Mnamo Historia .. uwanja wa piramidi za Giza hupokea sherehe ya kupiga kura ya Misri 2021
- 2020-08-20 13:07:38
Uwanja wa piramidi za Giza unapokea sherehe ya kupiga kura ya michuano ya dunia kwa wachezaji wanaume wa mpira wa mikono - Misri 2021 ,
mnamo
tarehe 5 Septemba ijayo kwa mujibu wa tovuti rasmi ya michuano .
Kupitia kuangalia Historia , timu 30 zimefikia
michuano na timu mbili zitaanishwa
baadaye, huwajua washindani wao katika
michuano itakayoanza tarehe 13 Januari ijayo na itakaendelea hadi 31 mnamo
mwezi huo huo .
Kamati
iandaayo ilitembelea mahali pa kufanya kura ambapo panajulikana na kuwepo kwake
katika eneo la piramidi ambapo panazungushwa na eneo kale na juu yake moja kwa moja maajabu saba
ya Dunia kama ishara ya mwanzo wa ustaarabu wa kimisri .
Ziara hiyo
ilihudhuriwa na Dokta Asharf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo , idadi kutoka
viongozi wa wizara , kamati iandaayo kwa uongozi wa Mhandisi Hisham Nasr ,
Tarek Eldeb Naibu wa mkurugenzi wa michuano , Moemen Safaa mweka hazina wa shirikisho la kimisri la mpira wa mikono na
viongozi kadhaa wa kamati ndogo na kampuni iandaayo ya sherehe ya kura .
Sobhy
alisema : " tunaazimia kufikia mafanikio mazuri kwa michwano katika pande
zote za kimaandalizi , kiufundi na usimamizi kutokana na kinachojipambanuliwa
na Misri kutoka vipengele vya mafanikio kutoka ujuzi wa kuandaa , kupatikana
miundombinu za kimichezo , usafirishaji
, hoteli za malazi , viwanja vya ndege vya kimataifa , vivutio y kitalii , njia
za usalama na utulivu unaokumba nchi chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Abd El-Fatah El SiSi, Rais wa
Jamuhuri anayetoa uungaji mkono na msaada kwa michezo ya Misri.
Aliongeza
" sasa hivi mikutano hufanyikwa
pamoja na kamati ndogo kwa Kamati iandaayo kutazama matokeo ya
mwisho ya kamati hizo kila mmoja katika
mambo yake , kutosheleza matakwa na mahitaji
na kukamilisha taratibu zote kwa mtazamo wa kufikia utayari kamili kwa michuano
na hivyo inafanyika bega kwa bega kwa kuambatana na Shirikisho la kimataifa la
mpira wa mikono kwa uongozi wa Dokta Hassan Mustafa ili kuhakikisha kuwa Misri inajiandaa kukaribisha michuano mnamo
Januari ijayo " .
Misri
inakaribisha michuano ya dunia kwa wanaume wa mpira wa mikono kwa mara ya pili
katika historia na mfumo wa mashindano
unatofautiana na mashirikiano yaliyotangulia baada ya idara ya timu iliongezeka
kuanzia 24 hadi 32 kwa mara ya katika historia .
Timu 32
zimegawanywa kwa makundi 8 na kila moja linajumuisha timu 4 ili kupitisha timu
tatu za awali kwa duru ya msingi inayohusisha timu 24 za kitaifa , na zimegawanywa kwa makundi 4 kila moja
linajumuisha timu 6 ili kupitisha ya
kwanza na ya pili kwa robo Fainali .
Comments