ya kimataifa muhimu zaidi nchini Misri 2021 katika ripoti ifuatayo:
Kombe la dunia la mpira wa mikono
Misri inakaribisha michuano muhimu zaidi baina matukio hayo 2021, nalo ni kombe la dunia kwa mpira wa mikono kwa ushiriki wa timu kuu 32 katika kumbi nne mbalimbali nazo ni ukumbi wa oktoba ,wa Borg ElArab,stadi ya Kairo na ukumbi wa mji mkuu wa kiutawala, wakati ambapo sherehe za kura zimefanywa Jumamosi jioni,huko eneo la Piramidi kwa mahudhurio ya Waziri Mkuu Dokta Mostafa Madbuly na idadi ya waziri na viongozi .
Kombe la dunia la upigaji wa mishale
Meja Hazem Hosni Mwenyekiti wa Mashirikisho mawili ya kimisri na kiafrika kwa upigaji wa mishale, ametangaza kukubali kwa Shirikisho la kimataifa kwa mchezo huo kwa kushikiliwa kukaribisha michuano ya dunia kwa kutupa mishale kwa sahani huko Misri "Ardhi ya Mafarao" mnamo kipindi cha Februari 26 hadi Machi 8, 2021 kwa ushiriki wa wapigaji wa mishale bora zaidi duniani.
Na aliashiria kuwa Misri itakaribisha aidha michuano ya kimataifa ya upigaji wa wachipukizi na vijana wa bunduki, itakaofanyikwa mnamo 2023 kama mchuano muhimu zaidi duniani.
Michuano ya dunia ya vijana wa Silaha
Wakati Misri inapopokea michuano hiyo Aprili 2021, Abd ElMonim El Husseny, Mkuu wa Shirikisho la Silaha ameonesha kuanza kuunda kamati za michuano ya Dunia kwa vijana na wachipukizi inayopangwa kukaribishwa huko Misri Aprili 2021 ijayo, akiashiria kuanza kuainsiha Hoteli husika kwa Michuano, El Hosseny amesema aidha kamati iandaayo michuano inafanya mkutano kila Jumapili r kwa ajili ya kumalizika taratibu zote kuhusu michuano hiyo.
Comments