Misri inashinda juu ya Australia katika ufunguzi wa Kombe la Vijana wa Dunia kwa mpira wa mikono

Timu ya kitaifa ya mpira wa mikono chini ya umri wa miaka 21 imeshinda timu ya Australia kwa matokeo 44-17

Timu ya kitaifa ya mpira wa mikono chini ya umri wa miaka 21 ikiongozwa na kocha Tariq Mahrous imeshinda timu ya Australia kwa matokeo 44-17   katika mzunguko wa kwanza wa michuano ya Dunia no. 22, ambayo itafanyika nchini Hispania katika kipindi cha Julai 16 hadi 28, kwa ushirikiano wa timu 24.

Nusu ya kwanza ya mechi kumalizika kwa timu yetu ya taifa kwa matekeo (21-6).

kupangwa timu yetu itakutana na Nigeria katika mzuguko wa pili katika saa 11 jioni Jumatano, , Na itapata mapumziko kutoka mechi  katika siku ya Alhamisi, na kisha itakutana na Sweden Ijumaa saa 6 mchana , ikifuatiwa na Korea Kusini saa moja jioni Jumamosi, kabla ya kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Ufaransa Jumatatu saa 8 mchana, Julai 22.

Timu ziligawanywa katika makundi manne, kila kundi lnajumisha timu sita, kama ifuatavyo:

kundi la kwanza :

Hispania, Slovenia, Serbia, Tunisia, Japan na Amerika.

kundi la Pili:

Ufaransa, Misri, Sweden, Nigeria, Korea ya Kusini na Australia.

kundi la tatu:

Ureno, Croatia, Hungary, Brazil, Bahrain na Kosovo.

kundi la nne:

Ujerumani, Iceland, Norway, Argentina, Denmark na Chile.

Mfumo wa michuano unasema kwamba timu nne za kwanza katika kila kundi zinafuzu kwa raundi kuu, na timu ya kwanza katika kundi la kwanza itacheza na timu ya kwanza katika kundi la nne, pili katika kundi la kwanza pamoja na timu ya tatu katika kundi la pili, timu ya tatu katika kundi la kwanza pamoja na timu ya pili katika kundi la pili , timu ya nne katika kundi la kwanza na timu ya tatu katika kundi la nne. Mshindi kufuzu moja kwa moja hadi raundi ifuatayo.

Ujumbe wa timu ya kitaifa ya vijana unajumisha :

Mustafa Shawki mwanachama wa Baraza ya Wakurugenzi wa shirikisho kama ni rais wa ujumbe , Tariq Mahrous Mkurugenzi wa kifundi ,   Hany Fakhrany kocha msaidizi, Madaktari wa mazoezi ya mwili Amr Essam , Na Mohamed Suleiman, Mkurugenzi Mtendaji na Mtaalam wa Utendaji wa Ufundi.

Orodha ya wachezaji inajumisha :

Abdul Rahman Taha na Abdul Rahman Hamid na Jalal Khurshid na Abdul Aziz Ihab na Shehab Abdullah na Hassan Walid Saif Shield na Ahmed Hisham Ahmed Radhi Hazem Mamdouh Mohsen Ramadhani na Mohammed Azhar na Omar Khaled, Omar Sami na Khaled Waleed na Yasser Mohammed.

Timu ya kitaifa ya vijana wachezaji wake waliozaliwa mwaka 1998 imefanya mandalizi  kwa michuano yadunia kwa kucheza mechi kadhaa ya kirafiki ya kimataifa, ambayo ilianza mbele ya timu ya Bahrain huko Cairo, na kisha ikasafiri hadi Sweden mnamo Julai 2 na kushiriki katika mashindano ya kimataifa ambapo ilicheza mechi tatu na Sweden, Norway na Denmark. Ilisafiri hadi ufaransa kwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya kirafiki katika kipindi cha Julai 7 hadi 11m  wakati ambapo ilicheza mechi tatu za kirafiki pamoja na Ufaransa, Ureno na Japan, na kisha ilipealekea kwenye kambi ya mwisho nchini Portugal, kisha ilisafiri moja kwa moja kwa Hispania..

Comments