Misri inaongoza michuano ya karate ya kiafrika kwa medali 23, mingoni mwa dhahabu 11
- 2019-07-16 12:47:13
Timu ya kitaifa kwa karate ilishinda cheo cha kwanza katika orodha ya medali za michuano ya kiafrika kwa watu wakubwa na vijana , uliofanyika kaika kipindi cha Julai 9-17 Julai, huko Botswana.
Misri ilishinda cheo cha kwanza katika orodha ya medali kwa
jumla ya medali 23, dhahabu 11, fedha 6 na
shaba6, kutangulia juu ya
Morocco ambayo ilikuja katika cheo cha pili kwa jumla ya medali 15 (11
dhahabu na 4 shaba), wakati Senegal ilipata cheo cha tatu kwa medali nane za dhahabu , fedha 2 na shaba4.
Ali El sawy katika mashindano ya uzito wa kilo 67, na Taha
Tariq katika uzito wa kilo 84, na Gianna Faruk katika uzito wa 61 kg, Yasmin
Nasr Juweili katika mashindano ya+48 kilo Kumite wanawake wa vijana, na Nursan
Ali katika mashindano ya -59 kilo wanawake wa vijana na Karim Walid katika
mashindano ya vijana wa kata na Shoruk el- Henawy katika mashindano ya Kata ya
wanawake wa vijana, Noor Akram Suleiman katika mashindano ya 59 kg kumite ya
vijana, na Mahmoud Jabir Mansour katika mashindano ya 76 kg vijana wa kumite,
na Hazem Ahmed Mohamed katika mashindano ya 76 kg vijana wa kumite , timu ya
kumite , wote walipata medali za dhahabu.
Abdullah Mamdouh katika uzito wa kilo 75, na Malik Jumaa
katika uzito wa kilo 60, na Radwa Sayed katika uzito wa kilo 50, Ahmed Ashraf
katika mashindano Kata ya wanaume, na Sarah Assem katika mashindano ya Kata ya
wanawake, na timu ya kumite kwa wanamume , wote walishinda medali ya fedha.
Ferial Ashraf katika uzito wa kilo 68, na Yasmine Hamdy
katika uzito wa kilo 55, na ni Shaaban katika uzito wa kilo 68, kata ya
wasichana, na Mohamed Adel katika mashindano ya uzito wa 61 kg vijana kumite,
na Ayman Ahmed katika mashindano ya uzito wa 68 kg kumite ya vijana. Walishinda kwa medali ya shaba .
Timu hiyo inaongozwa kwa ufundi na jenerali Ahmed Abdullah, mkurugunzi wa
timu komteh, Kapteni Sayed Shams, kocha wa timu Komteh, Kocha wa Wanawake Dokta
Mohamed Abdurrahman (Tatu), Kapteni Hany Qeshta, Kapteni wa Kocha wa Wanawake,
Saif Al Nasr, Dokta Ahmed Omar Al-Farouk mkufunzi wa kimwili, na Daktari Ahmed
Al-Sawy. Ashraf Ashraf al-Jazzar anasimamia mambo ya utawala. Ujumbe unaongozwa
na Dokta. Saleh Atris. Ujumbe huo uliongozana na Mheshimiwa Mohamed Dahrawi,
Rais wa Shirikisho la Karate la kimisri.
Comments