Timu ya Misri kwa mpira wa vinyoya
ilihakukusha ushindi juu ya mwenzake timu ya Eritrea kwa matokeo 5-0 katika mechi iliyochezwa kwenye kikao cha Michezo ya kiafrika chmechofanyika huko Moroko, ambapo mashindano ya mpira wa vinyonya imeyofanyika katika mji wa Kazablanka
Ahmed Saleh alishinda mechi ya kwanza 2-0 na 21/4 na 21/3, katika mechi ya pili Hadia Hosni alishinda 2-0 na 21/6 na 21/10, na katika mechi ye wachezaji wawili Misri walipigwa na Mohamed Mustafa na Abdul Rahman Abdel Hamid Katika mechi ye wachezaji wawili wa wanawake, Misri ilishinda njia ya wachezaji Jana Makkawi na Nour Yousri 2-0 ifikapo tarehe 21/4 na 21/16. mechi ye wachezaji wawili zilizochanganywa ,Misri ilishinda na wachezaji Adham Hatem na Doha Hani 2 - 0 na 21/5 na 21/8 , matokeo yam echo ya mwisho imekuwa 5-0 kwa timu yetu. Timu ya kitaifa ya mpira wa vinyoya itacheza mechi ya pili dhidi ya Afrika Kusini, siku ya Jumamosi.
Comments