Waziri wa vijana na michezo anapendezwa kwa utendaji wa kishujaa kwa timu ya Misri kwa vijana wa mpira wa wavu baada ya kushinda kwake juu ya nchi ya Arjantina .

Dokta Ashraf Sobhy ni waziri wa vijana na michezo pamoja na bwana wa Nabil Alhabashy ni balozi wa Misri nchini Tunisia walishuhudia leo

mechi ya timu ya Misri na Arjantina  katika mchuano wa kombe la dunia kwa mpira wa wavu kwa vijana chini ya umri miaka 19 ulifanywa nchini Tunisia kipindi muda siku ya 18 mpaka 30 mwezi wa Agosti unaendelea ,ambao ulimaliza kuhakiksha timu ya Misri kufuzu kwake kwa pili  kwa timu ya Arjantina  kwa matokeo bao 3   .

Waziri wa vijana na michezo amependezwa kwa utendaji wa kiume na tofauti kwa timu ya Misri kushukru zamu ya timu ya mpira wa wavu katika kuandaa wachezaji kama alisistiza makini wake kwa sababu zina uwezo wa ufundi mzuri na uwezo wa mwili unawastahili kufuzu juu ya washindani wao .

 

Timu yetu inacheza miongini mwa kundi tatu ambacho kinajumuisha japan ,Arjantina ,Ujerumani na Mexico .

 

Na pia ilikuja huu juu ya pempezoni mwa ziara ya Dokta  ashraf sobhy kwa nchi ya tounis kuhudhuria mkutano wa vijana katika eneo la kiarabu katika toleo lake la pili ambalo linafanyawa katika kipindi kutoka 20 mpaka 22 katika mwezi wa Agosti huu.

Comments