Rais wa Jamhuri anaheshima timu ya vijana wa mikono baada ya kutawaza kwa michuano ya Mekdonia

Rais Mheshemiwa Abd Elfatah Elsisi " Rais wa Jamhuri ya kiarabu ya Misri" aliiheshimu timu ya kitaifa kwa vijana wa mpira wa mikono chini ya miaka 19

baada ya ushindi wake kwa lakabu ya michuano ya dunia iliyofanyikwa pale Makdonia mnamo kipindi cha tarehe ya 6 hadi 18 mwezi wa Agosti huu.   na Kauli rasmi ya  Urais wa Jamhuri ilikuja kama ifuatavyo: jana,  Rais Abd Elfatah Elsisi aliwapokea wachezajina wanachama wa kiufundi wa timu ya kitaifa kwa mpira wa mikono kwa vijana ,iliyotawazwa kwa michuano ya kombe la ulimwengu kwa vijana kwa mpira wa mikono , ambapo Rais aliwapa Nishani ya michezo yenye heshima ya kwanza.  

Matukio ya sherehe yalihudhuriwa na Dokta Mustafa Madbuly "Waziri mkuu", Dokta Ashraf Sobhy " Waziri wa vijana na michezo' pamoja na Rais wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa mikono, na rais wa ujumbe wa kimisri katika kombe la dunia kwa vijana.

Na Rais alisifu yaliyofanyikwa na timu ya kitaifa kwa vijana kwa mpira wa mikono , na mchango wao wa kuimarisha nafasi ya Misri katika uwanja wa kimichezo katika mataifa, jambo linalokamili kupendelea mpira wa mikono wa kimisri ulimwenguni, akisisitiza kwa heshima na tathmini yake kubwa kwa mabingwa wa Misri wana michezo wakizingatiwa mfano bora kwa vijana katika mafanikio ,nguvu ya utashi, kutia bidii na kufikia lengo .

 Na katika wakti ule ule Rais aliita kwa kutosheleza uwezekano unaohitajika kwa awamu zote za umri toka mabingwa wanariadha  wa Misri katika mpira wa mikono , na kuwaunga mkono kikamilifu linalodhamini kuendelea kwao katika kuhakikisha tele za mafanikio ya michezo, na kujiandaa kwa Kombe la dunia kwa mpira wa mikono linalotarajiwa kufanyikwa nchini Misri mwaka wa 2021.

Na kutoka upande wao wachezaji wa timu ya kitaifa na chombo cha kiufundi walionyesha hisia yao ya fahari kwa ajili ya Heshima ya Rais kwao, linaloongeza roho nzuri kwao ili kuendelea katika kuinua jina la Misri juu katika Sherehe za kimichezo za kimataifa.

Comments