Waziri wa vijana na michezo anawapokea mabingwa wa mpira wa mikono katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kairo.

Alfajiri ya jana, Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo ameipokea timu ya kitaifa ya Misri ya mpira wa mikono

Na ambayo imeshinda michuano ya dunia kwa vijana iliyofanyika nchini Macedonia, mnamo kipindi cha tarehe 6 hadi 18 Agosti.

 

Mapokezi yameshuhudia kuhudhuria kwa mhandisi (Hisham Nasr)" mwenyekiti wa Muungano wa Kimisri wa mpira wa mikono', pia mahudhurio ya wanachama wa baraza la uongozi la Muungano wa mpira wa mikono na umati wa watu wengi.

 

Sobhy ameelezea furaha yake kubwa kwa ushindi huo ambao inaonyesha mabadiliko ya taratibu kwa michezo ya mpira wa mikono, mpaka imefikia kilele kwa kuchukua kwake nafasi ya kipekee kwa michezo hiyo kwenye ngazi ya kimataifa katika umri wa vijana.

 

Waziri wa vijana na michezo ametoa pongezi kwa rais Abd Alfatah Elsisi, ambaye ni rais wa Jamhuri ya Misri na msaidizi wa vijana wa Misri katika michezo mbalimbali, akisisitiza kuwa uongozi wa kisiasa una imani kubwa kuwa michezo ni usalama wa kitaifa na mojawapo ya nyanja muhimu zaidi zinazosaidia katika muundo wa utamaduni wa jamii na kuchangia kufanikisha maendeleo kamili, akiashiria kuwa mkakati wa wizara ya vijana na michezo na yanayochukulia mkakati wa ujenzi wa kibinadamu na maono ya Misri 2030 umesisitizia mipango ya kipekee ya serikali chini ya uongozi wa Dokta Mostafa Madbuli ambayo inalenga uandaaji wa vizazi katika michezo mbalimbali kwa ajili ya vinakuwa nguzo kuu za baadaye kwa timu za kitaifa inayolenga kugundua wachezaji wa kipekee katika michezo mbalimbali ikiwa ni binafsi au pamoja.

 

Waziri wa vijana na michezo amesifu mfumo wa mpira wa mikono kwa mfumo kamili na unaofanya kulingana na mkakati wazi unalenga kwa uandaaji wa vizazi vya kipekee katika michezo hiyo, hutegemea kazi ya kudumu na inayoendelea wakati wa upanuzi wa msingi wa mashindano, na kupata kwa wachezaji kwa ajili ya kuandaa kwao ili kuwa msingi wa timu za kitaifa kwa umri zake mbalimbali.

 

Dokta Ashraf Sobhy amemaliza kuwa wizara haichelewi kwa kutoa misaada kwa mabingwa wa dunia katika mpira wa mikono, akisisitiza kuwa Ufadhili utakaolipwa utakuwa stahiki kwa ushindi uliyofanywa.

 

inatajwa kuwa timu yetu ya kitaifa imeanza mechi zake katika michuano hiyo kwa kufuzu dhidi ya mwenzake, timu ya kitaifa ya Sweden kwa tija 32-29, kabla ya kushindwa kwake toka timu ya kitaifa ya Ufaransa kwa tija 28-32, kisha imeshinda timu ya kitaifa ya Taiwan kwa tija 36-25. 

Comments