Amal ismail alishinda medali ya shaba ya upinde na mshale katika ushindano wa wanawake kwenye michezo ya kiafrika inayofanika sasa nchini Morocco.
Amal Ismail ilishinda na nafasi ya tatu na mbingwa wa Afrika kusini.
wachezaji wa pili Yosef Tolba na Riem Mansor walishinda na medali ya dhahabu.
T.imu ya kimisri ilishinda medali ya dhahabu kwa wanaume alifuzu na medali hii Yossef Tolba na sherif Ashraf na Bahaa Ali.
Timu ya wanawake ilishinda na medali ya dhahabu ya timu na inakusanya Riem Mansor na Mira Al Shama na Amal Ismail.
Dokta Alaa Gaber naibu ya mwenyekiti wa kamati ya olimbiki na Rais wa muungano wa upinde na mshale alihudhuria mechi ya fainali.
Timu hii inaongozwa na mkurugenzi wa ufundi Maged Mohi na inayeongoza ujumbe hii Riham Swailam mjumbe wa baraza la Muungano la upinde na mshale.
Comments