Mchezaji wa mweleka wa kimataifa Mohamed Ibrahim (kisho)
ameweza kushinda kwa medali ya kidhahabu ya tuzo kuu
inayofanyika nchini Belarusi mnamo kipindi cha tarehe 26 hadi siku ya 28, mwezi
wa Julai, mwaka wa elfu mbili na kumi na tisa, baada ya amemshindwa bingwa wa
dunia wa kikorea (Han Su Rio) kwa tija
12/0.
(kisho) amefikia fainali baada ya mechi ngumu dhidi ya
bingwa wa Kazakhstan, ameweza kupata ushindi katika sekunde za mwisho kwa tija
5/2 miongoni mwa mashindano ya uzito wa kilogramu 67.
Mchezaji wa mweleka (kisho) ameelezea furaha yake kwa medali
ya kidhahabu, akiashiria kuwa ngumu ya mashindano inakuja kwa kushiriki kwa
mabingwa wa dunia na mataifa yenye historia nguvu katika mchezo huo.
Na mchezo huo ni kutoka michuano za ngazi ya kwanza za
dunia, pia ni uandaaji wa nguvu kwa mashindano ya michezo za Kiafrika
yatakayofanyika nchini Moroko, mwezi wa Agosti ujao na pia michuano ya dunia
itakayofanyika nchini Kazakhstan, mwezi wa Septemba ujao.
(kisho) ametoa shukrani kwa Waziri wa vijana na michezo,
Dokta Ashraf Sobhy, pia kwa jenerali (Isaam Nawara), ambaye ni mwenyekiti wa Muungano
wa Kimisri kwa mweleka.
Na ametoa shukrani pia kwa wanachama wote wa baraza la
uongozi na benki ya Al-ahly ya Kimisri, ambayo ni mdhibiti wa kirasmi kwa timu
ya kitaifa ya Olimpiki ya Kimisri, timu Inayofuatiliwa kwa benki ya Al-ahly ya Kimisri na kampuni ya
(Rawabet) ya kimichezo, ambayo ni wakala wa kipekee wa timu ya kitaifa ya
Kimisri na ambayo pia imelipa gharama zote za michuano.
Comments