Kariman Kamel anafuzu medali ya shaba ya Judo katika michezo ya Kiafrika.

Kariman kamel, mchezaji wa timu ya Judo ya kitaifa

ameshinda medali ya shaba ya kikao cha michezo ya Kiafrika kilichofanyika nchini Morocco katika uzito juu ya kilogramu 78.

 

Kariman amefuzu katika mechi ya kuridhika dhidi ya mwenzake, Salma Alshazly, ambaye ni mchezaji wa timu ya kitaifa ya Misri kwenye ukumbi wa mfalme (Abdallah) mjini mwa Morocco, Rabat.

Medali ya shaba ya Kariman imekuja ili kuinua usawa wa Misri katika michuano hiyo hadi medali 8 zimegawanyika kwa medali nne ya dhahabu na medali nne ya shaba.


Inabidi kutaja kuwa michuano hiyo inafanyika kwa ushiriki mataifa 52 ya Kiafrika ikiwa ni pamoja na Misri katika miji minne ya Morocco, ambayo ni : mji wa Rabat, mji wa Cazablanka , mji wa Aljadida na mji wa Alwasily.

Michuano hiyo ni kutoka michuano ambazo zitafikia mashindano ya michezo ya Olimpiki (Tokyo 2020), ambapo kuna michezo 15 zitafikia Olimpiki 


Comments